Ni matusi kama waliwaingiza Chaka na juu zaidi shairi la mpotoCCM ni Wahuni sana,unawaingizaje watu chaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matusi kama waliwaingiza Chaka na juu zaidi shairi la mpotoCCM ni Wahuni sana,unawaingizaje watu chaka?
KABISAKwa hiyo waliuzwa?
Ccm ni Delila
Unawalaghai halafu halafu unawasimanga. very sad, ushauri wangu kwa TEC watuunge mkono sisi CHADEMA na wenzetu wa Upinzani kwenye Chaguzi zijazo ili tuwaondoe hawa Wahuni.Ni matusi kama waliwaingiza Chaka na juu zaidi shairi la mpoto
Wanafikiri ni wajanja.KABISA
Imeisha hiyo;funima kombe mwana haramu apite!Maaskofu watapewa? Na usiri wa mikataba utakuwaje?
Happy to see you again.Namuunga mkono na miguu kabisa.
Mkataba uwekwe hadharani kwa kuwa mwenye nchi ni Mwananchi na anapaswa kujua yaliyomo yamo.
Tupokee taarifa ya kusainiana mkataba huu kwa tahadhari sana.
Kama nchi tunalipishwa mabilioni ya dollar kwa mikataba mibovu viongozi wetu waliotuingiza kama hawajui kusoma na kuona kesho kwenye vision yao.
Kuelekea Uchaguzi mkuu 🤣Happy to see you again.
I'm always available MadameHappy to see you again.
Huyu jamaa anayejificha kwenye kivuli cha udini wakati kila mtu anajuwa ni Chadema. Apewe mkataba asome kama nani yeye? anamuwakilisha nani? anatka kuingia kwenye siasa agombee tu wanaweza kuanzisha chama cha siasa cha maaskofu halafu ndio acheze ngoma za siasa. Kuna kijitu nchi hii mijinga sana walishaota mapembe kujiona wako juu ya siasa hajui kuwa humo ndani ya vyama kuna waumini kwa maelfu wamegombea na wanamuwakilisha hata yeye kwenye siasa. Akamuombe Papa Vatican wapewe mikataba ya Vatican pia wasome.Kitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Ile ya njombe hata sijaelewa maana mtu kaja kwa ajili ya bandari sasa njombe anatafuta nini?samia Hilo suala la hili limkataba la bandari ilikuwa afe kipa afe beki ilikuwa harudi nyuma na ndio mana kafanya aliyoamua kuyafanya ili DP uanze kazi bandarini.
Kuna ajenda ya siri sana inafichwa juu ya suala hili waTanganyika tuombe sana
Imagine mwarabu wa DP kabla hata hajaanza kazi bandarini keshafika Njombe kuangalia ardhi ili awekeze huko sasa unajiuliza wamekuja kwa ajili ya bandari au na mambo mengine?
Ilikuwa imepangwaNi matusi kama waliwaingiza Chaka na juu zaidi shairi la mpoto
Imagine halafu kumbe wanajenga misikiti huko Njombe na MbeyaIle ya njombe hata sijaelewa maana mtu kaja kwa ajili ya bandari sasa njombe anatafuta nini?
Hiyo story ya misikiti siyo hoja maana hatujui ukweli ila njombe anasema anataka kuwekeza ndio ajabu maana wao wamekuja for bandari hata hawajaanza wameshaanza kukagua mashamba njombe hapo kidogo wapunguze spidiImagine halafu kumbe wanajenga misikiti
Hili suala waTanganyika tusipofungua jicho la tatu kuna madhara makubwa sana yanaenda kutokea huko mbele ya safari
Hatari sanaHiyo story ya misikiti siyo hoja maana hatujui ukweli ila njombe anasema anataka kuwekeza ndio ajabu maana wao wamekuja for bandari hata hawajaanza wameshaanza kukagua mashamba njombe hapo kidogo wapunguze spidi