comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Safarilager
Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
Hayo mabia magumu ndoga inacheza sana.Safarilager
Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
Hatutoi pendekezo kwa Tonto Skol na Primus?Safari moja, huanzisha nyingine.
Hamna kituHmm !..
Je, Castle mtoto!?...
Safari ni safariSafari moja, huanzisha nyingine.
😆😆 Umenikumbusha gari letu hilo la mwanga limepoteaSiyo amani na ujenzi wa vivuko tena?Tunajivunia "Ngorika trans 1967 aka Safari lager"?
Ndio yenyewe sasa, wewe unapiga ipi?Hayo mabia magumu ndoga inacheza sana.
😆😆 Mimi napenda ninywe nikiwa mwenyewe sipend kampan wala kuongea nikiwa napiga mamboOgopa sana rafiki anaekuitia bia 2 ili wewe ununue 5
Safari ndio nembo ya taifa inatakiwa iwekwe kwenye pesa za notiTBL mpaka leo wanajivunia Safari Lager, ukanda wate huu wa Afrika Mashariki....
Ni urithi wa kizazi......
kuna safari ukikuta imekaa sana store imeivaa halafu ikatiwa kwa fridge ikawa baridi oyaa aise ni Tamu balaaTBL mpaka leo wanajivunia Safari Lager, ukanda wate huu wa Afrika Mashariki....
Ni urithi wa kizazi......
Na Inaleta mizuka zaid ya vumbi la congo ndio mana naikubali sijui wanachanganyaga na ninikuna safari ukikuta imekaa sana store imeivaa halafu ikatiwa kwa fridge ikawa baridi oyaa aise ni Tamu balaa
Na Inaleta mizuka zaid ya vumbi la congo ndio mana naikubali sijui wanachanganyaga na nini
Kwanza lebo yake tuu 🔥 🔥. Hawa jamaa noma