MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
Leo ni jumatatu mkuu
Utakufa huna nyumba ukiziendekeza safariNikishalewa naanza kutafakari hizo nyumba za msonge hapo kwenye logo
Hapo kizungu kinaanza kujikaribisha kwenye magego ya mnywaji bila shuruti.
Ni haramuNinyi hata muziki hamtakiwi kuushobokea.
Makazi yetu ni peponi wewe endelea kuogopa kunywa biaUtakufa huna nyumba ukiziendekeza safari
Alitegundua bia apewe tuzo ya noble huko alipo😂Hapo kizungu kinaanza kujikaribisha kwenye magego ya mnywaji bila shuruti.
Kunywa kistaarabuMakazi yetu ni peponi wewe endelea kuogopa kunywa bia
kuna watu kila siku ni weekend budaLeo ni jumatatu mkuu
Twende general mkuukuna watu kila siku ni weekend buda
Arosto ausio😂Twende general mkuu
Watu wanatutuia hasira kweli mm Niko LINDO hapa afu MTU anasema kuhusu lager
Ndio, lakini NNA HELAcomrade_kipepe Kipepe bado uko jobless tu?
😋Huwa ni tamu sana hasa ukiwa unakopa,umesimama kaunta na unamuangalia dada muhudumu kwa huba kubwa.
Aisee, hii Mali ni hatari sanaHiyo kitu ndani ina ina barley malt na mhindi kama kimea mzee! Hatari tupuu....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utamu wake unazidi K
View attachment 3660751
Aah aloo uhakika kam sasamba zipoo👍Ndio, lakini NNA HELA
Ilitakiwa hii beer iwe exported nje piaTBL mpaka leo wanajivunia Safari Lager, ukanda wate huu wa Afrika Mashariki....
Ni urithi wa kizazi......
Au umenipatia kazi?Aah aloo uhakika kam sasamba zipoo👍