Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Tunasafari ndefu haya ndio madhara yakuzalisha chawa badala yakuzalisha watu wenye akilikitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasafari ndefu haya ndio madhara yakuzalisha chawa badala yakuzalisha watu wenye akilikitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha
Kwani aliepewa ilo Joho alikuwepo juzi akishudia utiaji saini?Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba
I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Yeye ni mmoja wapo anayehitaji matunzo.Umesikia wenyewe wakilalamika? Kama ni kweli wapo Watakuwa walitamani mbegu yenye akili na ushujaa tuwapongeze.
Father Kitima angerudi kanisani kuungamisha waumini wanaomtafuta ili watubu dhambi zao haya masuala ni ya kiuchumi tena ya kina sana angeachana nayo tu.Katibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema
Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge
Source: Mwananchi
Wanaotusababishia hasara kwa kutuingiza kwenye mikataba hiyo mibovu wako ndani ya uwezo wetu.Kama nchi tunalipishwa mabilioni ya dollar kwa mikataba mibovu viongozi wetu waliotuingiza kama hawajui kusoma na kuona kesho kwenye vision yao.
Dili za wakubwa hiziKatibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema
Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge
Source: Mwananchi
Mimi nahisi kama Rugambwa alipewa hints za kilichomo kwenye mkataba.Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba
I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Hilo bunge hatuna imani nalo kabisa.Katibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema
Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge
Source: Mwananchi
Mwanasheria Mkuu anataka kutuaminisha kuwa mkataba unapelekwa katika kamati ya Bunge ukiwa umeshasainiwa!? Kilichomo ndani ya hii mikataba ya HGA, tunaweza kuwa tumepigwa na kitu kizito vichwani. Muda utaongea.Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.
Mwananchi
Na wewe amekuzalisha? Kama hatoi matunzo njoo kwangu nikuzagamue nikupe matunzo njoo wewe na mama yako nyote nitawatunzaKitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Upumbavu gani. Na ule wa kwanza wamesema wamefuta au walitumika kama rubber stamp. Tulia ni speaker wa ovyo haijatokea.Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.
Mwananchi
Kwahiyo Wewe una akili kuwazidi waliomualika Ikulu? 😂Father Kitima angerudi kanisani kuungamisha waumini wanaomtafuta ili watubu dhambi zao haya masuala ni ya kiuchumi tena ya kina sana angeachana nayo tu.
Vipi wewe hukubahatika kuzalishwa?Kitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Imagine watu wameitikia wito kwa utii tu kwa mamlaka bila kujua kuna shughuli ya nini hasa …halafu wanafika pale waimba mashairi wanaanza kuimba ,” …hata waliopinga mkataba Leo wako hapa kwa sababu wanakubaliana nao “ …haikuwa lazima…watafanya siku nyingine wakiwaita wasiende au watume uwakilishi wa kawaida sana …mfano kanisa katoliki kuweza kutuma maaskofu watatu wakasindikizwa na katiibu mkuu wa TEC ni heshima sana …..shughuli nyingi tu kubwa huwa wanatuma Padre wa parokia ya eneo husika panapofanyika jambo kuwakilishaKatibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.
Mwananchi
Mrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji wa ACT wazalendoImagine watu wameitikia wito kwa utii tu kwa mamlaka bila kujua kuna shughuli ya nini hasa …halafu wanafika pale waimba mashairi wanaanza kuimba ,” …hata waliopinga mkataba Leo wako hapa kwa sababu wanakubaliana nao “ …haikuwa lazima…watafanya siku nyingine wakiwaita wasiende au watume uwakilishi wa kawaida sana …mfano kanisa katoliki kuweza kutuma maaskofu watatu wakasindikizwa na katiibu mkuu wa TEC ni heshima sana …..shughuli nyingi tu kubwa huwa wanatuma Padre wa parokia ya eneo husika panapofanyika jambo kuwakilisha
Hao ndio CCM, hata bungeni wengi walisaini na kupitisha wasiyoyajua.Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.
Mwananchi
Nadhani ulimuona pale namna alivyokuwa hana amani moyoni.Kwahiyo Wewe una akili kuwazidi waliomualika Ikulu? 😂
Katikati ya wadhambi Amani itatoka wapi?Nadhani ulimuona pale namna alivyokuwa hana amani moyoni.