Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
DuuhKitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhKitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Kwani barua ya mwaliko haikua ina onyesha sherehe ni zakitu gani, waache kujipumbaza, kwanza serikali ingetaka wote wa udhurie ingewalazimisha bila tatizo, hao walusha pokea la kwao ndo wanaanza kujikausha eti hawakujua sherehe zilikua za nini? Mtu mwenye akili unaweza je kuudhuria sherehe bila kujua ni harusi au ya kiparamara bora wakae kimya.Imagine watu wameitikia wito kwa utii tu kwa mamlaka bila kujua kuna shughuli ya nini hasa …halafu wanafika pale waimba mashairi wanaanza kuimba ,” …hata waliopinga mkataba Leo wako hapa kwa sababu wanakubaliana nao “ …haikuwa lazima…watafanya siku nyingine wakiwaita wasiende au watume uwakilishi wa kawaida sana …mfano kanisa katoliki kuweza kutuma maaskofu watatu wakasindikizwa na katiibu mkuu wa TEC ni heshima sana …..shughuli nyingi tu kubwa huwa wanatuma Padre wa parokia ya eneo husika panapofanyika jambo kuwakilisha
Usiwe na wasiwasi analindwa na Mungu alie hai. Jeova Jile au kwa jina lingine unaweza kumuita God au Mungu kwa kiswahili Kyala kwa kinyakyusa ukipendaLile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba
I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
KamssidieKwani padre wa RC anaruhusiwa kua na wanawake au unamanisha Kitima mgine sio yule wa TEC?
Na bado,watajenga Hadi hospital na shule ili kuvuna waumini Kama kanisa lilivyofanya tangu ukoloniImagine halafu kumbe wanajenga misikiti huko Njombe na Mbeya
Hili suala waTanganyika tusipofungua jicho la tatu kuna madhara makubwa sana yanaenda kutokea huko mbele ya safari
Halindwi na yesu!?Usiwe na wasiwasi analindwa na Mungu alie hai. Jeova Jile au kwa jina lingine unaweza kumuita God au Mungu kwa kiswahili Kyala kwa kinyakyusa ukipenda
Majinga mengi sana hapa tanzaniaaHao ndio CCM, hata bungeni wengi walisaini na kupitisha wasiyoyajua.
Misikiti sio hitaji la msingi la wana Njombe na Mbeya wangeanzisha hata viwanda basi vijana wakapata ajira hukoNa bado,watajenga Hadi hospital na shule ili kuvuna waumini Kama kanisa lilivyofanya tangu ukoloni
Njombe na mbeya hapatakiwi kujenga misikiti!?..kumbe kelele zote hofu ni hiyo!?
Wasingejenga,hivyo viwanda waambie TEC wajengeMisikiti sio hitaji la msingi la wana Njombe na Mbeya wangeanzisha hata viwanda basi vijana wakapata ajira huko
RamliKitima anatumia nguvu kubwa kuifanya TEC iwe tawi la Chadema, ila nadhani Kuna wenye akili wamemshtukia.
Ngoja tuone kama Jimbo analopewa na Chadema agombee kama atatoboa,maana ameshaanza kupita pita mitaani
Unajua huu mkataba unakuhusu wewe na watoto wako?Nyie si mnajifanya mna WATU serikalini na mna watu kwenye system haya tafuteni hiyo mikataba kisha mvujishe
Matthew 16:18Lile joho alilopewa Mheshimiwa Protase kule Tabora niliofia sana, nilijua kuna kitu kigumu kinafuata. Mwenye ile picha naiomba
I wish asilivae, likae tu huko Vatican.
Delila atasubiri hahahahahaha 🤣Kwa hiyo waliuzwa?
Ccm ni Delila
Labda yako kimkatabasamia Hilo suala la hili limkataba la bandari ilikuwa afe kipa afe beki ilikuwa harudi nyuma na ndio mana kafanya aliyoamua kuyafanya ili DP uanze kazi bandarini.
Kuna ajenda ya siri sana inafichwa juu ya suala hili waTanganyika tuombe sana
Imagine mwarabu wa DP kabla hata hajaanza kazi bandarini keshafika Njombe kuangalia ardhi ili awekeze huko sasa unajiuliza wamekuja kwa ajili ya bandari au na mambo mengine?
Tunavuna Tulichopanda...Tunasafari ndefu haya ndio madhara yakuzalisha chawa badala yakuzalisha watu wenye akili