Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Ni uandishi wa kipumbavu unao utumia hapa.
Ni kama umetumwa kuja hapa kuwatisha watu. Umelipwa kiasi gani wewe na hao mabwana zako.
 
Wananchi bado hawajaamua sasa
Ila chadema wanalazimisha wananchi waamue kwa ajili ya maslahi yao
 
Amwage hayo maji washa,,wakachukue maji ya Dawasa wamwagalie bustani za jiji.
 
fanyeni kweli sasa kama mtaweza watu tufurahi,siyo kujimwambafai jf tu.
 
Hivi kumbe ndio wale ?? Nimewaona aisee.
 
Nilivyoona neno shamrashamra, nikadhani lazima na picha itahusika
 
Umenena ! Ni kwa sababu hiyo tu !
Hakuna kinachoshindikana ni vile tu nchi zetu huku watu hawana mioyo hiyo raia wakiamua jambo ogopa sana. Mi ninachoweza sema sioni wa kunifanya nitoke nyumbani nikafanye maandano ili hali hata akiwa yeye madarakani hatafanya chochote kile. !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…