Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Muislamu akiwa ni mtenda mema na mcha Mungu ataenda mbinguni?
Haendi
Kwakuwa hajatii maagizo ya Yesu Kristo.
Mojawapo ni Ubatizo huu hapa.

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

Waislamu wanamkana Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu.

Labda watafika kwenye Mbingu ya Allah.
Mbingu iliyojaa Mito ya Pombe na Wanawake Mabikira.
Spesho kwa waumini kustarehe.

Kufika Mbingu ya Mungu Muumba mbingu na nchi ni lazima Uzaliwe mara ya pili, kwa UBATIZO

Yohana 3:3
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.

Yohana 3:4
Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?

5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
Yohana 3:7 Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.

8 Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.
9 Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa mambo haya?

10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?

11 Amin, amin, nakuambia kwamba, Lile tulijualo twalinena, na lile tuliloliona twalishuhudia; wala ushuhuda wetu hamwukubali.

12 Ikiwa nimewaambia mambo ya duniani, wala hamsadiki, mtasadiki wapi niwaambiapo mambo ya mbinguni?

Labda mbingu ya Allah wanaoweza kuiingia bila UBATIZO
 
Mutah boy , weka original na wela lililobadilishwa ili umalize kabisa ukishindwa ni upumbavu umeandika
 
Kwa hiyo mungu wenu anabagua haya bhana huyo mungu simuhitaji.Mungu ninayemuamini mimi ni yule atakaeniingiza mbinguni kulingana na matendo yangu.
 
Kwa hiyo mungu wenu anabagua haya bhana huyo mungu simuhitaji.Mungu ninayemuamini mimi ni yule atakaeniingiza mbinguni kulingana na matendo yangu.
Uislam Unatufundisha Hivi.[emoji116][emoji116]

Qur'an 49:13 ALLAH (s.w.) anatufahamisha:

"Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane). Hakika aheshimiwaye (Mbora Wenu) sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye mcha Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari (za mambo yote)". (49:13)

Qur'an inafundisha kuwa Mbora Wa Watu Ni Yule Anemcha MWENYEZI MUNGU kwa Kutenda Mema Na Kufuata Maamrisho Yake.

Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- (Hadithi Marfu'u ): Amesema..

Mtume Muhammad Rehma Na Amani Ziwe Juu Yake Amesema..

"Hakika Mwenyezi Mungu hatazami katika miili yenu wala katika sura zenu, lakini anaangalia nyoyo zenu na matendo yenu".

Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
 
Tunapambana nayo na tunayashinda , ila Allah nae anazidi kuyatuma , kama Yana uwezo hapa tunapambana na dini Yao Islam na hayatufanyi kitu
Hili hamjawahi na hamtoweza sababu mnapambana na viumbe msiyo vijua ndiyo maana mnashindwa na mnaendelea kuwa Washirikina.
 
Ulichoongelea ni time frame iwe miaka au mikaka.
Ujinga ni ujinga tu hata udumu milele ndg.
Mmepewa akili bahati mbaya hamjawahi kuzitumia.
Nimecheka sana. Sasa ndiyo ujue katika lugha "miaka na miaka" si sawa na "miaka na mikaka". Ukikosolewa kubali sababu unapo jitutumua unazidi kuonyesha ujinga wako.

Kingine jifunze kuweka kitu mahala pake, hapa tunajadili elimu na uhalisia wewe unaleta mlinganyo usiyo sahihi. Acha hii tabia.

Ama kuhusu akili, huwezi kulinganisha akili yangu na yako hata kwa sekunde, mimi akili yangu imesalimika yako haijasalimika. Kama unabisha angalia unavyo hoji wewe na namna navyo hoji mimi, ni mbingu na ardhi.

Kingine naweza kukupa miaka na mikaka bali mpaka unakufa ukosoe nilicho kiandika hakika hutaweza, hapi ndipo utakapo ona utofauti wa akili yangu na yako kivitendo.
 
miaka na mikaka unadhani ni msamiati mgeni?
Unatofauti gani na miaka na miaka...
 
Elimu na halisia unaelewa nin hapo?
uhalisia ni nini?
Sekunde au mda ndio inalinganisha akili?
Imesalimika kwa maana ipi yan kuwa comfortable na unachokiamini ndio kusalimika?
Nikosoe nini sasa kwako sina cha kukosoa kutoka kwenye fantasy.
 
Jibu kwa hojaa...

Nikweli mna sali na majini... Naomba kujuzwaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
hawezi akakujibu uyo nilishawahi kumuuliza maswali hajanijibu mpk leo na nilishamwambia hatopata majibu yake mpk anakufa

Ni mjinga mmoja ivi uyo asojielewa
 
Elimu na halisia unaelewa nin hapo?
uhalisia ni nini?
Sekunde au mda ndio inalinganisha akili?
Imesalimika kwa maana ipi yan kuwa comfortable na unachokiamini ndio kusalimika?
Nikosoe nini sasa kwako sina cha kukosoa kutoka kwenye fantasy.
Shukrani.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Kwa hiyo mungu wenu anabagua haya bhana huyo mungu simuhitaji.Mungu ninayemuamini mimi ni yule atakaeniingiza mbinguni kulingana na matendo yangu.
Mungu anabaguaje sasa.
Amekuwekea vigezo vya kuingia kwenye Mbingu yake.
Ni jukumu lako kuvifuata kuviacha.

Mbona hata Mungu Allah ana vigezo uli uingie katika Mbingu yake ?

Bila kushahadia
Bila Swala tano
Bila kumpa zaka
Bila kuhiji Maka na kulisujudia Jiwe Jeusi
Bila kufunga ramadhani

Huwezi kuingia kwenye Mbingu ya Allah.
Je huu sio ubaguzi ?
Yaani Watu wote wa Dunia hii yeye amewachagua Waislamu tu ndio waingie kwenye Mbingu yake.
Tena watu wengine anawakejeri na kuwaita Makafiri.

Fikiria Mungu Allah alivyo mbaguzi.
Kawaumba watu, wengine anawapenda wengine anabagua kwa kuwachukia na kuwaita majina ya kajeri.

Wewe unaonaje hapo?
 
Mutah boy , Biblia original ipo kasome hiyo na uache kuandika makala hazina point za maana
 
Hilo la wakorintho nimeshakujibu na nakuonya tena mutah boy acha kuchomoa mstari kwenye Biblia hiyo sio Koran
 
Mutah boy kwanini hamjui dini yenu Allah kasema kila mtu ameshapangiwa wa moto na WA bikra 72 ata ufanyeje huwezi badili
 
Mutah boy kama huna original Kaa kimya , alafu unategemea waandishi wawili waandike kitu kinafanana mpaka nukta alafu vyote vile kwenye biblia ili iweje , hao na mashuuda wawili
 
Mutah boy nachoka kukufundisha dini Yako, toka uko mgogoni kwa baba Yako Allah amesha kupangia

Muhammad, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, per adventure, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins.
 
Hili hamjawahi na hamtoweza sababu mnapambana na viumbe msiyo vijua ndiyo maana mnashindwa na mnaendelea kuwa Washirik
Tunajua tunapambana na Allah kiongozi wao , na tunamshinda

Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…