Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI.
Hawa wanaonesha kutofurahishwa na hatua hii ya viongozi hawa wa CHADEMA kuonana na Rais na kufanya mazungumzo naye ambayo kiukweli ni hatua njema kuelekea kwenye maridhiano na upatanisho mkuu.
Hawa wanaamini kuwa ni kilichowakutanisha hawa ni zaidi ya mazungumzo tu. Wanadhani viongozi hawa kwa kitendo chao cha kukutana na Rais ni UNYONGE na KUUZA UTU wao na possibly wameenda kutulizwa kwa fedha - mulungula eti ili wanyamaze....
Hawa bila shaka ni watu wa ajabu sana na pengine bila shaka yoyote kuwa hawajui watakacho ktk harakati zao za kisiasa na kama wanajua, basi hawajui hicho wakitakacho watakipata kwa njia gani.
Hawa viongozi, Mh. Freeman Mbowe [M/Kiti CHADEMA - taifa] na Mh. Tundu Lissu [M/M/Mwenyekiti Tanzania Bara si tu wamezungumza na kila kitu kubaki gizani, bali wametoa.
Your browser is not able to display this video.
mrejesho (feedback) ya maudhui ya mazungumzo hayo hadharani kila mtu akiona na kusikia...
Hivi ukiwasikiliza hawa viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hapa chini kwenye video hii, kuna mwana - CHADEMA mwenye akili timamu atasema haelewi lolote kweli...?
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI....
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI...
Kundi la akina pangu pakavu tia mchuzi
Hawataki maelewano ili waendelee kuneemeka
Hawana tofauti na wale waliokuwa wanajiita Makomandoo waliokuwa wanasafiri na Simba na Yanga
Ukweli wachelewesha maendeleo ni hili kundi la wachochezi wa ccm
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI....
Mbowe kashatulizwa,,unatoka jela, bila hata kuonana na viongozi wako wa chama, moja kwa moja Ikulu,ajabu sana... Bora Tundu Lisu kukutana na rais imeeleweka
Mbowe kashatulizwa,,unatoka jela, bila hata kuonana na viongozi wako wa chama, moja kwa moja Ikulu,ajabu sana... Bora Tundu Lisu kukutana na rais imeeleweka
Nakubaliana nawe unaposema watu hawajui wanachotafuta na kama wanakijua hawajui njia gani waitumie, njia zao wanazopenda ni outdated sana hazitumiki tena popote kwenye dunia ya leo - kususa.
Kama wanadanganyika kirahisi na propaganda nyepesi za Mbowe kupewa chochote sijui ni kiongozi gani wa Chadema atakaebaki salama, wote watatafutiwa njia ya kuchafuliwa. na kwasababu pamejaa watu wasiojiamini badi propaganda hizo zitapewa uzito.
Kama unajiita mwanasiasa halafu unaogopa mazungumzo basi jiulize mara mbili kama unaielewa siasa, kwani mazungumzo siku zote ndio tool namba moja kwa mwanasiasa, iwe jukwaani, vikaoni na pengine..siasa haihitaji silaha yoyote ni mazungumzo pekee.
Ila kwa kina malema hawawekwi Jera kisa kuwa mpinzani hebu ungechukulia ungekuwa Wewe unawapigania watu wapate katiba mpya ila watu wenyewe kutwa wanaona udaku wa kina wema sepetu instagram una maana kuliko maisha yao!
Nakubaliana nawe unaposema watu hawajui wanachotafuta na kama wanakijua hawajui njia gani waitumie, njia zao wanazopenda ni outdated sana hazitumiki tena popote kwenye dunia ya leo - kususa. siasa haihitaji silaha yoyote ni mazungumzo pekee.