Uwe unaacha uwongo bwana.Hivi kilo ya nyama unajua shingapi?Kua na mafanikio hakutegemei tu unapata kiasi gani cha fedha kwa siku au kwa mwezi,
Inahitajika nidhamu ya fedha,malengo na mipango yako,unaweza ukawa unapata kiasi kidogo cha fedha na ukakitumia vizuri kujiendeleza,na unaweza ukawa unapata kiasi kikubwa cha fedha ila ukawa huna maendeleo yeyote,
Hapa ni issue ya tabia ya mtu na sio kipato anachokipata.
Hasa tabia ya kufanya savings, ndo issue inao tukumba sana mtu anakua cerebrity, mkrugenzi mkuu wa wilaya ambao vipato vyao sio haba, ila akiacha kazi ndani ya miezi mitatu, na kupata tatizo dogo la afya anaomba achangiwe matibabu.....kisa hakua na savings . Financial duscpline kwa wabongo ni zero.Kua na mafanikio hakutegemei tu unapata kiasi gani cha fedha kwa siku au kwa mwezi,
Inahitajika nidhamu ya fedha,malengo na mipango yako,unaweza ukawa unapata kiasi kidogo cha fedha na ukakitumia vizuri kujiendeleza,na unaweza ukawa unapata kiasi kikubwa cha fedha ila ukawa huna maendeleo yeyote,
Hapa ni issue ya tabia ya mtu na sio kipato anachokipata.
Kuishi USA ni kuyapatia maisha haswaaa.Huwa sijui ni nani Alie wadanganya kila anae ishi US kayapatia maisha🤔
Jifundishe kutumia lugha nzuri kwa wachangiaji,inaonekana hata hujaielewa comment yangu,Uwe unaacha uwongo bwana.Hivi kilo ya nyama unajua shingapi?
Kipato unachoingiza unaweza kumudu gharama za maisha.
kilo mbili ya nyama ni elfu 20 na mshahara wako ni laki tano kwa mwezi.
hapo ujakatwa mpaka nadeni
😂😂😂😂😂Nikusanuwe tu.USA kuna majimbo utaishi kulingana na utafutaji wako na mzunguko wake.
Sio lazima ukaishi kama NY useme utoboe kirahisi.
Mtu anaweza kusema nipo USA kumbe yupo mennisota huko kwa wasomali
Baki nyumbani, mbona nyumbani maisha mazuri tu , huko katavi unapata mpaka kiwanja Cha laki 2 pwani unapewa Bure na mke juu🤣Kuishi USA ni kuyapatia maisha haswaaa.
Usifananishe na Tanzagiza, wee MM acha zako. Lol
Wee unataka uwe hapo kwa Trump pekee ako? Watu washa sanukaa, wanakuja huko huko kuchakaaa.Yeah nakubali , ila kwa mada husika inawezekana pia huyo bibie anachakaa tu bwashee 😅,Mimi binafsi naona kama bongo pamekushinda hata US patakuchakaza tu japo Kuna ka unafuu fulani
Saving zinakuja kulingana na mzunguko wa pesa.Uwezi kutumia pesa zote kama mzunguko unakuja wenyewe.Jifundishe kutumia lugha nzuri kwa wachangiaji,inaonekana hata hujaielewa comment yangu,
Nilichokiandika na ulichokijibu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Huu mwaka hauishi, Niko kwa Takadini wa Kizungu,Baki nyumbani, mbona nyumbani maisha mazuri tu , huko katavi unapata mpaka kiwanja Cha laki 2 pwani unapewa Bure na mke juu🤣
Haina age mkuuLeo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.
Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu janja maana zamani facebook lazima utumie kompyuta na simu zinazotumia opera mini za zamani.
Simu janja zilivyoingia nilibahatika kumuona kwenye facebook nako nika puuzia tu,kipindi kazi za kusaka maisha yalikuwa bize sana.
Jana nimekutana na rafiki yangu tulipotezana tokea mwaka 2011.
Kanieleza yule mtu wako sasa kawa injinia na yupo zake USA.Kashaolewa.
Leo asubuhi na mwangalia mke wangu huyu shirole pro max.
Em piga hesabu ww mwnyw kulingana na hy pesa hpo, n kwamba kwa siku anaweza kupata sio chini ya Tsh 300kKima Cha chini Cha mashahara wa mfanyakazi wa kawaida ni Kati ya dollar 15 mpaka 19 kwa saa
Anaishi vipi US kulipa bills ,na kufanya saving zake mpaka ajenge ghorofa bongo?
Utachakaa shauri yako😂Huu mwaka hauishi, Niko kwa Takadini wa Kizungu,
Yaani hivyooo, itajulikana mbele kwa mbeleeee.
Umemaliza kila kitu.USA dream country ukiwa na kipaji,uwezo,nguvu za utafutaji.
Tanzania stupidity country yani keki ya nchi ni ya familia za wachache.
Sawa bwashee 🤗Em piga hesabu ww mwnyw kulingana na hy pesa hpo, n kwamba kwa siku anaweza kupata sio chini ya Tsh 300k
Wenzetu wakienda kupambana huko hawaendi kufanya starehe hata kulala n wanabebana wengi ndani ya chumba kimoja hvy kuna costs wanazipunguza kwa kubebana hvy bado unaweza kufanya jambo la maana nyumbani
Dola 19 kwa saa ina maana akifanya kazi masaa 10 ni dola 190. Akilipa bills hapo labda itabaki dola 100. Hela ya kawaida sana hiyo hata bongo inapatikana.Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo