Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Yupo SA sasa hivi hizo mambo zimekua ngumu alikua busy na magari kupeleka Zambia alifanya vizuri sana hiyo kazi ukipata hela yake inarudi huko kuna mwamba alikua wa moto miaka ya nyuma nilimkuta kakwama Lusaka yupo na Benzi mafuta hana mpaka kufika Tunduma nilimtoa pale nikasema hawa hizi kazi zao sio kabisa mtu alikua na usd zaidi ya 1m leo hana mafuta ya kufika Tanzania na naamini alikua anapeleka gari aanze upya mwana mmoja wa Cape Stad.S.mchp alikuwa na mdg wake miaka ya nyuma kila tukiwasiliana anakuambia yuko Peru mara Ecuador mara brazil π ni H.M sasa
Sijuwi naye yupo hai au laaa
Ova
Wametuharibia biashara ya magari madogo hao vima ndio maana tunaleta Scania maana huku kuna mambo mengi kidogo kwenye kununua lazima uyajue vizuri bila hivyo litazima Botswana.Ht hz yrd nying za mapak ni money laundry tu
Ova
Na pesa ndio inataka biashara hizoBiashara yoyote ambayo huwezi kuiweka kwenye LinkedIn au kumwambia mzazi wako ili ainenee mema ni tiketi ya kujipeleka jela.
Si umemuona yule influencer Nigeria juzi kakamatwa kg za cocaine za kutosha πIkishageuka kuwa hela wao wanaona sio ya moto tena inateketea kwa haraka kama kauza mahindi vile wapo radhi wasafirishe pisi kutoka Morogoro na ifate mtu Spain kuliwa tu na kurudi na mabegi ya zawadi..
Miaka ile nlijaribu kuleta BMW(dolphine) 2 na nliletaga Toyota pick up(rider)zina kidungu nyumaWametuharibia biashara ya magari madogo hao vima ndio maana tunaleta Scania maana huku kuna mambo mengi kidogo kwenye kununua lazima uyajue vizuri bila hivyo litazima Botswana.
Hahaha uko na details za kutosha vile hii biznez inaoparati.Umafia sana,maana mtu anakupa mzigo wa mamilion uuze hakuna maandikishano na wewe ukatayepigwa utaenda lalamika wapi π lazima watakuumiza tu
Dunia kote wafanyabiashara hawa kitu kikubwa ni trust
Ilifika hatua hii biashara ili uletewe mzigo umpeleke jamaa yako au ndugu akakae bondi huko Pakistan au Iran ukiuza huku ukiwakamilishia hela yao wanamuachia jamaa yako huko ,sasa kuna kesi nyingi wabongo wako bondi huko
Waliyotumiwa mizigo hawajapeleka hela ndugu jamaa zao hko cha moto wanakiona π
Hii biashara haramu haswaaa
Ova
Ile ni kama freemason ukiingia kutoka ni kifo ndo kinakuokoa hapoHii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale watumiaji ikiwa ni mbaya.
Sasa hivi ukiweza nunua hata trekta MF utauza huko magari wahuni wameingilia kati sio biashara tena labda ukauze Nairobi na uwe na mtu bila hivyo manyang'au yatakimbia na gari..Miaka ile nlijaribu kuleta BMW(dolphine) 2 na nliletaga Toyota pick up(rider)zina kidungu nyuma
Ova
Easy come easy GoMimi nilikua nafanya kazi Marine na wana watatu walivyopata mtaji wote wakaenda huko wakirudi wana usd zaidi ya 1m kwenye maboxi wananicheka na kusema uwoga waka ndio umasikini wako mara ya mwisho nilimchukua mwanangu mmoja alishuka sana hiyo biashara nikamsihi arudi bongo afanye kitu ambacho kitakua sawa ikiwezekana aanze kuacha hiyo deal wahuni wakanibatiza jina la Petro Mtakatifu ikabidi niache tukikutana ni story na kwenda kuvunja Long street..
Baadae walienda China kwa wakati tofauti wote walikula kamba mmoja tulisoma wote Meta Sekondari alikua Mpole sana mwamba na huyo wote wawili waliacha familia bora zinazowapenda balaa hiyo sio kazi za kufanya kwa kuishi kwangu Nje nimeona watu wengi wamepotea balaa..
Mimi nilikua na msemo wangu wa kuwaambia ni first born mjue ninyi mapimbi ni wa mwisho kwenye familia zenu fanyeni chochote..Easy come easy Go
Sio kweli zipo kazi hazina hata risk kubwa na zinatoa pesa nyingi..Right
Hahaha mostly hii biashara kwa ground inaendeshwa na viongozi wa kubwa wa serikali, wanajeshi,maaskariM
Mimi nilikua na msemo wangu wa kuwaambia ni first born mjue ninyi mapimbi ni wa mwisho kwenye familia zenu fanyeni chochote..
Mambo hayo nliacha kitambo sana huko kila ukipeleka wazo wanafikiria kukuibia kukupora wtz wenzako tenaSasa hivi ukiweza nunua hata trekta MF utauza huko magari wahuni wameingilia kati sio biashara tena labda ukauze Nairobi na uwe na mtu bila hivyo manyang'au yatakimbia na gari..