Baraka zipi?Anayozungumza Lissu yana baraka zote za chama.
Hakuna hoja yoyote ya Lissu itakayompa nguvu Mbowe kwenye maridhiano, zaidi ya hoja zake kumshusha Mbowe aonekane amerubuniwa na Samia nakufuata yale Samia anayotaka...Lissu hapingi maridhiano.
..Lissu anatetea maridhiano yenye tija.
..Hoja za Lissu ndizo zitakazompa nguvu Mbowe anapojadiliana na CCM.
Mashinikizo hayajawahi kukisaidia chama chochote cha upinzani.Kwanza wewe Si mwana CDM acha uongo.
CCMM wazuiwe kuchukua fomu na upinzani wakubali kutosimamisha mgombea Ili kumnusuru aliyepo sababu hakubaliki,
HOJA hizo zina maslah Gani Kwa Nchi?
Katiba mpya haibembelezwi Wala haiombwi kupitia maridhiano,
Wajitoe tupo tunawasubiri.
Pia ujue Lisu anatumiwa na chama chake kushinikiza sirikali kuharakisha kufanyiwa KAZI mapendekezo ya chama ambayo hayajafanyiwa KAZI.
CDM hakuna mgogoro, Lissu anajaribu kuwakumbusha Sugu na wenzie kuwa KATIBA mpya ndo kipaumbele, ubunge ndo ufuate.
Lisu na CDM wako sawa kabisa.Mashinikizo hayajawahi kukisaidia chama chochote cha upinzani.
Kama raisi aliepo madarakani hataki kitu fulani, basi hakuna wa kumshinikiza kukitaka.
Ndio maana tulishuhudia miaka zaidi ya 7 wapinzani wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara bila mafanikio.
Kama kuna jambo lolote linalohitajika kufanywa basi Mbowe aambiwe ili awasiliane na kiongozi mwenzake wa chama (ccm) ambae ndio mwenye maamuzi ya mwisho kinchi na kichama ili alishughulikie swala fulani kwa haraka zaidi, hii itampa nguvu raisi kutekeleza kile walichokubaliana kwa haraka zaidi, ila kushinikiza tu kwa nguvu kupitia mikutano mbali mbali haitaidia kitu kama vile ilivyoshindwa kusaidia huko nyuma.
.Baraka zipi?
Lisu huwa anapenda aonekane kuwa yeye ndio mwenye mawazo chanya chamani, na kwamba viongozi wengine wote hawana uwezo au ujanja wa kuona yale anayoyaona yeye.Nimekusoma naona leo atleast nimekielewa kile ulichoandika, japo kuna baadhi ya sehemu sikubaliani nawe lakini kwenye suala la Lissu na kile anachofanya nakubaliana nawe 100%
Huyu mtu anayejinasibu ni mwanasheria, ajabu anakuwa wa kwanza kuvunja taratibu za chama chake kama sio mhuni aitwe jina gani lingine?
Kwangu Lissu ni mhuni asiyestahili kukiongoza kile chama, na kama anayafanya haya mambo ya hovyo makusudi ili aonekane na kujitangaza kwa wapiga kura wake, basi siku wakija kumchagua namuona kabisa Lissu akienda kuwa mwenyekiti dikteta Chadema tena aliyesoma sheria.
Jamaa ana mihemko asiyotakiwa kuwa nayo kiongozi, huyu ni dikteta anayelazimisha mawazo yake ndio yafuatwe na wenzake wote hata kama yanakwenda kinyume na makubaliano yao chamani, kwa hiki anachofanya ndio nimemfahamu vizuri zaidi.
The end justifies the means.Hakuna hoja yoyote ya Lissu itakayompa nguvu Mbowe kwenye maridhiano, zaidi ya hoja zake kumshusha Mbowe aonekane amerubuniwa na Samia nakufuata yale Samia anayotaka.
Ukimsikiliza Lissu anavyoongea unamuona kabisa ametawakiwa na ujuaji, mihemko, kama asiyejua wala asiyeona umuhimu wowote wa kuzifuata taratibu zozote ndani ya chama chake, kwa kifupi Lissu ameamua kujitenga na wenzie anaenda na njia yake mwenyewe kwa sasa
Raisi wa sasa ni mtu anaependa siasa za maelewano, kwahiyo nina imani kila lililopangwa katika maridhiano yao litafanyika, japo kila moja litafanywa kwa muda wake.
Inashangaza hata mwaka haujaisha watu washaanza kulalamika na wakati zaidi ya miaka 7 huko nyuma watu hao walikuwa kimyaa.
Usipende kuwaamini sana wanasiasa, maana kuna siku watakwambia ukinichagua mimi nitahakikisha unaishi maisha yako yote bila kufa. Na wakati kiuhalisia hakuna mwanadamu anaeweza kuishi bila kufa akiwemo yeye mwenyewe mwanasiasa husika.
Wewe mwana CCM una Maslahi yepi na Mbowe Hadi umwone Lissu Hana ADABU?Lisu huwa anapenda aonekane kuwa yeye ndio mwenye mawazo chanya chamani, na kwamba viongozi wengine wote hawana uwezo au ujanja wa kuona yale anayoyaona yeye.
Swala la katiba mpya na mengineyo yapo katika mchakato. Na tayari tumeshasikia kwamba raisi kaagiza viongozi wanaohusika na swala hilo la katiba waanza kufanyia kazi yale yanayohitajika. Hiyo ni hatua nzuri ambayo kwa muda wa miaka zaidi ya 7 hatukuishuhudia, wala kufikiria kuishuhudia.
Sasa sijui Lisu anataka raisi afanyaje?
Lakini pia kuna taratibu za kichama ambazo mtu unatakiwa kuzifuata ili kuufikisha ujumbe wako na kufanyiwa kazi na viongozi husika. Sasa yeye hizo taratibu hakupenda kuzifuata na badala yake kaanza kuandaa mikutano ili apate namna ya kuongelea mabaya ya viongozi wenzake kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga na kwamba yeye ndio mjanja asiekubaliana na maamuzi yale.
Mwisho wa siku Mbowe, Mnyika au Lema uvumilivu utawashinda na wao waanze kumjibu majukwaani au mitandaoni. Chama kigawanyike kuhusu maridhiano hayo na maridhiano yafe na nchi irudi kule kule kwenye siasa za uhasama, mikutano ifungiwe tena na nchi irudi katika mfumo uliyokuwepo miaka iliyopita.
Hakuna hoja yoyote ya Lissu itakayompa nguvu Mbowe kwenye maridhiano, zaidi ya hoja zake kumshusha Mbowe aonekane amerubuniwa na Samia nakufuata yale Samia anayotaka.
Ukimsikiliza Lissu anavyoongea unamuona kabisa ametawakiwa na ujuaji, mihemko, kama asiyejua wala asiyeona umuhimu wowote wa kuzifuata taratibu zozote ndani ya chama chake, kwa kifupi Lissu ameamua kujitenga na wenzie anaenda na njia yake mwenyewe kwa sasa
Walijiona kwamba wao wako juu ya chama kwa kuongea, na kufanya maamuzi kinyume na yale yalioamuliwa na chama.
Walijua kwamba hata wakifukuzwa wataondoka na umati wao na kukiacha chama kitupu. Lkn sasa kilichotokea ilikuwa ni tofauti na matarajio yao maana mwisho wa siku wakajikuta wanaondoka wao tu, wale waliowashika masikio mitandaoni wakabaki katika chama chao.
Na CCMM bila SPANA hawaendi, tusiwachekee, tutavuna mabua...CCM ndio kikwazo cha kukamilika kwa maridhiano.
..tutawalaumu Mbowe na Lissu lakini tunajua tatizo liko CCM.
SUK itufunze kuwa CCMM hawana jadi ya kuheshimu maridhiano na makubaliano.Kwa taarifa yako huko CDM tuko kwa kufuata misimamo yake na sio mtu, ndio maana akina Slaa na Zito walitoka kama wao. Hata huyo Mbowe akianza kwenda kinyume na misimamo ya chama atabaki huko chamani na anaokubaliana nao. Pressure ya Lisu kwenye hayo maridhiano itasababisha maridhiano yasiwe na hila, ila kila mmoja akikaa kimya kutaingizwa maridhiano yenye hila ndani yake. Anachofanya Lisu kitasaidia sana haya maridhiano yasiwe ya kuburuzana.
Wachache mno tena wenye uelewa mpana wa maswala ya kisiasa ndo wataelewa kile ulichoandika.Hakuna hoja yoyote ya Lissu itakayompa nguvu Mbowe kwenye maridhiano, zaidi ya hoja zake kumshusha Mbowe aonekane amerubuniwa na Samia nakufuata yale Samia anayotaka.
Ukimsikiliza Lissu anavyoongea unamuona kabisa ametawakiwa na ujuaji, mihemko, kama asiyejua wala asiyeona umuhimu wowote wa kuzifuata taratibu zozote ndani ya chama chake, kwa kifupi Lissu ameamua kujitenga na wenzie anaenda na njia yake mwenyewe kwa sasa
Umenifanya nicheke hadi nabanja 😂😂Lisu na CDM wako sawa kabisa.
SUK imefail vibaya, CDM haipasi kuchukua mkondo huo,
CCCCCM haijawahi kuaminika popote bila shinikizo,
Zittow alimsifia Sa100 aliamini ataachiwa Jimbo kwenye uchaguzi wa marudio kigoma, aliachiwa? Waliiba kura vile vile kama 2020.
Maridhiano yalenge KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI basi.
Huo mkate ni wa wote, ni DHAMBI kugawana wanasiasa while wananchi tunakula mlo mmoja Kwa taabu!!!!
Unao uhakika au wewe ni mmojawspo wa wale wanaokots neno mojamoja kwenye sentensi bila kuelewa na kuipindisha iwe anavyotaka. Mimi mpaka sasa sijaona kutokubaliana maana wote wanashiriki mikutano ambayo imo ndani ya maridhiano.Nisichokijua kipi mbona maridhiano nayajua na mpinga maridhiano namjua.
Au wewe ndo haujui sababu ya mwenyekiti kutaka maridhiano huku makamu wake akionesha wazi kuyakataa?