much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ubinafsi wao upo wapi au kutokumbatia ufisadi ndo ubinafsi?Ni kweli ila wabinafsi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubinafsi wao upo wapi au kutokumbatia ufisadi ndo ubinafsi?Ni kweli ila wabinafsi sana
Tambua kuwa kuna Roman Empire na Holy Roman Empire. Baada ya kanisa kuwa sehemu ya Dola la Rumi, lilipata nguvu na kuwa na Taasisi kama Serikali. Hivyo baadaye Roman Empire ilipoanguka likabaki Kanisa Katoliki ndiyo huitwa Holy Roman Empire!Kama waroma( Vatican ) tuliweza kupenyeza mfumo wa kalenda unaowezesha kujua muda na tarehe ; Hii ni dalili kuwa wakatoliki ( Vatican) tuna nguvu ya kuitawala dunia . Mfumo wa Gregorian-kalenda ndo unatumiwa na nchi nyingi duniani leo na kesho ikiwemo marekani.
Share basi tafadhali ulichonachoJesuits sio watu wazuri hata kidogo, nilifahamu mambo yao mengi kupitia hicho kitabu, hawa sio watu wa kawaida ni zaidi ya psychopath
View attachment 3163807View attachment 3163808
India ina %2 tu ya wakristo nchini humo India ina wakatoliki wachache na wanakabiliwa na changamoto ya wahindu wenye misimamo mikali wana wanyanyasa sana hivyo hawana uhuru wa kuabu.India pia inawakatoliki wengi kwa percentage ya population ni ndogo lakini
Kumbuka ina watu wengi kama 1.4 billions. Nawanaongezeka kwa kasi hata nchi za kiarabu.
Akifanya pupa bila kuwa na utulivu. Amgekuwa na utulivu kidogo German Empire inhekuwepi hadi Leo. Wajerani wenzake waliotangulia waliitawala Ulaya karibu yote kwa miaka zaidi ya 900 kupitia Dola walitoiita Holy Roman Empire.Germany Empire ya Adolf Hitler ili-fail
2 percent ya watu Bilioni 1.4 siyo watu wachache shekhe. Pia kumbuka tamaduni za India hazina ugomvi mkubwa na Ukatoliki ukilinganisha na Uislamu.India ina %2 tu ya wakristo nchini humo India ina wakatoliki wachache na wanakabiliwa na changamoto ya wahindu wenye misimamo mikali wana wanyanyasa sana hivyo hawana uhuru wa kuabu.
Hizo takwimu za ukatoliki kuenea kwenye nchi za kiarabu sijui umezitoa wapi waarabu wengi ambao ni wakristo ni wafuasi wa kanisa la koptic na sio wakatoliki.
Alafu ukatoliki kwa sasa hauenei bali una fifia kutokana na kubuka kwa makisa ya kiroho.
Na ukatoliki India upo mda mrefu sana na una maskofu na makadinali wengi.2 percent ya watu Bilioni 1.4 siyo watu wachache shekhe. Pia kumbuka tamaduni za India hazina ugomvi mkubwa na Ukatoliki ukilinganisha na Uislamu.
Ukatoliki unaongezeka sana barani Asia hata nchi za Kiislamu mfano Pakistan nakadhalikaIndia ina %2 tu ya wakristo nchini humo India ina wakatoliki wachache na wanakabiliwa na changamoto ya wahindu wenye misimamo mikali wana wanyanyasa sana hivyo hawana uhuru wa kuabu.
Hizo takwimu za ukatoliki kuenea kwenye nchi za kiarabu sijui umezitoa wapi waarabu wengi ambao ni wakristo ni wafuasi wa kanisa la koptic na sio wakatoliki.
Alafu ukatoliki kwa sasa hauenei bali una fifia kutokana na kubuka kwa makisa ya kiroho.
Mmmh kwangu ndiyo unanisanua leo hii nayo imekaaje nipe details japo kwa ufupi tu.Walivyoona rangi nyeupe wakajua watu wanafanya party 😁
Tukio lingine ambalo Jesuits walihusika ni shambulio la Pearl harbour,
Details kuhusu nini mkuu, Pearl harbour au hizo fataki za Titanic?Mmmh kwangu ndiyo unanisanua leo hii nayo imekaaje nipe details japo kwa ufupi tu.
Kwa ufupi ni kwamba Jesuits ndyo waasisi wa mapinduzi makubwa hapa ulimwenguni, wana nguvu sana na wapo juu ya kila kitu.Share basi tafadhali ulichonacho
Mimi nataka nijue lengo lao la kuzamisha hiyo meli ya Titanic ni nini na kwa faida gani?Details kuhusu nini mkuu, Pearl harbour au hizo fataki za Titanic?
Swali nzuri na makini sana....Mimi nataka nijue lengo lao la kuzamisha hiyo meli ya Titanic ni nini na kwa faida gani?
Issue ya Pearl Harbour si kuhusu uvamizi wa wajap pale?Details kuhusu nini mkuu, Pearl harbour au hizo fataki za Titanic?
Kwani kati ya mambo wanayo deal nayo Society of Jesus (Jesuits) ni hayoSwali
Swali nzuri na makini sana....
Sababu ya kuzamisha meli ni kwamba Titanic ilikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walikuwa wana oppose idea ya centralized bank system pale USA.
Jesuits walifanya hivyo ili kuwamaliza na kutoa onyo kwa wale wote wanao wapinga, wameonesha kwamba wanaweza kufanya chochote ilimradi tu wasafishe njia na kutimiza malengo yao.
Hizo ni front activities, zipo operations nyingine wanafanya kwa siri.Kwani kati ya mambo wanayo deal nayo Society of Jesus (Jesuits) ni hayo
Mimi nashaka na walioandika vitabu hivyo. Jesuits ni religion order wana deal zaidi
kusubiri imani na matendo aliyokuwa anafanya Yesu na pia wamejikita kwenye elimu zaidi.
Ndyo, Lakini mainstream information ndyo zinawataja Japanese, Lakini ni tukio lililo asisiwa na Jesuits ili kuhalalisha matumizi ya Nuclear kule Hiroshima...Issue ya Pearl Harbour si kuhusu uvamizi wa wajap pale?
Mkuu inakubidi uusome mapema uelekeo wa mjenga hoja mwenzako kabla hujaenda kuuchosha ubongo wako huko mbele mimi post yake ya kwanza pale juu nimeshaujua uelekeo wake.Ndio ni wazuri sana mbona hata Raisi wa kwanza wa Taifa hili alikuwa Mkatoliki. Na sasa ni
Mwenyeheri soon atakuwa canonised kuwa Mtakatifu Julius K. Nyerere.
Uandishi wa maiti,unajibunia tu ujinga kuandika alimradi umeandika.Hawa warumi ndio wamesababisha hadi Sasa asilimia kubwa ya watanzania wanaamini Bora kutawaliwa na muislam kuliko mkristo(huu ni ukweli unaouma) kwa sababu ya ubinafsi wao
Hapa mtaani yuko mwenyekiti ni mrumi dah🙌🙌🙌🙌mtaa wa jirani yupo sio mrumi 👏👏👏👏ila ndio hivyo warumi fanyieni kazi ubinafsi ni mkubwa sana