Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Imagine watu wameitikia wito kwa utii tu kwa mamlaka bila kujua kuna shughuli ya nini hasa …halafu wanafika pale waimba mashairi wanaanza kuimba ,” …hata waliopinga mkataba Leo wako hapa kwa sababu wanakubaliana nao “ …haikuwa lazima…watafanya siku nyingine wakiwaita wasiende au watume uwakilishi wa kawaida sana …mfano kanisa katoliki kuweza kutuma maaskofu watatu wakasindikizwa na katiibu mkuu wa TEC ni heshima sana …..shughuli nyingi tu kubwa huwa wanatuma Padre wa parokia ya eneo husika panapofanyika jambo kuwakilisha
Kwani barua ya mwaliko haikua ina onyesha sherehe ni zakitu gani, waache kujipumbaza, kwanza serikali ingetaka wote wa udhurie ingewalazimisha bila tatizo, hao walusha pokea la kwao ndo wanaanza kujikausha eti hawakujua sherehe zilikua za nini? Mtu mwenye akili unaweza je kuudhuria sherehe bila kujua ni harusi au ya kiparamara bora wakae kimya.
 
Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba

I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Usiwe na wasiwasi analindwa na Mungu alie hai. Jeova Jile au kwa jina lingine unaweza kumuita God au Mungu kwa kiswahili Kyala kwa kinyakyusa ukipenda
 
Kwahiyo unasaini kwanza halafu mdio unapelekamkwenye kamati? IGA ikirekebishwa? HGA inaweza kwenda kinyume na IGA?
 
Suala la mkataba bandari limeisha.
sasa tupo kwenye utelekezaji
Mikataba huwa haiwekwi hadharani, juna wahusika serikalini ndio kazi yao.
TEC wajiandae na krimas inakuja.
 
Imagine halafu kumbe wanajenga misikiti huko Njombe na Mbeya

Hili suala waTanganyika tusipofungua jicho la tatu kuna madhara makubwa sana yanaenda kutokea huko mbele ya safari
Na bado,watajenga Hadi hospital na shule ili kuvuna waumini Kama kanisa lilivyofanya tangu ukoloni
Njombe na mbeya hapatakiwi kujenga misikiti!?..kumbe kelele zote hofu ni hiyo!?
 
Na bado,watajenga Hadi hospital na shule ili kuvuna waumini Kama kanisa lilivyofanya tangu ukoloni
Njombe na mbeya hapatakiwi kujenga misikiti!?..kumbe kelele zote hofu ni hiyo!?
Misikiti sio hitaji la msingi la wana Njombe na Mbeya wangeanzisha hata viwanda basi vijana wakapata ajira huko
 
Kitima anatumia nguvu kubwa kuifanya TEC iwe tawi la Chadema, ila nadhani Kuna wenye akili wamemshtukia.

Ngoja tuone kama Jimbo analopewa na Chadema agombee kama atatoboa,maana ameshaanza kupita pita mitaani
 
Kitima anatumia nguvu kubwa kuifanya TEC iwe tawi la Chadema, ila nadhani Kuna wenye akili wamemshtukia.

Ngoja tuone kama Jimbo analopewa na Chadema agombee kama atatoboa,maana ameshaanza kupita pita mitaani
Ramli
 
Nyie si mnajifanya mna WATU serikalini na mna watu kwenye system haya tafuteni hiyo mikataba kisha mvujishe
Unajua huu mkataba unakuhusu wewe na watoto wako?
Unajua unatakiwa kutetea raslimali za nchi kwa ajili ya vizazi vyetu?
Kwanini unashindwa kutumia akili japo kama kuku?
Wewe ni mmoja ya watu wasio na faida kabisa sio kwa Nchi bali hata kwa familia yako! (kama unayo)
 
Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba

I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Matthew 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
samia Hilo suala la hili limkataba la bandari ilikuwa afe kipa afe beki ilikuwa harudi nyuma na ndio mana kafanya aliyoamua kuyafanya ili DP uanze kazi bandarini.

Kuna ajenda ya siri sana inafichwa juu ya suala hili waTanganyika tuombe sana

Imagine mwarabu wa DP kabla hata hajaanza kazi bandarini keshafika Njombe kuangalia ardhi ili awekeze huko sasa unajiuliza wamekuja kwa ajili ya bandari au na mambo mengine?
Labda yako kimkataba
 
Kiswahili tunasema "wanajitowa kimasomaso".

Hao wanaelewa nini kinaendelea kabla hata ya waliopo kwenye serikali wengi tu.

Eti walikuwa hawajui wameenda kufanya nini. Uongo mtupu.
 
Tunasafari ndefu haya ndio madhara yakuzalisha chawa badala yakuzalisha watu wenye akili
Tunavuna Tulichopanda...
IMG_20211226_190249.jpg
 
Back
Top Bottom