Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba

I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Kwani aliepewa ilo Joho alikuwepo juzi akishudia utiaji saini?
 
Katibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema

Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge

Source: Mwananchi
Father Kitima angerudi kanisani kuungamisha waumini wanaomtafuta ili watubu dhambi zao haya masuala ni ya kiuchumi tena ya kina sana angeachana nayo tu.
 
Kama nchi tunalipishwa mabilioni ya dollar kwa mikataba mibovu viongozi wetu waliotuingiza kama hawajui kusoma na kuona kesho kwenye vision yao.
Wanaotusababishia hasara kwa kutuingiza kwenye mikataba hiyo mibovu wako ndani ya uwezo wetu.

Natamani siku moja tupate wanajeshi wazalendo waongoze nchi na kuwashughulikia kisawasawa hawa hayawani, maana hata wakitoka kwa njia ya kura hakuna hakika kama watakaoingia watakuwa tofauti.
 
Katibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema

Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge

Source: Mwananchi
Dili za wakubwa hizi
 
Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba

I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Mimi nahisi kama Rugambwa alipewa hints za kilichomo kwenye mkataba.
 
Katibu wa TEC Padre Dr Kitima amesema maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, Walikuwepo Watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila Walichosikia maoni ya Wananchi yamezingatiwa

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na " Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema

Naye mwanasheria mkuu wa Serikal amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye kamati ya Bunge

Source: Mwananchi
Hilo bunge hatuna imani nalo kabisa.
 
Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.

Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.

Mwananchi
Mwanasheria Mkuu anataka kutuaminisha kuwa mkataba unapelekwa katika kamati ya Bunge ukiwa umeshasainiwa!? Kilichomo ndani ya hii mikataba ya HGA, tunaweza kuwa tumepigwa na kitu kizito vichwani. Muda utaongea.
 
Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.

Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.

Mwananchi
Upumbavu gani. Na ule wa kwanza wamesema wamefuta au walitumika kama rubber stamp. Tulia ni speaker wa ovyo haijatokea.
 
Imekuwa hivyo, labda ni kwa kuwa sio kwa ajili yenu bali________________ !!!!
 
Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.

Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.

Mwananchi
Imagine watu wameitikia wito kwa utii tu kwa mamlaka bila kujua kuna shughuli ya nini hasa …halafu wanafika pale waimba mashairi wanaanza kuimba ,” …hata waliopinga mkataba Leo wako hapa kwa sababu wanakubaliana nao “ …haikuwa lazima…watafanya siku nyingine wakiwaita wasiende au watume uwakilishi wa kawaida sana …mfano kanisa katoliki kuweza kutuma maaskofu watatu wakasindikizwa na katiibu mkuu wa TEC ni heshima sana …..shughuli nyingi tu kubwa huwa wanatuma Padre wa parokia ya eneo husika panapofanyika jambo kuwakilisha
 
Mrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji wa ACT wazalendo
 
Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.

Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.

Naye Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema muda ukifika mkataba utapelekwa kwenye Kamati ya Bunge.

Mwananchi
Hao ndio CCM, hata bungeni wengi walisaini na kupitisha wasiyoyajua.
 
Back
Top Bottom