Vitabu vitakatifu vimetaja uchawi zaidi ya mara 100 alafu wewe unapinga? Biblia inaweza kutaja kitu ambacho hakipo?
Ko uchawi unafanya kazi Kwa watu maskini pekee so uchawi means hauna nguvu hauna matokeoBila shaka wewe ni mtoto wa Kishua sana au geti kali sana.
Hivyo sio kosa lako
Una ujinga fulani hivi kichwani mwako.Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Ndugu yangu ndege JOHN still wewe bado Ni kijana mdogo (your still growing up)Kwa hiyo hapo ushahidi wa kuonekana uchawi upo ni kitu gani? Je ni mzee kutokea msijue alikotokea au ni inayosemekana harufu ya jini? Au ni kitendo cha kuambiwa mtupe na muondoke bila kugeuka?
Miaka 29 ni mTu mdogo? Kwamba nitaanza kuona mauza uza nikiwa 40 au. Anyway nitajie mfano wa uza uza.. Kwamba nifilisike? Niugue figo? Mtoto wangu afe? Kitu gani nipe mfano wake ambacho huenda ikawa nguvu ya uchawiNdugu yangu ndege JOHN still wewe bado Ni kijana mdogo (your still growing up)
Nakuombea uishi Sana ili uweze kuyashuhudia mengi na mengineyo wewe bado upo upofuni
ASANTE
Alikuambia hivyo kukuogopesha na kukuaminisha alikua anafanya mambo yasiyowezekanaUnaelewa kweli unachokisema? Kafatilie mazingaombwe ni nini, yanafanyikaje, na yanahitaji vifaa gani kutekeleza.
Babu yangu alikuwa mwanamazingaombwe aliwahi kunambia ule ni uchawi na hatothubutu kumfundisha mwanae yeyote
Inaonekana amezaliwa Melbourne, Australia. 😆We hujui tu au umezaliwa sehemu nzuri
Akili yako imefungwa na imani za maandiko matakatifu tu yaaani Quran na Biblia. Dunia ina imani nyingi mno linapokuja suala la kuamini MUNGU.Utakuwa umechanganyikiwa hapo utakuwa unampinga Mungu
Swali zuri Sana. Kutokuwa muumini namaanisha kwamba fikra hizo hazinitawali tena maana Mungu alishanipa mamlaka ya kuzipuuza na hazina mamlaka juu yangu tena milele...Mheshimiwa Dkt. Gwajima
Unaposema wewe si Muumini wa hizi Imani Una maanisha nini
Kama unasema wewe si muumini wa kuamini kwamba ushirikina haupo basi vilevile wewe ni muumini usiyeamini Mungu yupo.
Ndiyo maana yako mheshimiwa?
Umemaliza kabisa mwenye masikio na asikie na mwenye fahamu na afahamu. Tuache kufarijiana huku tunasababisha majanga tu kwenye jamii na kuulizana bila majibu.Nikueleweshe Tena uchawi upo Kwa maana ya kufanywa yaani matendo yake mfano
Kukamata mkia wa mnyama kuanza kuzunguka nao mbuyu ukiamini fulani kitatokea au kwenda njiapanda kuoga uchi n. K matendo hayo yanafanyika ila hautendi lolote kama ni hela utazipatia kwenye kazi utalipwa na sio eti uloge uende chumbani ukute mahela yamejaa
😀Wewe sasa unatuchekesha tuUchawi upo Mzee, juzi tu hapa nimeurudisha Kwa mshkaji wangu baada ya kushindwa kuuhudumia🤒