Labda ulienda ukazamia ulifika kwa madiba hapo.Miezi kadhaa nyuma nilienda abroad nikakaa kama mwezi mmoja, nilichojifunza nyumbani ni kuzuri sana na maisha yetu ya kitanzania jinsi tunavyosocialize hayana mfano popote hapa duniani, kwa sasa sifikirii tena kwenda nchi yeyote kutafuta maisha kwasababu Tanzania yetu ni nzuri sana, usiporead between the lines huwezi kunielewa ila ukituliza macho mara nne tano unaweza kuelewa, coca wetu.
Punguza hasira. Omba ushauri ili nawe uwe unapata pesa ukiwa hapahapa bongoInapatikana kwako mlivyokuwa na mapete mkileta propaganda za kumsifia samia.
hahhhahhaha! Buku 7 nayo ni pesa? Hahhhahhahh!Punguza hasira. Omba ushauri ili nawe uwe unapata pesa ukiwa hapahapa bongo
Hatareee sio kidogooo mpwa a haya Mambooo sikia kwa watuuHii hatarinmpwa
Sasa kaka mkuu kishasema madamu amekuwa Engineering mambo si mazuri hayo. Lakini hakusema engineer wa kitu ganiHuwa sijui ni nani Alie wadanganya kila anae ishi US kayapatia maishaπ€
Upo sahihi ila kwa kipato Cha dollar 19 kwa saa , bado una kazi nzito ya kufanya ili ujenge ghorofa bongo
Hawa mnao waongelea hapa mwenye kupata hizo $19 to $25 ni wale wa viwandani na fast food. Kuna watu kwa saa wanapata $200 na zaidi, kuna wana wanapata $2,000 mpaka $3,000 kwa wiki kule.I know people wanaolamba $25 na wakafanya mambo makubwa tu nyumbani but it depends sn na unafanya fani gani, hasa inayokupa overtime na bonuses!
Ni nje ya Africa, anyways that's your opinion, no offense.Labda ulienda ukazamia ulifika kwa madiba hapo.
Ujafika nchi ya USA.Nenda hapo jimbo la alaska tu ya USA.
Utanishurukuru.
Sasa hii si sawa na raia kibao happa Tz wanaajira serikalini na private huko ila maisha yao ni magumu kupindukia.Sawa tuambie nawale walio kaa hata zaidi ya miaka 20 ila hawana hatapakufikiwa wakija Africa, dollor 200k ni sawa na 500m za kitanzania its possible kuikusanya sio ajabu sana. Ila zaidi ya 70% hawana kitu.
Pole mkuu.Haina age mkuu
Unaweza Pata demu mzuri tabia nzuri una 24 ukaogopa kuoa kiss hana maisha una 30 uko lwa wazazi unashangaa demu kaolewa
Ana nyumba gafla
Ana gari
Anakupa lift
Unamwomba nauli anakupa
Ooh isikukute weee
Achana nae huyu. Kaa mkao mngoni wwangu uje tujenge maisha.Wanao chakaa ni wale wasio na ujuzi, Ubunifu, na uchapakazi.
Yaan mie nikiingiaa kwa Trump, miaka yangu 3 nakua yuleeeeee, sio huyu tenaa.
Elimu, ujuzi, ubunifu, uchapakazi, vyote ninavyo.
Tatizo sehemu niliyopo hainipi uwanda wa kufanya hivyo, bora nisepeee zangu.
Kwani huku watu hawachakaiii? Tena wako hoe hae hatariiii.
Bwana wee usitishe watu, wanakuja huko wajionee wenyewee.
ππππππ
Yes jamaa aliongelea kiwango cha chini kabisa ndo maana siku ongelea professionals wapo watu wanakunja pesa nzuri tuHawa mnao waongelea hapa mwenye kupata hizo $19 to $25 ni wale wa viwandani na fast food. Kuna watu kwa saa wanapata $200 na zaidi, kuna wana wanapata $2,000 mpaka $3,000 kwa wiki kule.
Mfano bongo hapa kuna wana wanalipa Tzs 3000 kwa siku na kuna wanao pata Tzs10,000 kwa siku na wapo wanapata laki kadhaa na wapo wa million kadhaa pia. Inategemea na kazi utakayoifanya
Na huku tena! Naona unatema madini tu mkuu.You should't regret past decisions,like I wish i could,
Coz at the moment you made them,they felt right or valuable,even if things changed later,
It's about accepting past choices,not dwelling on regret,and recognizing that your perspective and circumstances evolve,So once a good choice might not be now.
Daaah nimecheka sanaKIla saa moja ananunua mifuko miwil ya cement bongo
Ndio wajuba wamemuhamishia USA kwenda kumbinuabinua shida ipo wapi? Mwisho wa yote wote tunazeeka..Leo asubuhi na mwangalia mke wangu huyu shirole pro max.
Anaitwa Dj Yusufu,nilikutana nae Birmingham 2017,nyie chadema muwe mnatuheshimu wakubwa wenu.hahaah"Bongo kazi nzuri labda kuchimba kokoto"
Maisha mazuri yapo mbele kwa mbele .Hii nyimbo sikumbuki jina la huyu