Ukiulizwa kwa nini Samia hawezi kuwashughulikia hao "wacheleweshaji", badala ya kwenda kunadisha mali asili kwa wageni huna jibu. Lakini mimi ninakwambia hawezi kufanya hivyo kwa sababu anayo maslahi na hao wageni.Ucheleweshaji katika ushushaji wa makasha, urasimu unaotengenezwa na watendaji wetu ili wapate chochote baada ya kufikiria kwamba nchi wanaipotezea wateja.
DP World watamchukia sana wajinga wachache wanaoendekeza njaa bila ya kujali efficiency nzima ya TPA
Akili mgando ndio hizi za kwako. Uingereza wamemkabidhi bandari huyu DP World, wao wanamtoza kodi tu, wanataka waone ongezeko la kodi kwenye bajeti yao.Ukiulizwa kwa nini Samia hawezi kuwashughulikia hao "wacheleweshaji", badala ya kwenda kunadisha mali asili kwa wageni huna jibu. Lakini mimi ninakwambia hawezi kufanya hivyo kwa sababu anayo maslahi na hao wageni.
Hataki kujenga uwezo wa ndani, yeye anachojua ni kwenda nje , na wakati huo huo wala ajiandai kwa vyovyote kuhakikisha kwamba hao anaokwenda kuwatafuta waje hapa, mazingira yatakuwepo ya kuhakikisha kazi zao zinafanyika kwa maslahi ya nchi.
Lakini najua yote haya ninayo andika ni sawa swa na kumpigia "mbuzi gitaa"; yaani wewe hapo ni mbuzi; kwa maana huwezi kuelewa lolote nje ya DP World.
Nimeongelea sana bandari yetu kukimbiwa na wateja wanaokwenda kutoa mizigo yao kupitia bandari nyingine na sababu ni miundo mbinu kuzidiwa na wingi wa mzigo. Na hiyo ni hali ambayo mafisadi kila siku wanaipigia makofi wakiomba kimoyomoyo iendelee kuwepo.Nje ya ufisadi na utapeli unaoihusu IGA ya DP World, wewe huna jingine lolote la ziada katika maswala haya ya bandari.
Mabandiko yako yoooote humu JF tokea uingie ni swala la DP World pekee na IGA yake.
Huna uhusiano wowote na ufanisi unaofanywa na bandari zetu, ingawa sasa unatumia kinga hiyo kujificha kwenye kichaka cha haya unayoyapigania.
Unarudia yaleyale ya kijinga na mimi nitakukumbusha vile vile kama kawaida, kwamba hujui makubaliano waliyoingia hao wote na huyo DP World wako.Akili mgando ndio hizi za kwako. Uingereza wamemkabidhi bandari huyu DP World, wao wanamtoza kodi tu, wanataka waone ongezeko la kodi kwenye bajeti yao.
Belgium hali kadhalika wamemkabidhi bandari, kuna vigezo wamempa wanataka wavione kwenye uchumi mkuu.
India ambako tunawapelekea miili yetu tunapougua na wao wamemkabidhi bandari yao.
Tanzania tunaweza kulinganishwa na nchi gani kati ya hizo tatu?, punguzeni kuyakariri maisha yale yale ya miaka ya nyuma hii dunia haina msalie mtumie hata kidogo.
Mnajifanya mna uchungu sana na mali ya nchi wakati dunia imejaa kila aina ya mabadiliko ya kiteknolojia. Sina maslahi yoyote na mgeni yoyote, ukweli ni kwamba sipendi kuona TPA ikikimbiwa na wateja kila kukicha na tija yake kwenye uchumi mkuu ikiendelea kushuka.
Hawa mafisadi wanalelewa na nani kama siyo mafisadi wenzao waliomo serikalini na watu kama wewe na Samia?Nimeongelea sana bandari yetu kukimbiwa na wateja wanaokwenda kutoa mizigo yao kupitia bandari nyingine na sababu ni miundo mbinu kuzidiwa na wingi wa mzigo. Na hiyo ni hali ambayo mafisadi kila siku wanaipigia makofi wakiomba kimoyomoyo iendelee kuwepo.
Hapa sasa ukitaka kujadili kwa uungwana kwenye hili tutajadili vizuri sana hata kama hatukubaliani.Miaka ya nyuma nilifanya kazi ya kusafirisha makontena ya copper concentrates and gold ore ambayo iliitwa kwa jina maarufu Michanga ya dhahabu kuipeleka China na Japan, alipoingia JPM ikulu akasimamisha biashara hiyo. Nilianzia kazi kule Tanga nikaja Dar.
Mkataba walioingia hapa ni mzuri sana kama walivyosaini huko kwingine, tatizo letu ni ujuaji na ligi za kijinga kwenye mambo tusiyo na ufahamu nayo.Unarudia yaleyale ya kijinga na mimi nitakukumbusha vile vile kama kawaida, kwamba hujui makubaliano waliyoingia hao wote na huyo DP World wako.
Hapa kwetu kakutana na vilaza, mafisadi kama nyinyi, kawaingiza chooni.
Kwa hiyo achana na hiyo mifano yote unayoileta hapa. Ni ujinga.
La sivyo, tuweke mfano wa mkataba mmoja walioingia na nchi hizo nyingine.
Unaendelea tu kuonyesha ukosefu wa upeo.
Wahuni wakipewa madaraka hupeka mambo kihuni huniKatibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.
View attachment 2794455
Barua ya mwaliko
Bandari yetu imesumbuliwa na ufisadi kila kona, kuletwa DP World mwenye ufanisi mzima wa kisasa ni kumaliza kabisa hilo tatizo.Hawa mafisadi wanalelewa na nani kama siyo mafisadi wenzao waliomo serikalini na watu kama wewe na Samia?
Mnatumia sababu mbovu kabisa kuhalalisha utapeli wenu wa kugawa bure mali zetu.
Hapa sasa ukitaka kujadili kwa uungwana kwenye hili tutajadili vizuri sana hata kama hatukubaliani.
Ninachokataa ni wewe kukomalia huyo DP World na mikataba mibovu.
Inaonyesha wazi baada ya hiyo kazi yako kukwama, sasa umejiingiza kwenye uovu huu wa utapeli na ufisadi dhidi ya nchi yako kwa kushirikiana na waarabu.
Hapa sasa ndipo nakuelewa vizuri zaidi. Kwa hiyo ninakuomba, weka hayo maslahi yako binafsi pembeni, tuongelee maslahi ya nchi yetu, hata bila DP World. Bandari yetu licha ya pesa nyingi kutumika katika kukarabati bado lipo tatizo la urasimu na wizi mwingi wa makusudi wa baadhi ya wafanyakazi wanaoshirikiana na mafisadi wa nje.
Jambo unalotakiwa kulitambua, na ambalo nadhani linakuchanganya sana wewe ni kutoweza kutofautisha kati ya uwekezaji wenye tija, bila kujali ni DP World kama unavyong'ang'ania wewe na Samiia kwa sababu zenu mnazozifahamu wenyewe na uwekezaji unaotumia mikataba inayotuumiza sisi kama taifa.Bandari yetu imesumbuliwa na ufisadi kila kona, kuletwa DP World mwenye ufanisi mzima wa kisasa ni kumaliza kabisa hilo tatizo.
Sio ajabu kuona makampuni yanayoendeshwa kwa ufisadi pale bandarini yakipiga makelele mengi kumpinga mwendeshaji mpya. Na huyo sio wa mwisho kuna mwingine anakuja wa magati namba nane mpaka kumi na moja na mwingine Bagamoyo na Tanga.
Usidhani kuwa Rais Samia anawapenda sana hawa waarabu kwa sababu ya rangi zao, anaufahamu kwa kina ufanisi wa kampuni yao huko wanapopewa kazi unakuwa ni wa kiwango gani.
Tumepoteza wateja wengi miaka hii mitano ya karibuni kwa sababu tu ya kuendekeza siasa za kujuana zile za kimazoea, sasa mwisho wao ndio umewadia.
Huu ndio upumbavu unaokutofautisha wewe na watu wengine wenye kujali maslahi ya nchi yetu.Mkataba walioingia hapa ni mzuri sana kama walivyosaini huko kwingine, tatizo letu ni ujuaji na ligi za kijinga kwenye mambo tusiyo na ufahamu nayo.
Huna uchungu wowote wewe. Mtu mwenye kuwa na uchungu na maslahi ya nchi yake kamwe hawezi kufurahia uhujumu ule unaoonyeshwa kwenye IGA ya DP World.Haya masuala ninayafahamu kwa kina na nina uchungu wa kutaka kuiona TPA ikilingana kwa tija na bandari nyingi za ukanda huu.
Unapozidi kuandika unajianika kichwani kwako ni patupu kiasi gani.Huna uchungu wowote wewe. Mtu mwenye kuwa na uchungu na maslahi ya nchi yake kamwe hawezi kufurahia uhujumu ule unaoonyeshwa kwenye IGA ya DP World.
Ni mafisadi tu aina yako na Samia pekee mnaoweza kuyafurahia yale.
Halafu unakuja hapa na kujigamba juu ya usiri mnayoyafanya gizani!
Ndani ya miezi michache bandari yetu itakuwa ni moja ya zile ambazo kushusha na kupakia mzigo melini ni suala la chapchap, tija ya maana sana inakwenda kuongezeka.Huu ndio upumbavu unaokutofautisha wewe na watu wengine wenye kujali maslahi ya nchi yetu.
Hili kama nilivyokwisha kueleza mara kadhaa, litawatokea puani. Jifurahisheni kwa sasa.
Hakuna mkataba unaotuumiza kama ulielewa alichokisema meneja wa TPA Mkuu Mbossa pale ikulu jumapili iliyopita.Jambo unalotakiwa kulitambua, na ambalo nadhani linakuchanganya sana wewe ni kutoweza kutofautisha kati ya uwekezaji wenye tija, bila kujali ni DP World kama unavyong'ang'ania wewe na Samiia kwa sababu zenu mnazozifahamu wenyewe na uwekezaji unaotumia mikataba inayotuumiza sisi kama taifa.
Hili jambo unalikwepa kwa maksudi kabisa, na Samia hawezi kuondokana nalo kwa sababu limemtia jela.
Ukiachana na huu upofu unaojipa mwenyewe kwa maksudi, hayo mengine tutajadiliana vizuri tu.
Kwanza achana na utapeli/ufisadi kupitia huyo DP World wenu.
IGA imekupita kando kabisa wewe unayejiona upo njema kichwani. Fitina yako yote imegonga ukuta.Mimi nikiwa na uelewa mdogo, wewe hata ule wa kukupeleka msalani utakuwa huna, na picha yenyewe unaiona kichwani mwako ilivyo mbaya.
Nilishakwambia, ukiona mimi kuwa "mtupu kichwani" ujue wewe ni mbuzi kabisa wa kufugwa. Hili linajidhihirisha wazi hata katika uandishi tu tunaofanya humu.Unapozidi kuandika unajianika kichwani kwako ni patupu kiasi gani.
Wakenya tayari walishalia kuhusu kupoteza mizigo inayoingia kupitia bandari ya dar er Salaam. Bandari yetu inao uwezo mzuri sana wa kufanya kazi hiyo. Matatizo tu ni matapeli wa aina yako na Samia. Lakini dawa yenu mtaipata tu.Ndani ya miezi michache bandari yetu itakuwa ni moja ya zile ambazo kushusha na kupakia mzigo melini ni suala la chapchap, tija ya maana sana inakwenda kuongezeka.
Kwa maumivu haya uliyonayo ni heri tu ukajinyonge.
hayo nakueleza wewe unayeng'ang'ania kuwa uwepo wa DP World hapo ni matokeo ya ile IGA chafu. Nilishakwambia ile IGA ilikufa.Hakuna mkataba unaotuumiza kama ulielewa alichokisema meneja wa TPA Mkuu Mbossa pale ikulu jumapili iliyopita.
Kila kitu kimeanikwa wazi, sisi tutapata nini na mwendeshaji atapata nini. Sisi pia sio wageni kwenye majadiliano ya aina hii ya biashara, alikuwepo TICTS miaka 22 pale TPA na ameondoka na kila kitu kinaenda salama.
IGA ilikufa. Janja yote mliyotaka kuitumia iligonga mwamba, na sasa matokeo yake ndiyo mtakayoyashuhudia karibuni.IGA imekupita kando kabisa wewe unayejiona upo njema kichwani. Fitina yako yote imegonga ukuta.