Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

Nyie si mnajifanya mna WATU serikalini na mna watu kwenye system haya tafuteni hiyo mikataba kisha mvujishe
 
Mpoto aliharibu sana kuwakejeli TEC!
Sasa waitakemikataba waisome.
Tofauti na hapo watoe waraka mwingine
 
Happy to see you again.
 
Duh, kumbe wameitwa na kukuta agenda palepale na wapigapicha wakajitahidi kuwafotoa ili waonekane na jamii. Mbaya Sana hii kama ni kweli
 
Kitima akatoe matunzo kwa wanawake aliowazalisha.
Huyu jamaa anayejificha kwenye kivuli cha udini wakati kila mtu anajuwa ni Chadema. Apewe mkataba asome kama nani yeye? anamuwakilisha nani? anatka kuingia kwenye siasa agombee tu wanaweza kuanzisha chama cha siasa cha maaskofu halafu ndio acheze ngoma za siasa. Kuna kijitu nchi hii mijinga sana walishaota mapembe kujiona wako juu ya siasa hajui kuwa humo ndani ya vyama kuna waumini kwa maelfu wamegombea na wanamuwakilisha hata yeye kwenye siasa. Akamuombe Papa Vatican wapewe mikataba ya Vatican pia wasome.
 
Ile ya njombe hata sijaelewa maana mtu kaja kwa ajili ya bandari sasa njombe anatafuta nini?
 
Hata viongozi wa vyama vya upinzani huitwa hivyo. Wakitoka tunawalaumu wameonjeshwa asali.
 
Imagine halafu kumbe wanajenga misikiti

Hili suala waTanganyika tusipofungua jicho la tatu kuna madhara makubwa sana yanaenda kutokea huko mbele ya safari
Hiyo story ya misikiti siyo hoja maana hatujui ukweli ila njombe anasema anataka kuwekeza ndio ajabu maana wao wamekuja for bandari hata hawajaanza wameshaanza kukagua mashamba njombe hapo kidogo wapunguze spidi
 
Hiyo story ya misikiti siyo hoja maana hatujui ukweli ila njombe anasema anataka kuwekeza ndio ajabu maana wao wamekuja for bandari hata hawajaanza wameshaanza kukagua mashamba njombe hapo kidogo wapunguze spidi
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…