Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usalama wa taifa unaripoti kwake kumbuka hilo.Sina tatizo rais kuwa na taarifa za kina. Kuwa na taarifa sahihi ni muhimu zaidi. Rais ambaye anasimama hadharani na kusema ana clip za Dr.Slaa wa cdm kuhusu utekaji, wakati hiyo clip ina miaka zaidi ya miwili huku mitandaoni, huoni hata ni aibu kusema rais ana taarifa za kina?! Ninapokumbia ueche utoto hiyo ndio maanake.
Anapewa taarifa za upotoshaji. Nasisitiza taarifa sahihi ndio zenye maana sio taarifa nyingi, au kuwa ndio mwenye kupewa taarifa nyingi. Angekuwa na taarifa nyingi kama usemavyo, asingetumia mfano wa siku nyingi hivyo ambao uko public.Usalama wa taifa unaripoti kwake kumbuka hilo.
Kikatiba Rais ndio mwenye kupewa taarifa kuliko mtanzania yoyote yule. Kuiongelea clip hadharani haina maana kwamba hicho ndicho chanzo pekee cha taarifa zake. .
Mkuu kaa angle nzuri chukua picha ama short video ili tukusanye ushahidi wa maandalizi yanayofanywa na serikali kuua waandamanajiAman iwe nanyi wana wa MUNGU
Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao
Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana
FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi
Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran
Samia must go
LONDON BOY
Tatizo lako ni ujuaji, kudhani unao ufahamu na uelewa kuliko wote wanaomsaidia Rais kwa kumpa taarifa.Anapewa taarifa za upotoshaji. Nasisitiza taarifa sahihi ndio zenye maana sio taarifa nyingi, au kuwa ndio mwenye kupewa taarifa nyingi. Angekuwa na taarifa nyingi kama usemavyo, asingetumia mfano wa siku nyingi hivyo ambao uko public.
Narudia tena, kama ule utopolo aliokuwa anaongea juzi ndio ushahidi, basi utakuwa unachekesha sana.Tatizo lako ni ujuaji, kudhani unao ufahamu na uelewa kuliko wote wanaomsaidia Rais kwa kumpa taarifa.
Hana umalaika wowote, lakini anazo taarifa nyingi na za kisasa kuliko tunavyofahamu. Ni kiongozi mkuu wa serikali ya JMT.
Wacha bla bla walk the walk.Andamana kwenye maandamano yaliyozuiliwa na Polisi upate unachostahili.Longolongo za keyboard warriors hazikufikishi popote.Hizo damu watakazomwaga Jumatatu ndiyo kaburi la CCM. Sijui Rais amekubali vipi mtego huu wa hatari.
Hatujui Rais anafahamu mangapi.Narudia tena, kama ule utopolo aliokuwa anaongea juzi ndio ushahidi, basi utakuwa unachekesha sana.
Hatujali idadi ya anayoyafahamu, bali tunajali ukweli wa anayofahamu. Lakini ni ukweli usiacha shaka hii serekali haina uadilifu, na inashiriki kuendesha uhalifu kwa faida ya kisiasa.Hatujui Rais anafahamu mangapi.
Kila serikali huwa mnaitoa kasoro na bahati mbaya hakuna malaika wanaopewa kazi ya kuongoza hapa duniani.Hatujali idadi ya anayoyafahamu, bali tunajali ukweli wa anayofahamu. Lakini ni ukweli usiacha shaka hii serekali haina uadilifu, na inashiriki kuendesha uhalifu kwa faida ya kisiasa.
We kenge kaandamane nyau wekubabako kesho kaandani unyonyeshe watoto mwanaume unauoga wa kimama utabakwa fala wewe Matusi ndo chakula changu <ludisha>
Ndo naenda sasa yaani mikono yangu miguu yangu mdomo wangu we kinachokuwasha nini tuliza kalio chini mama ashura weweWe kenge kaandamane nyau we
🐒🐒💩💩💩💩Ndo naenda sasa yaani mikono yangu miguu yangu mdomo wangu we kinachokuwasha nini tuliza kalio chini mama ashura wewe