Katibu Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba: Umeme unaokuja kutoka Ethiopia utakuwa na hasara lakini hiyo hasara haituhusu

Polisi hawa wa Tanzania hata ukiwaita wanakuwa upande wa mwenye pesa so hakuna msaada
 
Mhandisi Amekutwa na nini mpaka anajitafuta Hivo kujustify kauli ya Rais?

Izo ground za maelezo yake sio Concrete kabisa wao Wakubali tu kuwa wamezingua Kumpa mkuu wa Nchi hio taarifa na Kumuacha aiseme Public izo Justification hazina Mashiko

Mkoa Potentia kama Arusha unaacha Kuunga Na grid ya Taifa utegemee umeme wa Jirani

Regional grid Interconnection na Power Diversification ni Jambo zuri sana Kitaalam ila Litumike kama Back up na sio kuwategemea kabisa neighbors sio salama na Ina Compromise na National Security
 
Maswali mazuri sana Mkuu
 
JPM alimfukuzaga kazi, huyu jamaa, Siku ya mwaka mpya,nikahisi alionewa,kumbe ilikuwa saizi yake
Ilikuwa siku ya Christmas. Halafu JPM alimfukuza siyo kwasababu ya utendaji bali kwasababu ni mchaga.

N de A
 
watanzania tunataka umeme wa uhakika na bei ya unit ishuke angalau sh.100 kwa unit
ova
 
Ufisadi Kwenye Ubora Wake,, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ,,
 
Polisi hawa wa Tanzania hata ukiwaita wanakuwa upande wa mwenye pesa so hakuna msaada
Polisi wa Kenya pia sio kwamba sio wala RUSHWA lakini kama Wananchi wanasimama kidete Polisi wenyewe huwa wanaona wangalao wafanye Haki.
 
JPM alimfukuzaga kazi, huyu jamaa, Siku ya mwaka mpya,nikahisi alionewa,kumbe ilikuwa saizi yake
Watu wote waliofuKuzwa na Magufuli kisha Samia kuwarudisha kwa ushauri wa genge la msoga wote wame prove upumbavu wao.

Rejea Makamba, Nape na sasa huyu pimbi nae
 
Na Bado mpaka mnene kwa lugha

Si mlikesha bar mkisheherekea kifo chake nyie?
 
Reactions: Sax
Huyu bibi ,kumpa nchi ni SAWA na kuwaona wasomi hawapo Tanganyika
 
Wewe ni mpumbavu na unatetea upumbavu!
.
Ethiopia ni waume zenu kwamba wakusafirishie nyie umeme wa bil. 10 kisha wauze kwa bil. 8 wale hasara ya bil. 2? Kwa vile mnawapa nini.?

Wapumbavu wakubwa nyie.
 
Sasa Mramba, kama ni hivyo kwa nini tumezika Billions of money kujenga JNHP wakati umeme wa Ethiopia ni wa bei chee hivyo? 🤔 😳
 
sisi tunanunulia mpakani!
aisee! nchi imepatikana
lakini soon kunapambazuka
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…