Katika Empire zote zilizowahi kuwepo duniani, Roman Empire bado inaendelea kutawala

Kwasababu haiwezekani kabisa Captain mwenye experience ya miaka 25 kupita eneo hilo na ukapewa telegram muda wote kuhusu hali mbaya mbele bado ukomae meli iende full ahead.
Alafu kuna matajiri na watu mashuhuri kama JMorgan wali cancel safari masaa machache kabla safari haijaanza.

Pia baada ya meli kuanza kuzama, walipiga fataki la kutoa ishara ya hatari lakini ajabu fataki liliwaka au kulipuka kwa rangi nyeupe badala ya nyekundu kama ishara ya hatari. Nani alibadili fataki na kwa lengo gani?
 
Sahihi kabisa, Roman Empire bado inatawala na mipango yao au think tank ni upande wa Black pope (Jesuits).
Roman Empire ilivyosambaratika ilisha jumla. Hao Majesuit unaowasema ni wa Roma ya Kidini (Holy Roman Empire) ya Kijerumani. Lakini Roman empire ya Rumi, but ya Kijerumani
 
Roman Empire ilivyosambaratika ilisha jumla. Hao Majesuit unaowasema ni wa Roma ya Kidini (Holy Roman Empire) ya Kijerumani. Lakini Roman empire ya Rumi, but ya Kijerumani
Jesuits haijaanza leo bali enzi za Roman empire, Jesuits ni kikosi maalum kwaajili ya kukabiliana na wapinzani wa Roman empire na tawala zake.

Jesuits ipo chini ya Black pope ambaye sio rahisi kumsikia akitajwa kama white pope. Ndyomaana anaitwa Black pope kwani ana operate gizani.

Research.......
 
Holy Roman Empire ndo German na ndo ambayo impacts za utawala wake inaendelea hadi Leo hii. Wengi wanafikuri Holy Roman Empire ndo Italy ya Leo. It's big No
Hata Mimi nafikiri hivyo kuwa Italy ndio Rumi na je kama sio Rumi makao makuu ya Roman empire yalikuwa wapi na viongozi wake origin Yao ilikuwa ipi kwa muktadha wa ramani ya sasa
 
Kuna mdau ametoa takwimu za Wakatoliki. Bara lenye Wakatoliki wengi zaidi ni North America ikifuatiwa na South America, followed by Europe, Asia then Afrika.
 
Hata Mimi nafikiri hivyo kuwa Italy ndio Rumi na je kama sio Rumi makao makuu ya Roman empire yalikuwa wapi na viongozi wake origin Yao ilikuwa ipi kwa muktadha wa ramani ya sasa
Makao ya Roman Empire yalikuwa Rome, Italy na baadaye Constantine akahamishia Constanipole ambayo ndo Instambul ya Uturiki ya Leo.

But Holy Roman Empire ya Kikatoliki iliongozwa na Ujerumani ya Kikatoliki na ilitawala Karibu Ulaya yote isipokuwa Uingereza. Dola hii haikuwa na mji maalum kama makao makuu yake. Pale anapotokea mtawala ndo huwa oanakuwa makao makuu ya muda huo.

Holy Roman Empire na Roman Empire ni tawala mbili tofauti. Wakati Roman Empire ya awali yakipagani ilikuwa maelfu mengine wa Wakristo wa awali Holy Roman Empire ilikuwa mamilioni ya wapinga Ukatoliki.

Dola hii ya Holy Roman Empire yaani Roma ya Kidini (ya Kikatoliki) ndo iliyoacha trical down effects hadi Leo hii. Hii ndo Roma ya akina Papa Gregory Mkuu. Hii ndo Dola iliyopiga vita vingi vya Kidini almaarufu kama Crusade
 
Hahaha watu kwa mbaali wakajua raia wanafanya tafrija kule..

Niliwahi kumsoma Father Malachi Martin kwenye kitabu cha The Jesuits nilimwelewa sana.
 
Mbona inakuwa mbishi. Roman Empire na Holy Roman Empire ni Empire mbili tofauti. Roman Empire ninya kirumi au Italy ya Leo na Holy Roman Empire ni Kikatoliki ndo yenye Jesuits kama shirika la kijasusi la Kikatoli ambayo ndo yenye Holy Roman Empire.
 
Mbona
Huu uzi umebadilishwa? Nilitaka kuchangia pale kwenye jedwali la hizo Empires lakini nashangaa imepotea!
 
Ndiyo inayotawala ulimwengu. Angalia Trump, tayari ni kiongozi wa ulimwengu, ni mkatoliki, kumbuka "Roman Catholic ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…