Ondoa upumbavu wako hapa. Udini, udini, imeanza lini kuhoji mambo ya serikali ukawa udini. Kwahiyo wewe uwe na haki hiyo, yeye asiwenayo? Hovyo kabisa wewe jamaa. Akiwa kiongozi wa dini au Chadema ndio anakosa haki ya kuhoji mambo? Yeye si mtanzania? Humpendi jinyonge.Huyu jamaa anayejificha kwenye kivuli cha udini wakati kila mtu anajuwa ni Chadema. Apewe mkataba asome kama nani yeye? anamuwakilisha nani? anatka kuingia kwenye siasa agombee tu wanaweza kuanzisha chama cha siasa cha maaskofu halafu ndio acheze ngoma za siasa. Kuna kijitu nchi hii mijinga sana walishaota mapembe kujiona wako juu ya siasa hajui kuwa humo ndani ya vyama kuna waumini kwa maelfu wamegombea na wanamuwakilisha hata yeye kwenye siasa. Akamuombe Papa Vatican wapewe mikataba ya Vatican pia wasome.