Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa.

Nami nikamnuliaga simu ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti, mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana, kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti, nikapotea tu simu hata sikumpokonya nikapotezea tu.

Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA

Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa

Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz tume 'balance equation' kiroho safi
Alikuletea ngoma this time around, kapime
 
Pole sanaa japo umechelewa kujifunza

Mimi nilimpa mchumba shi'ng 30 na kibarua nmeandika nakupenda akapeleka kwa mamake barua tupu hela akala kachori mind you mama yake alikua Mwalimu wa nidhamu nilikula njiti nusu nizimie
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
Kama unalisiti za hiyo simu na zimeandikwa kwa majina yoka kamili mbona kazi ndogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana nakumbuka ule ushauri wa jamaa hapa jf usimuonee huruma mwanamke. Hawa ni nipe nikuoe ata alie mtoto wake anakufa wacha afe tuu ila usimuonee huruma kabisa
Tatizo la wanawake kwenye akili zao wanacho jua sisi wanaume hatuna Wazazi na ndugu na ata kama tunao hatuna aki ya kuwapa pesa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku tunaongea kuhusu hao viumbe hamskii,kuna story ya kweli kuhusu jamaa yangu nilileta humu kuhusu hao viumbe nikaishia kuambiwa ni ww...simu tu unajiliza hapa kuna watu walifanya makubwa na bado wakaishia kuumizwa vibaya na hawakulia lia.

Me nashangaa mtu anae lialia kuhusu mapenz au mwanamke kamuumiza alafu unakuta ni mtu mzima!!! namuona poyoyo tu..mbona inajulikana wanawake sio waaminifu na hawatabiriki sasa ww unalia lia kwani ulikua haujui kama hawatabiriki hao viumbe?
 
Pole sanaa japo umechelewa kujifunza

Mimi nilimpa mchumba shi'ng 30 na kibarua nmeandika nakupenda akapeleka kwa mamake barua tupu hela akala kachori mind you mama yake alikua Mwalimu wa nidhamu nilikula njiti nusu nizimie
Bado unatongoza watoto?
 
Haaaaaah. Kuwa mpole muite siku moja sehemu ya mbali. Akija piga sana mikanda huku unampelekea moto wa sodoma na Gomora. Then chukua simu yako. Utashangaa anakutafuta tena. Niamini utaheshimika maisha. Wekeza kidogo sana kwa mwanamke asiye mkeo.
 
Ulimpa full box...? Kama box unalo nenda polisi kawaambie umepoteza simu umpe kesi ya wizi maumivu mpate wote tu.
Kweli watanzania ndo maana tunazidi kulaaniwa na 23% yamchongo, Sasa kumpe mtu kesi ya wizi wakat hajaiba Si dhambi hizo na kujiletea mabalaa zaidi
 
Fala sana wewe jamaa narudia fala sana..utakuja kujiua kisa upuuzi
 
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.

Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.

Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.

Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
imeisha hiyooooo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom