Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Hana haki ya kulithi bali ana haki ya kurithi.Mabwege wengi.Na wengi wamesoma na mmojawapo ni Amri Jeshi wa Nchi unayoishi.Bwege utalijua tu.
basi makubwa jinga ni wengi vp hapo
 
acha uongo wewe ,msingekuwa na ndoa za mitala
 
Mimi kuna wakati nilitaka Kusilimu niwe Mwislamu.
Lakini nilivyosoma na kuelewa kuwa siku nikiuacha Uislamu natakiwa kuuwawa nikastuka.

Mungu gani analazimisha Dini.
Kama Freemasoni.

Allah hawezi kuwa Mungu.
Abadan Finalilah.
allah ni mhuni kama wa manzese tu ndio maaana anabagua watu
 
KAFIRI katika ubora wako
Kuonewa w.ke kwa kuvaa stara
Kujikinga na masheitwani ndo kua na majini
Kuiendeleza dini ndo kufanya dhulma
Yni wakristo bhna chuki tu ndo zilowajaa
Mpaka sasa hamjajibu kwa nini Allah aliruhusu umalaya, Yani unachukua mwanamke unakaa nae siku tatu unamuacha unachukua mwingine

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Ukikimbizana na kichaa aliyekuibia watu watadhani wewe pia ni kichaa mpya mjini.Hivyo uamuzi mzuri ni kumuacha kichaa akimbie mwenyewe.
 
Ukikimbizana na kichaa aliyekuibia watu watadhani wewe pia ni kichaa mpya mjini.Hivyo uamuzi mzuri ni kumuacha kichaa akimbie mwenyewe.
Tukiacha kukimbiza kichaa

Embu nieleweshe huyu mungu aliruhusu huu uchafu kwa nini?

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Toa Aya inayosema hivyo mkuu sisi hua tunaenda na ushahidi
 
Toa Aya inayosema hivyo mkuu sisi hua tunaenda na ushahidi
Maneno ya muhammad Jua kabisa kaagizwa na Allah na Koran inasema Muhammad na Allah wanajadiliana jambo kabla halijaja kwa waumini

Kasome 4:24
 
Toa Aya inayosema hivyo mkuu sisi hua tunaenda na ushahidi
Muhammad karuhu mutah kwenye Hadith na walikubaliana na Allah kwanza
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Na bado akanyimwa UONGOZI?!
 
Na bado akanyimwa UONGOZI?!
hiyo ni NATURE mwanamke hawezi aruhusiwi kuongoza chochote mbele ya mwanaume lazima aongozwe na mwanaume
We km vipi check tu sasa hivi uone namna mambo yanavyojiendea halafu linganisha kipindi cha jemedari asiyeyumbishwa na mabeberu

we ushawahi kusikia wapi katika wakati mgumu watu wakakuambia fanya maamuzi ya kike
utasikia watu wanakutia moyo FANYA MAAMUZI YA KIUME
au wanakupongeza KWA KUFANYA MAAMUZI YA KIUME
 
Ukikimbizana na kichaa aliyekuibia watu watadhani wewe pia ni kichaa mpya mjini.Hivyo uamuzi mzuri ni kumuacha kichaa akimbie mwenyewe.
Kwa nini mungu Allah aseme wanawake wapigwe ??

4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Ukikimbizana na kichaa aliyekuibia watu watadhani wewe pia ni kichaa mpya mjini.Hivyo uamuzi mzuri ni kumuacha kichaa akimbie mwenyewe.
Turudi kwenye mada , kwa nini Allah na Muhammad wanasema mwanamke adanganywe

"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people." Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Kwa mujibu wa nature ipi hasa?
 
Unaandika kitu usichokijua kwenye ukristo talaka ruksa kama mmoja wenu amezini na ikathibitika hivyo
Hapana Mkuu! Ni mpaka kifo kiwatenganishe.
Hili la kuthitibika mmoja wao amefanya uzinzi ni katika Uchumba.Katika uchumba mwanamke akifanya Uasherati kabla ya ndoa hata kama ameshatolewa posa Mwanaume ana haki ya kuvunja uchumba na kuomba arudishiwe mahari.Lakini kwa watu ambao tayari wameshaoana na mmoja akafanya uzinzi hapo hakuna kutengana kwa namna yoyote.
Mathayo19:4-7
Mathayo5:30-32
 
Hiyi ni kwa RC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…