Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI.

Hawa wanaonesha kutofurahishwa na hatua hii ya viongozi hawa wa CHADEMA kuonana na Rais na kufanya mazungumzo naye ambayo kiukweli ni hatua njema kuelekea kwenye maridhiano na upatanisho mkuu.

Hawa wanaamini kuwa ni kilichowakutanisha hawa ni zaidi ya mazungumzo tu. Wanadhani viongozi hawa kwa kitendo chao cha kukutana na Rais ni UNYONGE na KUUZA UTU wao na possibly wameenda kutulizwa kwa fedha - mulungula eti ili wanyamaze....

Hawa bila shaka ni watu wa ajabu sana na pengine bila shaka yoyote kuwa hawajui watakacho ktk harakati zao za kisiasa na kama wanajua, basi hawajui hicho wakitakacho watakipata kwa njia gani.

Hawa viongozi, Mh. Freeman Mbowe [M/Kiti CHADEMA - taifa] na Mh. Tundu Lissu [M/M/Mwenyekiti Tanzania Bara si tu wamezungumza na kila kitu kubaki gizani, bali wametoa.

mrejesho (feedback) ya maudhui ya mazungumzo hayo hadharani kila mtu akiona na kusikia...

Hivi ukiwasikiliza hawa viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hapa chini kwenye video hii, kuna mwana - CHADEMA mwenye akili timamu atasema haelewi lolote kweli...?

Sikiliza...
 
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI....
Ccm lumumba huko kunafukuta moto. Wamechanganyikiwa

Walizoea vurugu na migogoro
 
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI...
Serikali inajikwa ikituona sisi chadema.🤣🤣
 
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI....

Think deep, unafikiri tatizo la CCM na Chadema ni mazungumzo?

LA hasha, Ni mgongani wa Maslahi, yakianza watatofautiana.

Ndo maana the more tulivyokuwa twaelekea 2020 election Magu alikuwa mnyama zaidi.

The more tunaelekea 2025 kama patakuwa na threat ya u Rais wa Mama, Ata change.

Hii Mbowe sijui anapenda Kwa Mkuu wa Wilaya, hakuna kitu ni bla bla bla tu. A revolutionary spirit do not do that.

Kikwete was a good friend of Lowasa, the moment Lowasa kautaka urais. Na Kikwete akamtaka Membe ugomvi ujaanza.

Mwangalie Comred Malema, hajawahi kutoka kwenye malendo yake not once. Anajua hakuna Aman pasipo vita.
 
Hivi huwa hakuna another option?Ni believed violence tu?

Hakuna mswahili atakayeacha kutumia dola Kubaki madarakani, ndo maana nchi za magharibi command ya dollar na maamuzi hayapo moja kwa moja na rais.

Africa, Rais Ana influence ya moja kwa moja na dollar, this is an ending battle, ni struggle ambayo haijawai kuisha.
 
Mbowe kashatulizwa,,unatoka jela, bila hata kuonana na viongozi wako wa chama, moja kwa moja Ikulu,ajabu sana... Bora Tundu Lisu kukutana na rais imeeleweka
 
Mbowe kashatulizwa,,unatoka jela, bila hata kuonana na viongozi wako wa chama, moja kwa moja Ikulu,ajabu sana... Bora Tundu Lisu kukutana na rais imeeleweka
Hawa ndio wanaoitwa wana Chadema na mleta mada, shenzi kabisa.
 
Nakubaliana nawe unaposema watu hawajui wanachotafuta na kama wanakijua hawajui njia gani waitumie, njia zao wanazopenda ni outdated sana hazitumiki tena popote kwenye dunia ya leo - kususa.

Kama wanadanganyika kirahisi na propaganda nyepesi za Mbowe kupewa chochote sijui ni kiongozi gani wa Chadema atakaebaki salama, wote watatafutiwa njia ya kuchafuliwa. na kwasababu pamejaa watu wasiojiamini badi propaganda hizo zitapewa uzito.

Kama unajiita mwanasiasa halafu unaogopa mazungumzo basi jiulize mara mbili kama unaielewa siasa, kwani mazungumzo siku zote ndio tool namba moja kwa mwanasiasa, iwe jukwaani, vikaoni na pengine..siasa haihitaji silaha yoyote ni mazungumzo pekee.
 
Think deep, unafikiri tatizo la CCM na Chadema ni mazungumzo?

LA hasha, Ni mgongani wa Maslahi, yakianza watatofautiana...
Ila kwa kina malema hawawekwi Jera kisa kuwa mpinzani hebu ungechukulia ungekuwa Wewe unawapigania watu wapate katiba mpya ila watu wenyewe kutwa wanaona udaku wa kina wema sepetu instagram una maana kuliko maisha yao!
 
Nakubaliana nawe unaposema watu hawajui wanachotafuta na kama wanakijua hawajui njia gani waitumie, njia zao wanazopenda ni outdated sana hazitumiki tena popote kwenye dunia ya leo - kususa. siasa haihitaji silaha yoyote ni mazungumzo pekee.
Good hatutaki uhasama tuna taka amani
 
Ila kwa kina malema hawawekwi Jera kisa kuwa mpinzani hebu ungechukulia ungekuwa Wewe unawapigania watu wapate katiba mpya ila watu wenyewe kutwa wanaona udaku wa kina wema sepetu instagram una maana kuliko maisha yao!
Bado sn nchi yetu ina matatizo mengi sn
 
Back
Top Bottom