Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Hapana Mkuu! Ni mpaka kifo kiwatenganishe.
Hili la kuthitibika mmoja wao amefanya uzinzi ni katika Uchumba.Katika uchumba mwanamke akifanya Uasherati kabla ya ndoa hata kama ameshatolewa posa Mwanaume ana haki ya kuvunja uchumba na kuomba arudishiwe mahari.Lakini kwa watu ambao tayari wameshaoana na mmoja akafanya uzinzi hapo hakuna kutengana kwa namna yoyote.
Mathayo19:4-7
Mathayo5:30-32
Mathayo 5:31
Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
Mathayo 5:32
lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

Sio
Hapo hajatajwa Mchumba bali Mke.

Kumbuka kuwa uzinzi sio kuchepuka siku moja.

Uzinzi ni tabia ya kupenda Ngono nje ya ulipo halarishwa kutokana na imani yako.

Mkeo akichepuka na kukuomba msamaha inabidi umsamehe tu ndivyo inavyotakiwa.

Uzinzi ni tendo, mfano la mkeo kuendelekeza Ngono na watu wengine.

Ukienda Magoti ambako wanawake wanajiuza, kuna wake za watu pia tena wamepanga na chumba kabisa na ndio kazi yake anayoipenda.

Huyo ndiyo mzinzi, je mkeo akiamua kufanya hivyo utaendelea kubaki naye ?

Mwingine anahama nyumbani kwako na kwenda kuishi kwa hawala yake. Mbinu zote za kumtoa huko zinashindikana je utabaki bachela miaka yako yote iliyobaki ?

Mwingine unamfumania kila kukicha, leo unamfumania na Ali kwesho na Josefu, keshokutwa na James basi ni mwendo huo huo hata umwonye vipi je utaendelea kumvumilia hadi kifo ?

Ndio maana ukaitwa Uzinzi sio wa kufumania mara moja bali tabia ya Uzinzi.

Mkeo akiwa Mzinzi Biblia imeruhusu kumwacha halikadhalika mwanaume.

Wako wanawake wametelekezwa na waume zao kwa miaka mingi na huko aliko Mume kaoa mke mwingine na ana watoto na hana habari ya kumrudia mkewe tena, hapo Mke anaruhusiwa kuolewa na Mume mwingine.

Kudhibitisha Uzinzi wa mwenza wako lazima upitie hatua za Kibiblia kwa Wakristo.

Mke ana ofisi yake Magoti au kahamia kwa hawala au mume kemtelekeza Mke.

Hatua ya kwanza mwite ili kumwonya.
Akikataa mwitie wazee wa familia kama ndugu zake hasa baba na mama zake.

Akikataa liambie Kanisa juu ya hilo swala.

Akikataa oa mke mwingine.
Huna Hatia.
 
Kwenye kuoa 4 ndo wamepatia sana mie ni RC nlie lelewa katka iman ya kikristo ila nna mke na michepuko 3
Alaf maisha yanaenda kote nmezalisha na nina hudumia vzr ingekuwa kuna ruksa yabkoa ningeoa wote
 
Legendary [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Hivi watoto wanaopatikana kwa ndoa ya Muta.
Ni watoto haramu au la ?

Chukulia mfano wewe ni dereva wa malori, leo unaenda Zambia kesho Kongo keshokutwa Malawi na huko kote huendi na Mkeo na unahudhuria Muta.

Hao watoto watakuwa halari au haramu ?
Kutokana na mawaidha ya Mtume kipenzi cha Allah.
 
Hivi watoto wanaopatikana kwa ndoa ya Muta.
Ni watoto haramu au la ?

Chukulia mfano wewe ni dereva wa malori, leo unaenda Zambia kesho Kongo keshokutwa Malawi na hukp kote huendi na Mkeo na unahudhuria Muta.

Hao watoto watakuwa halari au haramu ?
Kutokana na mawaidha ya Mtume kipenzi cha Allah.
We KAFIRI Eleza kwamba Uislamu uliporuhusu aina ya hiyo ndoa uloitaja? mm stki maneno mengi lete ushahidi tu mkweli ajulikane na liongo pia lijulikane
 
Kwenye kuoa 4 ndo wamepatia sana mie ni RC nlie lelewa katka iman ya kikristo ila nna mke na michepuko 3
Alaf maisha yanaenda kote nmezalisha na nina hudumia vzr ingekuwa kuna ruksa yabkoa ningeoa wote
Nashkuru kuzaliwa na kulelewa katika neema ya Uislamu
Uislamu ni.dini inayoendana na kimaumbile
Kuoa wake 4 Mungu Alishawaona waja wake ndo mna akawaruhusu
 
We KAFIRI Eleza kwamba Uislamu uliporuhusu aina ya hiyo ndoa uloitaja? mm stki maneno mengi lete ushahidi tu mkweli ajulikane na liongo pia lijulikane
Soma Sahih al-Bukhari hadith namba 5119.
Kumbe wewe ni maamuma enhe yaani huelewi chochote ktk dini yako.

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Haya nimekuwekea hapo endelea kukanusha mkanusho wako.

Kafiri mkubwa wewe, kama wale makafiri wa Kiarabu.
 
Ndo ushamaliza kudhihirisha ujinga wako? we KAFIRI?
hlf usikasirike kuitwa KAFIRI mana ww sio MUISLAMU

Haya sasa mm nakuletea iyo hadithi uloileta mpk mwisho siikatishi vipande hlf tuone nani msema kweli we KAFIRI umesikia
Screenshot_20220130-115243_Chrome.jpg
 
Soma Sahih al-Bukhari hadith namba 5119.
Kumbe wewe ni maamuma enhe yaani huelewi chochote ktk dini yako.

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Haya nimekuwekea hapo endelea kukanusha mkanusho wako.

Kafiri mkubwa wewe, kama wale makafiri wa Kiarabu.
kawadanganye wengine uko ila sio sisi tunoujua Uislamu wetu
 
Laiti watu wangelisimama vizuri katika njia ya Allah na Mtume wake basi dunia ingelikuwa mahala salama sana, embu jiulize wanawake wote wangekuwa wanavaa stara unadhani uzinzi ungelikuwa mkubwa kiasi hiki?
 
Kwahiyo kwenye hiyo hadithi wewe unaamini maneno ya Ali badala ya Allah Messenger.

We utaendelea kuwa Kafiri tu.
hujui kitu nyamaza kimya ww KAFIRI na ukifa na UKAFIRI wako huo ni Moto tuu

hlf mbona hadithi uliikata kma ww ni mkweli ?
 
hujui kitu nyamaza kimya ww KAFIRI na ukifa na UKAFIRI wako huo ni Moto tuu

hlf mbona hadithi uliikata kma ww ni mkweli ?
Hapo ipo nzima umeweiweka.
Ndio maana nakuuliza

Unaamini maneno ya Allah Messenger au ya Abu Abdullah aliye mnukuu Ali ?

Allah Messenger karuhusu muta
Abu abdullah anasema alimsikia Ali kwamba Mtume kaikanusha Muta.
We hapo unaamini lipi.

Ni kama ila haramu ya Nguruwe.
Muhammadi kaharamisha, Allah karuhusu ukiwa na njaa.
We hapo utamwamini nani.
 
Hapo ipo nzima umeweiweka.
Ndio maana nakuuliza

Unaamini maneno ya Allah Messenger au ya Abu Abdullah aliye mnukuu Ali ?

Allah Messenger karuhusu muta
Abu abdullah anasema alimsikia Ali kwamba Mtume kaikanusha Muta.
We hapo unaamini lipi.

Ni kama ila haramu ya Nguruwe.
Muhammadi kaharamisha Allah karuhusu ukiwa na njaa.
We hapo unamwamini nani.
Ata nzi akiwa serious atatengeneza Asali

Ukiacha ujinga ulokua nao utanufaika na mengi kma nzi sina mda wa kubishana na KAFIRI bcz you know nothing in Islam
 
Ndo ushamaliza kudhihirisha ujinga wako? we KAFIRI?
hlf usikasirike kuitwa KAFIRI mana ww sio MUISLAMU

Haya sasa mm nakuletea iyo hadithi uloileta mpk mwisho siikatishi vipande hlf tuone nani msema kweli we KAFIRI umesikiaView attachment 2100911
mungu Allah karuhusu usiku tatu ule mwanamke alafu auache ule mwingine ,ni vizuri umeanja kutumia sunnah.com kama nilivyo kufundisha

Mutah Ali cancel Muhammad ila Allah bado kwenye verse 4:24 kasema ulipe ukila

Muhammad alikuwa ana cancel mutah wakristo walivyo kuwa wanamcheka
 
Back
Top Bottom