Wapi Mwenyezi Mungu karuhusu mutah. Usilete kukoteza mambo kwenye suala la hadith ambalo hauna elimu nazo. We unadhani unatafsiri ovyo kama biblia? Usile kitimoto, mi nakula kwa sababu Brian Deacon katundikwa msalabani
Ibn Uraij reported:
'Ati' reported that jibir b. Abdullah came to perform 'Umra, and we came to his abode, and the people asked him about different things, and then they made a mention of temporary marriage, whereupon he said: Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar.
We muongo kupitiliza. Kwa hiyo unataka kusema hayo maneno kwenye hiyo hadith mutah imeruhusiwa. Na unaelewa nini kuhusu hadith au googling bila kuelewa? Utawapata makafiri ila kwa wakristo wanaojielewa wanaotaka kujua haki hautowapata.
Galatians 5:2
New International Version
2 Mark my words! I, Paul, tell you that if you let yourselves be circumcised,(
A) Christ will be of no value to you at all.