comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #61
Tusker sijajua Iko vipIlitakiwa hii beer iwe exported nje pia
Kama wenzetu tusker kenya utazikuta mpaka marekani ,uk nk huko
Beer kongwe safari tumeishia masoko ya hapa na pale
Ova
ππInasaidia sana watu kujizima data
Tusker sijajua Iko vip
Hiyo inaitwa, "kama ulidhani umepata basi tambua kuwa umepatikana".Ogopa sana rafiki anaekuitia bia 2 ili wewe ununue 5
Bia isiyotangazwa lakini inaongoza kwa mauzo.TBL mpaka leo wanajivunia Safari Lager, ukanda wate huu wa Afrika Mashariki....
Ni urithi wa kizazi......
πHiyo inaitwa, "kama ulidhani umepata basi tambua kuwa umepatikana".
Kweli kabisa safari ni level nyingineTusker haifiki kwa Safari mkuu! Maji ya mende ni Safari, wengine wanafuata.
Balimi vipi?
Bia 1500 Bigii...hii siyo monde kweli?Hamna bia pale, tunaziita "kaya masikini"... π
Sinywi tena, kumbe wengine tukiagiza mnatuita majina hayo.Hamna bia pale, tunaziita "kaya masikini"... π
Bia 1500 Bigii...hii siyo monde kweli?
Haijafika Daslamu kweli?Balimi, bia ya wasukuma hiyo mkuu. π
Nzuri sana japo adimu mtaani hizi nyingine utaziona kama una kunywa majiTusker sijajua Iko vip
Haijafika Daslamu kweli?
Sinywi tena, kumbe wengine tukiagiza mnatuita majina hayo.