Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
HaendiMuislamu akiwa ni mtenda mema na mcha Mungu ataenda mbinguni?
Kwakuwa hajatii maagizo ya Yesu Kristo.
Mojawapo ni Ubatizo huu hapa.
Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Waislamu wanamkana Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu.
Labda watafika kwenye Mbingu ya Allah.
Mbingu iliyojaa Mito ya Pombe na Wanawake Mabikira.
Spesho kwa waumini kustarehe.
Kufika Mbingu ya Mungu Muumba mbingu na nchi ni lazima Uzaliwe mara ya pili, kwa UBATIZO
Yohana 3:3
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
Yohana 3:4
Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?
5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.
6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
Yohana 3:7 Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.
8 Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.
9 Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa mambo haya?
10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
11 Amin, amin, nakuambia kwamba, Lile tulijualo twalinena, na lile tuliloliona twalishuhudia; wala ushuhuda wetu hamwukubali.
12 Ikiwa nimewaambia mambo ya duniani, wala hamsadiki, mtasadiki wapi niwaambiapo mambo ya mbinguni?
Labda mbingu ya Allah wanaoweza kuiingia bila UBATIZO