Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

Huyu mtu alishafutwa kwenye ulimwengu wa roho na jamii,ategemee kupata baya lolote.Damu za watu sio za kuchezea kabisa.
 
Tafuta hela.
 
Wote wanaomsema kaka wa watu kwa kumtuhumu hawfahamu vyema huyu kaka, wanaomjua vyema hutoona wanaandika wanachoandika baadhi ya watu humu jamvini
 
Tofauti na tuhuma za clouds ni kitu gani kingine alifanya makonda cha kuwatesa watu naona umeelezea ila mwnyewe huna kitu cha kumtuhumu na issue ya clouds nu kampuni kubwa ile mbona haijamfyngulia mashtaka hadi leo mpaka wakili wa kujitegemea ndo afungua mashtaka yanayohusu taasisi nyingine

Makonda angekua na malalamiko kutoka kwa wananchi jamhuri ingemfungulia mashtaka ila hana malalamiko na mwananchi yeyote tofauti na vigogo aliokua anawasema sema kwa mabaya kila siku

Sabaya ametesa watu wazi wazi huwezi mfananisha na konda boy
 
Umekosea sana kuwataja TISS tena ukionyesha Kuwasifia wakati Kiuhalisia wao ndiyo chanzo Kikuu cha Ujeuri, Ubabe, Dharau na Nyodo aliokuwa nao Paul Christian Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…