Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Usalama wa taifa unaripoti kwake kumbuka hilo.

Kikatiba Rais ndio mwenye kupewa taarifa kuliko mtanzania yoyote yule. Kuiongelea clip hadharani haina maana kwamba hicho ndicho chanzo pekee cha taarifa zake. .
 
Anapewa taarifa za upotoshaji. Nasisitiza taarifa sahihi ndio zenye maana sio taarifa nyingi, au kuwa ndio mwenye kupewa taarifa nyingi. Angekuwa na taarifa nyingi kama usemavyo, asingetumia mfano wa siku nyingi hivyo ambao uko public.
 
Mkuu kaa angle nzuri chukua picha ama short video ili tukusanye ushahidi wa maandalizi yanayofanywa na serikali kuua waandamanaji

Wait a minute.
Hizo silaha nzito ni sawa na kusema, jeshi wamevishwa magwanda ya polisi na hata TISS wapo humo pia.

Raia hawana haki nchi hii
 
Viongozi wa CDM wakikamatwa usiku wa kuamkia tarehe 23/09/2024.

Maandamano yataendelea.?
 
Anapewa taarifa za upotoshaji. Nasisitiza taarifa sahihi ndio zenye maana sio taarifa nyingi, au kuwa ndio mwenye kupewa taarifa nyingi. Angekuwa na taarifa nyingi kama usemavyo, asingetumia mfano wa siku nyingi hivyo ambao uko public.
Tatizo lako ni ujuaji, kudhani unao ufahamu na uelewa kuliko wote wanaomsaidia Rais kwa kumpa taarifa.

Hana umalaika wowote, lakini anazo taarifa nyingi na za kisasa kuliko tunavyofahamu. Ni kiongozi mkuu wa serikali ya JMT.
 
Reactions: Tui

Narudia tena, kama ule utopolo aliokuwa anaongea juzi ndio ushahidi, basi utakuwa unachekesha sana.
 
Hizo damu watakazomwaga Jumatatu ndiyo kaburi la CCM. Sijui Rais amekubali vipi mtego huu wa hatari.
 
Hizo damu watakazomwaga Jumatatu ndiyo kaburi la CCM. Sijui Rais amekubali vipi mtego huu wa hatari.
Wacha bla bla walk the walk.Andamana kwenye maandamano yaliyozuiliwa na Polisi upate unachostahili.Longolongo za keyboard warriors hazikufikishi popote.
 
Hatujali idadi ya anayoyafahamu, bali tunajali ukweli wa anayofahamu. Lakini ni ukweli usiacha shaka hii serekali haina uadilifu, na inashiriki kuendesha uhalifu kwa faida ya kisiasa.
Kila serikali huwa mnaitoa kasoro na bahati mbaya hakuna malaika wanaopewa kazi ya kuongoza hapa duniani.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…