Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #41
Je mpaka sasa ukoloni upo duniani au haupo?Kutawala ni nini na Empire ni Nini ? Au habari ya Rise and Fall of Roman Empire ilikupita Kando ? Au leo hii zile West African Empires ambazo zote zilikuwa zinabadilishana na kutawala palepale tuchague moja tuseme ipo mpaka leo...
Ulikuwa ni wa Ukapa sababu aliamua kukusanya pesa kutoka mikononi wa watu na kuzipeleka treasury. Zilipofika hazina akazitumia kulipa madeni ya ndani a nje. Kumbuka kuwa tulikoa je ulitaka tusirudishe mikopo? Wafanyakazi wa serikalini hawakuwa na hadhi, ni wakati wa Mkapa watu walianza ku feel hadhi ya kuajiriwa serikalini. Walilipwa madeni mbalimbali yakiwemo malimbikizo ya mishahara. Wakaanza kulipwa mishahara ndani muda. Wafanyabiashara ambao walizoea kuishi kijanja huku kodi hawalipi ndiyo wakaanza kuiimba wimbo wa 'Ukapa'.Alipaswa kufanya zaidi
Wakati wake uliitwa wakati wa ukapa maisha yalikuwa magumu sana huku akibinafsisha (uza) taasisi na mashirika ya umma kwa kigezo Cha uwekezaji
Mkapa aliacha beacon za Uchumi ziiwa itact, Kikwete aliwahi kukiri kwamba, kwenye swala la barabara Mkapa alacha Pesa yote ya miradi ya barabara iliyotekelezwa katika kipindi chake na hata hazia alikuta pesa ya kutosha.Japo alihubiri ukweli na uwazi lakini ndio kipindi ambacho Ulimwengu alipitia wakati mgumu sana
Suala la barabara wakati wa kikwete ndio zilisambaa zaidi kuliko wakati wa Mkapa.
Hizi ni story tu ambazo mkishasimuliwa wasikilizajimnaitikia Aamin na nyinyi mnazibeba kwenda kusimuliwa.Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah🙌🙌🙌🙌mtaa wa jirani yupo sio mrumi 👏👏👏👏ila ndio hivyo warumi fanyieni kazi ubinafsi ni mkubwa sana
Mbona hiyo Imani ya England haikupata nguvu zaidi ya Roma iliyo dunia nzimaKutawala watu kiimani za dini haimanishi bado utawala wako ni superior,empire kutawala maana yake ni kuongoza kiuchumi na kijesho na sio nadharia zako za kiimani.
USA leo ndio mtawala wa Dunia,anaweza akaamua akafanya kama wenzie kuanzisha imani zao binafsi,kama alivyofanya England kuuukataa imani za kiromani na kuanzisha Uangilikana.
Wamekukosea nini hao Wasabato?Amekiandika nani isiwe ni Wasabato wameandika. ?
Mkuu umeeleza vizuri sana na kwali bado tusafari ndefu kupataUlikuwa ni wa uapa sababu aliama kukusanya pesa kutoka mikononi wa watu na kuzipeleka treasury. Zilipofika hazina akazitumia kulipa madeni ya ndani a nje. Kumbuka kuwa tulikoa je ulitaka tusirudishe mikopo? Wafanyakazi wa serikalini hawakuwa na hadhi, ni wakati wa Mkapa watu walianza ku feel hadhi ya kuajiriwa serikalini. Walilipwa madeni mbalimbali yakiwemo malimbikizo ya mishahara. Wakaanza kulipwa mishahara ndani muda. Wafanyabiashara ambao walizoea kuishi kijanja huku kodi hawalipi ndiyo wakaanza kuiimba wimbo wa 'Ukapa'.
Ni wakati wa Mkapa watu wakaanza kujenga nyumba za maana za kuishi, ni wakatti huo Mbezi beach na Mikocheni na Msasani zikafunguka hasa kwa kujengeka. Watu wakaiona thamani ya hela, Jiji likaanza kuwa safi. Tuliokuwa Dar miaka hiyo tunakatisha tunatembea huki posta tunakwepa vinyesi vya wahindi ambavyo wamevifunga kwenye mifuko ya Rambo na kuvitupa barabarani. Jiji lilikuwa linanuka hasa na hakuna wa kufanya usafi.
Wakati wa Mkapa yote yalirekebishwa
Mkapa aliacha beacon za Uchumi ziiwa itact, Kikwete aliwahi kukiri kwamba, kwenye swala la barabara Mkapa alacha Pesa yote ya miradi ya barabara iliyotekelezwa katika kipindi chake na hata hazia alikuta pesa ya kutosha.
Hizi ni story tu ambazo mkishasimuliwa wasikilizajimnaitikia Aamin na nyinyi mnazibeba kwenda kusimuliwa.
Nchi zenu ni za hovyo, watu wa hovyo halafu mkiwapa madaraka wanaishia kufanya mambo ya hovyo, baada ya hapo badala mlaumiane, mkosoane na kujfuza ili mjijenge, mnatufata vitu vya kufikirika ili mvilaumu. Katiba hamtaki ibadilishwe mnataka kulaumu vitu vya kufikirika. Mnaandaa uchaguzi, halafu mnauharibu wenyewe huku watu wakitekwa na kuawa, bado mnarudi vijiweni kulaumu vya kufikirika.
Kumbe tatizo la watanzania siyo CCM na serikali yake bali ni Warumi.
Acha CCM iendelee kuwanyeeni vichwan
Huwa ni wazushi na wanapenda kutafuta umaarufuWamekukosea nini hao Wasabato?
Tanzania tuna Ccm EmpireMkuu umeeleza vizuri sana na kwali bado tusafari ndefu kupata
Katiba mpya na CCM kuondoka kwa sababu watu bado wa na fikra
duni sana.
Ukoloni Mamboleo upo ni kama unauliza hivi duniani kuna Usawa ? Jibu ni kwamba Law of Nature au kama ndugu zetu wahindi wanavyosemaJe mpaka sasa ukoloni upo duniani au haupo?
Kobazi akili zenu zilisharuka hatushangaiNdio ushangae kuna wamatumbi mpaka leo wanajiita wa roma
Nimekuletea hiyo usome il uweze kuelimika. Next time unapoongelea kuhusu Wagalatia basi uwe unajua kwamba kumbe Ottoman Empire ndiyo Wagalatia ambapo sasa hivi ndiyo inaitwa UturukiIla wagaratia mna mambo ya ajabu sana, mara mtuambie kuwa Wayahudi ndo wana tawala dunia ,mara waroma ndo wanatawala dunia mara Marekani ndo inatawala dunia sasa kushike lipi?
%70 ya wakatoliki duniani ni kutoka Africa na America ya kusini na ndo mabara yaliyo jaa umasikini na uharibifu kuliko sehemu yeyote ulimwenguni.
Ndio nilikujibu kwenye swali lako la rise and fall of Roman Empire kwa sababu hataUkoloni Mamboleo upo ni kama unauliza hivi duniani kuna Usawa ? Jibu ni kwamba Law of Nature au kama ndugu zetu wahindi wanavyosema
Matsya Nyaya (Sanskrit: मात्स्यन्याय; IAST: mātsyanyāya) is an ancient Indian philosophy which refers to the principle of the Law of Fish. It is described as the fundamental law of nature explained by the proverb of the big fish devouring the smaller fish, hence strong devour the weak. It can be equated to the 'Law of the Jungle'.
By the way nikifuata logic yako ukiongelea Ukoloni hakuna Sehemu iliyofanya Colonilization kama British Empire sasa hapo swali linakuja was British a Roman Empire by another Name ?
Alipaswa kufanya zaidi
Wakati wake uliitwa wakati wa ukapa maisha yalikuwa magumu sana huku akibinafsisha (uza) taasisi na mashirika ya umma kwa kigezo Cha uwekezaji
Japo alihubiri ukweli na uwazi lakini ndio kipindi ambacho Ulimwengu alipitia wakati mgumu sana
Suala la barabara wakati wa kikwete ndio zilisambaa zaidi kuliko wakati wa Mkapa
Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah
%70 ya wakatoliki duniani ni kutoka Africa na America ya kusini na ndo mabara yaliyo jaa umasikini na uharibifu kuliko sehemu yeyote ulimwenguni.
Ww umetaja nchi moja moja mimi nimetaja population kwa ujumla.Top 10 Countries With a Predominantly Catholic Population.
View attachment 3164094
- Brazil
- Mexico
- The Philippines
- The United States
- Italy
- France
- Colombia
- Poland
- Spain
- The Democratic Republic of the Congo
Tuambie sasa kati ya Marekani, wayahudi,na Roman katoliki nani mtawala wa dunia maana leo mnamsema huyu kesho mnamsema huyu sasa mnataka tuwaeleweje?Nimekuletea hiyo usome il uweze kuelimika. Next time unapoongelea kuhusu Wagalatia basi uwe unajua kwamba kumbe Ottoman Empire ndiyo Wagalatia ambapo sasa hivi ndiyo inaitwa Uturuki
View attachment 3164033
Zitafanikiwa though, very soonNdio empire pekee ambayo haijapindiliwa. Badala yake, ndio empire pekee iliyogawanyika. Jitihada zote za kuiunganisha zinagonga mwamba
Mkuu nan kakuambia mimi ni kobazi😂😂😂Kobazi akili zenu zilisharuka hatushangai