Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

Saving zinakuja kulingana na mzunguko wa pesa.Uwezi kutumia pesa zote kama mzunguko unakuja wenyewe.

wenzako tumekaa nje
Wewe unajua mimi nipo wapi? naishi wapi?
unaposema saving tuna kushangaa
Unanishangaa wewe na nani?

Saving hipo kwako sababu kipato chako na maisha yako yamekufanya kuwa hivyo.
Kwenye comment yangu nimeongelea saving?
Unapoingiza zaidi ya milioni kwa mwezi alafu ukitoa laki 5 kila kitu ndani ya nyumba hapo si ishakuwa imejiweka yenyewe.

sasa wewe unaingiza laki 2 kwa mwezi na unaitaji kununua gari,Hapo vidonda vya tumbo vitakuhusu
Hivi kwenye comment yangu nimeweka amount ya kipato?
Naona hata comment yangu hujaielewa ndio maana unatoa mfano sijui kilo 2 za nyama ni elfu 20 utafikiri huyo mtu kila siku atakua ananunua nyama kilo mbili,

Anywa way kama hujaielewa comment yangu au unaona haikufai,fanya mambo mengine.
 
"Bongo kazi nzuri labda kuchimba kokoto"

Maisha mazuri yapo mbele kwa mbele .Hii nyimbo sikumbuki jina la huyu
Swadaktaaaaaa!!
Kuna mdada ni msomi, kaenda huko USA, kakaa miaka 2 kashajenga nyumba yake, kajengea wazazi wake pia.
Sahiviii hii yuko likizo, anakimbiza mtaani na ndinga ya range rover Discovery.

Afu mtu adanganye hapa, USA kuna kuchakaaa.
Mie sielewiiiii.
 
Tanzania hakuna exposure ya watu kusafiri.
Ndio maana viongozi wa CCM wanawadanganya kuwa tunaonewa wivu kumbe kuwaweka gizani.

Wanaijeria,wa ghana wanaenda kutafuta maisha nje na wakirudi makwao angalia walivyowekeza kwao.
Hizi pesa za madafu zetu uwezi kusema utatoboa.

Mwalimu wa chekechea USA sawa na mshahara lecture wa mzumbe.
 
Sasa huu mfano wako si unaweza hata kuutumia kwa Bongo?

Mfano Hamonize alitoka Mtwara akawa anauza Chai Dar,akapambana na maisha na sasa hivi anaendesha Range Rover,ndio maana nasema maisha ni mipango yako,malengo,nidhamu ya fedha na kuupa thamani muda,

Ni kweli kuna nchi zina opportunity nyingi but still inategemea na akili ya mtu.
 
Wewe jidanganye tu , shauri yako.
Wanao chakaa ni wale wasio na ujuzi, Ubunifu, na uchapakazi.

Yaan mie nikiingiaa kwa Trump, miaka yangu 3 nakua yuleeeeee, sio huyu tenaa.

Elimu, ujuzi, ubunifu, uchapakazi, vyote ninavyo.
Tatizo sehemu niliyopo hainipi uwanda wa kufanya hivyo, bora nisepeee zangu.

Kwani huku watu hawachakaiii? Tena wako hoe hae hatariiii.
Bwana wee usitishe watu, wanakuja huko wajionee wenyewee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakubali
 
Kwanza ukiwa na talent ushatoboa.Kuna jamaa anacheza sarakasi anatokea mbagara mtongani ila anamzidi mrisho mpoto kwa mpunga.
 
Na huko kuchakaaa mnakosema hapa kwetu watu hawachakaiii?
Konde nae wa kutolea mfano? Kwelii? Aaaah.

Watu watajionea wenyewe huko huko wakifika kwa Trump na kuchakaa, msitishe watu hapa.
 
Ni kweli mie pia nilipitia hayo
 
Na huko kuchakaaa mnakosema hapa kwetu watu hawachakaiii?
Konde nae wa kutolea mfano? Kwelii? Aaaah.

Watu watajionea wenyewe huko huko wakifika kwa Trump na kuchakaa, msitishe watu hapa.
Hakuna anayetishwa,kila nchi wapo waliochakaa na wapo waliotusua,
Hakuna nchi ambayo kila mtu kayapatia maisha au kila mtu kachakaa.
 
Kwanza ukiwa na talent ushatoboa.Kuna jamaa anacheza sarakasi anatokea mbagara mtongani ila anamzidi mrisho mpoto kwa mpunga.
Mie mtu hanidanganyi kuhusu maisha, afu sijuagi kwanini Disapora wengi hawapendi wenzao waende huko majuu yaani story zao mda wote kukatisha tamaa wenzao kuhusu maisha ya huko nje...
Utashangaa wanavyoipamba nchi yetu ina fursa nyingi za kutoboa, ili hali wao wamekimbia.
Ni WANAFIKI na KIJICHO. lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bongo unaweza ishiwa chumvi ukaomba kwa mama Aisha , pakulala hutokosa , ukichakaa US unachakaa kweli utarudi bongo na bichwa kubwa tu nasaa nzuri
 
Ni kweli mie pia nilipitia hayo

Ma disapora wanacho kataa ukifika kule utafahamu kazi anayofanya na yupo makazi gani.
Sawa na mtu kwenda kijiji kwao anawaambia anaishi DSM kumbe yupo chamanzi huko kwenye komborera na kazi zake kusambaza soda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…