Noma sanaArosto ausio😂
Au sio, alcohol yake ngapiNzuri sana japo adimu mtaani hizi nyingine utaziona kama una kunywa maji
😄😄Uzi wa walevi huu wacha niwahi zangu kwenye mkesha wa maombi
Hiyo ni zaidi ya madawa ya kulevya, Mimi napiga bia tuu nyama choma sitakiHuyu jamaa na nyama choma acha kabisa❤️. Though kwa sasa Nimejiuzulu😂
Nshainywa sana pande za dodoma, ni Kali kuliko safariHamna bia pale, tunaziita "kaya masikini"... 😊
4.3 kama sijakoseaAu sio, alcohol yake ngapi
Mbowe anasemaje?Safarilager
Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
Raha ya safari ushushie na nyama choma pilipili kaliii. Umenichekesha mkuu comrade_kipepe na Avatar yako nimekumbuka yale magazeti ya kitambo ya kipepe na fujo zakeHiyo ni zaidi ya madawa ya kulevya, Mimi napiga bia tuu nyama choma sitaki
Astaghafirurah
naunga mkono hojaSafari ndio nembo ya taifa inatakiwa iwekwe kwenye pesa za noti
Kuna mahali " Ntwara" ndani huko wanaiita "TASAF".Hamna bia pale, tunaziita "kaya masikini"... 😊
Kuna mahali " Ntwara" ndani huko wanaiita "TASAF".
Sio kweli bana,balimi ni habari nyingine aisee.mimi kwa kweli safari lager siielewi we nipe balimi tu💪💪💪Hamna bia pale, tunaziita "kaya masikini"... 😊