Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

si alisema ni kati ya vijana wachache wanaokula BATA nchini, haya bata hilo sasa ahangaike nalo,

Haya sasa kwa pilato tarehe 3, ama lah omba maza akuokoe ili dpp aifute.
 
Hii ni kweli isingekuwa ni ule ukiherehere wa uesi na hangaya kupenda vya wajomba, makondakta angekuwa ameshakula shavu muda kwa mama.
Subiri utakaposikia Makonda kala teuzi ndio utawafahamu vizuri CCM.
 
For sure Mungu fundi. Maisha yetu yametawaliwa na sifa na kiburi, uroho wa mali na madaraka. Mara nyingi mwisho mbaya hutokea kwale walio abuse nafasi na madaraka yao. Tujifunze kuishi kwa kuheshimu walio chini yetu ili tunaposhuka au kuporomoka wasikitike badala ya kushangilia
 
Unaweza kutuambia maovu ya mtu na kutudhibitishia au wewe ni mtaamu wa kusimulia baada ya kusimuliwa.....Zingitia muda ni mali.....acha vyombo husika vitimize wajibu wake...,
 
Muda ndo msema kweli uko too imotional.....usipànic relax
 
Magufuli hakuwa "Godfather" wa Makonda bali ni Kikwete ndiye aliyempaisha kuwa mkuu wa wilaya. Wakati Makonda anamshambulia mzee Warioba pale Ubungo plaza kuhusu katiba mpya, aliyekuwa mwenyekti wa CCM ni Kikwete, na pamoja na vurugu hizo, bado Kikwete huyo akampandisha kuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni. Magufuli kamkuta akiwa mkuu wa wilaya hivyo kumfanya mkuu wa mkoa alimpa promotion tu.
 
KARMA IS THE BITCH !!
 
Naomba nikusahihishe kidogo hapa.
Mh Makonda hakumshambulia Mzee Warioba. Ni mpango mkakati ulikuwa umepangwa ili kumharibia Makonda.

Ni kwamba zile fujo hazikutokea kwa bahati mbaya, zilikuwa zimepangwa kabla ya mkutano na wajanja wachache ambao walijua fika kabisa kuwa fujo hizo zitakapotokea, lazima Mh. Makonda akili yake itakuwa ni kumuwahi Mzee Warioba kwa ajili ya kumkinga ili asidhurike. Kwa hiyo kuna watu walikuwa wamejiandaa kwa ajili ya kumfanyia timing hiyo kwamba pindi atakapoonekana tu anaanza kuchukua uelekeo wa kwenda kumsaidia mzee Warioba, task force hiyo itumie nguvu za ziada za kum-bump na kumsukumiza Mh. Makonda ili akambamize Mzee Warioba badala ya kumuokoa. Hii nchi nyie bado haijaifahamu vizuri

Makonda hawezi kuwa mtu wa Kikwete na Magufuli, halafu wakati huo huo tena akawa adui wa Jaji Warioba, na mwenye kudhihirsha uadui huo kwenye umati wa watu; hiki kitu hakipo hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…