Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

Mkuu leo usiku nipo nawewe,, naamini kesho utakuja na uzi mpyaaaaa😎🤏🏾🤼‍♀️😌 wabishi kama nyie ndo tunawataka.
😀😀😀😀😀 Habari za mchana. Nije na Hadith uzeeni huku heee, wewe ndiyo utakuja na hadith sasa maana hapa mume wangu Advocate Gwajima anasema huyo anasemaje eti?
 
Mkuu,kwa hiyo duniani hakuna uchawi,siyo?Tupige vigelegele kama wanyamwezi kwenye maswezi mkuu.🤣🤣
 
When rational fails we turn to spirituality...., In short ni kutafuta majibu rahisi kwa mambo usiyoyajua na tungeendelea kwa mwendelezo huo huenda leo tungekuwa tunaamini Kupatwa kwa Jua (Eclipse) Ni ghadhabu za Muumba
Hapo sasa
 
Ila haihusiani na maendeleo yoyote ni klabu tu za watu. Tufanye kazi tuendelee tuache kumaliza watu kwa kuagiza viungo halafu wakishikwa wakaenda Polisi ni kilio tu kuanzia mwagizaji hadi mpelekaji. Ndiyo nini sasa kama siyo ujinga kwa herufi kubwa
Iwe club au elimu ila ni ya wachawi. LENGO langu sio kushabikia uchawi. Hayo mengine uko sahihi. Mambo hasi kwenye jamii ni mengi ni lazima tuyashinde ikiwemo na uchawi ili kuwe na jamii yenye maendeleo chanya.
 
😀😀😀😀😀 Habari za mchana. Nije na Hadith uzeeni huku heee, wewe ndiyo utakuja na hadith sasa maana hapa mume wangu Advocate Gwajima anasema huyo anasemaje eti?
😂 Salama mheshimiwa

Nitampeleka tu shamba,,huku niliko ni msimu wa mavuno, naamini uchovu atakao amka nao kesho,ataleta ushuhuda.

😆ila nimemtania tu.
 
Mkuu,kwa hiyo duniani hakuna uchawi,siyo?Tupige vigelegele kama wanyamwezi kwenye maswezi mkuu.🤣🤣
Wewe nisikilize mimi pambana na maisha kwa kazi tu haya mengine sikiliza pita hivi, utapoteza muda wako mwisho utatumwa viungo vya watu halafu tutakushika na aliyekutuma atakimbia ubaki peke yako au tutawashika wote mje Polisi mnalilia tu mara ohhh mke wangu watoto wangu mume wangu ... Hovyo hovyo tu
 
Mkuu
Ushawahi weka pesa kwenye kibubu zaidi ya mwaka, na kupasua unakuta 5000 uliyoweka siku ya nyuma!?
 
😂 Salama mheshimiwa

Nitampeleka tu shamba,,huku niliko ni msimu wa mavuno, naamini uchovu atakao amka nao kesho,ataleta ushuhuda.

😆ila nimemtania tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Atakusomea vifungu vya sheria miaka 200
 
Mkuu
Ushawahi weka pesa kwenye kibubu zaidi ya mwaka, na kupasua unakuta 5000 uliyoweka siku ya nyuma!?
 
Mkuu
Ushawahi weka pesa kwenye kibubu zaidi ya mwaka, na kupasua unakuta 5000 uliyoweka siku ya nyuma!?
Niambie wapi nije supervision na vyombo vya habari unielezee vizuri ujibu na maswali yangu🤣
 
Jambo jema muheshimiwa. Itakua aibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…