Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Muislamu akiwa ni mtenda mema na mcha Mungu ataenda mbinguni?
Haendi
Kwakuwa hajatii maagizo ya Yesu Kristo.
Mojawapo ni Ubatizo huu hapa.

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

Waislamu wanamkana Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu.

Labda watafika kwenye Mbingu ya Allah.
Mbingu iliyojaa Mito ya Pombe na Wanawake Mabikira.
Spesho kwa waumini kustarehe.

Kufika Mbingu ya Mungu Muumba mbingu na nchi ni lazima Uzaliwe mara ya pili, kwa UBATIZO

Yohana 3:3
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.

Yohana 3:4
Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?

5 Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
Yohana 3:7 Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili.

8 Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.
9 Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa mambo haya?

10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?

11 Amin, amin, nakuambia kwamba, Lile tulijualo twalinena, na lile tuliloliona twalishuhudia; wala ushuhuda wetu hamwukubali.

12 Ikiwa nimewaambia mambo ya duniani, wala hamsadiki, mtasadiki wapi niwaambiapo mambo ya mbinguni?

Labda mbingu ya Allah wanaoweza kuiingia bila UBATIZO
 
[emoji1787][emoji1787]Hicho Kitabu Kweli Ni Kituko Yani Hakijiamini Ndio Maana kinajitia Shaka Chenyewe ILa Mimi Hapo namuamini Paulo Japo yeye Ana mashaka na Maneno Yake Ila Mimi nayaamini... Waliolala katika Kristo wamepoteaaaa.. Yupo Sahihi Kabisa Kwakua kitabu Chenyewe Kina Mashaka mengi Sana. [emoji116][emoji12]

Ngoja Nikupe Faida ya Walimu Wakuu na Waandishi Wa Hiyo Biblia Wanaizungumzia Vipi Sio Wewe Chawa Usiyejua Chochote Alafu ukitoka hapa Nenda kayachunguze haya Kama ulikuwa huyajui.. [emoji2957][emoji12][emoji116]

Mwaka 1952 Viongozi wa kanisa walikutana wakaamua kuliboresha toleo la Biblia la American Standard Version. Matokeo ya jitihada zao Lengo ilikuwa ni kupatikana toleo jingine la Biblia linalojulikana kama "The Revised Standard Version" - yaani toleo la Biblia la kiwango bora na lililofanyiwa marekebisho. Toleo hili lilitoka rasmi mwaka 1952.

Katika dibaji ya Toleo hili kuna maelezo haya: "…Toleo la King James (King James Version) lina makosa na mapungufu mengi mno na hatari sana kiasi kwamba kuna haja kubwa ya kulifanyia marudio na marekebisho toleo zima...". ( Angalia dibaji ya Revised Standard Version)

Katika toleo la Biblia la 'The Revised Standard Version' tunakuta kwamba aya katika injili ya Marko zinazozungumzia juu ya kupaa kwa Yesu (Marko 16: 9-20) zimeondolewa kwa madai kwamba aya hizi hazipatikani katika Biblia (maandiko) ya zamani kabisa. {[emoji15] Kitabu Cha Mungu Hicho hakina Kumbukumbu[emoji23]}

Mwaka 1962 Kutokana na Makosa Mengi katika Biblia yasiopingika yaliyotolewa na watu mbalimbali, Halmashauri ya awamu ya Pili ya Vatican (1962- 1965) ilitoa maelezo yanayoshangaza juu ya jambo hilo ilisema "…Vitabu vya Agano la Kale vina habari zisizo sahihi na zenye mapungufu mengi Na Agano Jipya pia lina kasoro na mapungufu mengi.."

Katika kitabu cha "The Call of the Minaret" (Wito kutoka katika mnara wa msikiti, Adhana), Dr. Kenneth Cragg anasema kwamba

"Kuna mambo yaliyoongezwa na kupunguzwa" katika Agano Jipya na ni kazi ya akili ya viongozi wa kanisa ikiongozwa na waandishi, na kwamba katika kazi zao wanatumia uzoefu na historia."

Carl Andrey, profesa wa falsafa na masomo ya dini ya Kikristo katika Chuo kikuu cha Ball State kilichopo Indiana anasema kwamba vitabu vinne vya Injili: ".Viliandikwa na watu wenye shauku wa harakati za mwanzo za kikristo na kwamba wanatupatia nusu tu ya habari kamili na kwa kiasi kikubwa ni mazao ya fikra za waandishi wao" { [emoji848][emoji848] Kitabu Cha MUNGU Muweza Wa Yote Zinatumika Fikra za Binadamu Kukiboresha[emoji15]}

Mwaka 1989, toleo la Biblia la 'The Revised Standard Version' la 1952 liliboreshwa tena {New Model [emoji23][emoji23]}na hivyo likapatikana toleo jipya "The New Revised Standard Version". Na katika toleo hili aya zinazozungumzia juu ya kupaa kwa Yesu katika Marko 16 zilirejeshwa. Kwa vile Wakristo wengi hawakufurahia "kumomonyolewa" kwa moja ya imani zao za msingi kulikofanywa na Wahariri wa "The Revised Standard Version", ilibidi aya hizi zirejeshwe ili kuwaridhisha. {Yani ilibidi Tu Wafanye Hivyo Ila Hawakupenda}

Dr. W. Graham Scroggie wa "Prestigious Moody Bible Institute" ambaye anasema: "Ndiyo, Biblia ni zao la kazi iliyofanywa na binadamu Vitabu hivyo vimetokana na akili za watu, vimeandikwa kwa mikono ya watu, na fani ya uandishi wake ni ya kibinadamu. {Twende Sawa Hapo}

Katika kuuthibitisha ukweli kwamba baadhi ya maneno yaliondolewa na mengine kuongezwa, tunaweza kuangalia katika maandiko ya mwanzo ya Biblia toleo la Biblia la King James Version 1Yohana 5:8 ambapo imeandikwa "Baba, Mwana na Roho Mtakatifu". Lakini toleo jipya la American Standard Version, wanazuoni walibadilisha na badala yake wakatumia maneno "Roho, Maji na Damu". {Kitabu Cha Mungu [emoji15][emoji848]}

Katika kukubali ukweli mwingine juu ya uongezaji na upunguzaji wa baadhi ya maneno katika Biblia Vifungu vingi vimefungiwa mabano na katika sherehe yake (maelezo ya ziada) wameeleza kwamba vifungu hivi "havipatikani katika Biblia Ya Zamani.

Kama huu ndio msimamo wa wanazuoni wa Biblia, wakristo wa "kawaida" watakuwa na lipi la kusema juu ya jambo hili..?

Wengi (wa wakristo wa kawaida) hata hawajui lolote juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia kwa sababu waandishi wa utangulizi na washereheshaji (wanatoa maelezo ya ziada). Wanatumia mbinu mbalimbali za kijanja ili kuwafanya Wakristo wasiyajali na wajisahaulishe na maswali ambayo wangejiuliza juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia. Pamoja na mambo mengine, waandishi hawa:

1) Wanaandika mambo kama ukweli uliothibitika wakati ukweli na uthabiti wake una mashaka,

2) Wanayafunika makosa na kasoro zilizomo ndani ya Biblia kwa kutoa nyudhuru na kuomba radhi mbinu ambayo inaondoa umakini wa msomaji kutoka kwenye dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia na badala yake kuangalia mambo mengine.

Nguvu wanayotumia washereheshaji (Commentators) katika kujaribu kutetea kasoro na dosari zilizomo ndani ya Biblia ni alama na ushahidi tosha juu kutojisikia kwao vizuri na ugumu wanaoupata katika jitihada zao za kujaribu kutetea makosa, dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia. Biblia Sio KITABU CHA MUNGU.

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, woooote waliolala katika Kristo wamepotea...

Mithali 2:15

Ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao.].

Kor 1:25

Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu..

ONDOKA KATIKA UPOTOFU KIJANA ACHA KUTETEA MANENO YA WATU WALIOKUWA NA HAMASA YA KUANDIKA HISTORIA.
Mutah boy , weka original na wela lililobadilishwa ili umalize kabisa ukishindwa ni upumbavu umeandika
 
Kwa hiyo mungu wenu anabagua haya bhana huyo mungu simuhitaji.Mungu ninayemuamini mimi ni yule atakaeniingiza mbinguni kulingana na matendo yangu.
 
Uislam Unatufundisha Hivi.[emoji116][emoji116]

Qur'an 49:13 ALLAH (s.w.) anatufahamisha:

"Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane). Hakika aheshimiwaye (Mbora Wenu) sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye mcha Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari (za mambo yote)". (49:13)

Qur'an inafundisha kuwa Mbora Wa Watu Ni Yule Anemcha MWENYEZI MUNGU kwa Kutenda Mema Na Kufuata Maamrisho Yake.

Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- (Hadithi Marfu'u ): Amesema..

Mtume Muhammad Rehma Na Amani Ziwe Juu Yake Amesema..

"Hakika Mwenyezi Mungu hatazami katika miili yenu wala katika sura zenu, lakini anaangalia nyoyo zenu na matendo yenu".

Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
 
Tunapambana nayo na tunayashinda , ila Allah nae anazidi kuyatuma , kama Yana uwezo hapa tunapambana na dini Yao Islam na hayatufanyi kitu
Hili hamjawahi na hamtoweza sababu mnapambana na viumbe msiyo vijua ndiyo maana mnashindwa na mnaendelea kuwa Washirikina.
 
Ulichoongelea ni time frame iwe miaka au mikaka.
Ujinga ni ujinga tu hata udumu milele ndg.
Mmepewa akili bahati mbaya hamjawahi kuzitumia.
Nimecheka sana. Sasa ndiyo ujue katika lugha "miaka na miaka" si sawa na "miaka na mikaka". Ukikosolewa kubali sababu unapo jitutumua unazidi kuonyesha ujinga wako.

Kingine jifunze kuweka kitu mahala pake, hapa tunajadili elimu na uhalisia wewe unaleta mlinganyo usiyo sahihi. Acha hii tabia.

Ama kuhusu akili, huwezi kulinganisha akili yangu na yako hata kwa sekunde, mimi akili yangu imesalimika yako haijasalimika. Kama unabisha angalia unavyo hoji wewe na namna navyo hoji mimi, ni mbingu na ardhi.

Kingine naweza kukupa miaka na mikaka bali mpaka unakufa ukosoe nilicho kiandika hakika hutaweza, hapi ndipo utakapo ona utofauti wa akili yangu na yako kivitendo.
 
miaka na mikaka unadhani ni msamiati mgeni?
Unatofauti gani na miaka na miaka...
 
Nimecheka sana. Sasa ndiyo ujue katika lugha "miaka na miaka" si sawa na "miaka na mikaka". Ukikosolewa kubali sababu unapo jitutumua unazidi kuonyesha ujinga wako.

Kingine jifunze kuweka kitu mahala pake, hapa tunajadili elimu na uhalisia wewe unaleta mlinganyo usiyo sahihi. Acha hii tabia.

Ama kuhusu akili, huwezi kulinganisha akili yangu na yako hata kwa sekunde, mimi akili yangu imesalimika yako haijasalimika. Kama unabisha angalia unavyo hoji wewe na namna navyo hoji mimi, ni mbingu na ardhi.

Kingine naweza kukupa miaka na mikaka bali mpaka unakufa ukosoe nilicho kiandika hakika hutaweza, hapi ndipo utakapo ona utofauti wa akili yangu na yako kivitendo.
Elimu na halisia unaelewa nin hapo?
uhalisia ni nini?
Sekunde au mda ndio inalinganisha akili?
Imesalimika kwa maana ipi yan kuwa comfortable na unachokiamini ndio kusalimika?
Nikosoe nini sasa kwako sina cha kukosoa kutoka kwenye fantasy.
 
We Kwa uelewa wako majini ni nini kwanza? Unipe vifungu kwenye biblia. Maana nakuona unaropoka vitu havipo
Wapo majini waislamu na wapo majini makafiri. Sasa sijui wewe upo kwenye kundi gani?
Nimenukuu kafiri anasema majini ni malaika walioasi. We kwa upande wako majini wametokea wapi Kwa imani yako? Usiropoke maneno matupu we unayeabudu miungu watatuView attachment 2117930
Jibu kwa hojaa...

Nikweli mna sali na majini... Naomba kujuzwaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Alafu mbona hunipi majibu ya maswali Yangu.. Sitaki Ufafanuzi Nataka Majibu Yatoke Katika Biblia kwasababu ndio unaizungumzia Hapa..

HUO UPUMBAVU WA MUNGU KATIKA BIBLIA NI UPI..?

Alafu Kama Kweli Kitabu Chako Kimetoka Kwa MUNGU Na Kimekamikika Timamu Kuongoza Watu Nijibu Haya[emoji116]

1. Mlifundishwa Wapi Kuabudu JUMAPILI Ndani Ya Biblia..?

2. Jina La Kitabu Chako Mlilitoa Wapi Au Limetajwa Wapi Katika Hicho Kitabu (Biblia)..?

3. Dini Yako Ni Mkristo. Niambie Wapi Biblia umewaambia kuwa Ukristo Ndio Dini Yenu..?

4. Unasema Biblia Ni Kitabu Cha MUNGU. Nipe Hilo Andiko Kutoka Katika Hiyo Biblia..?

Swali Mwisho Ipo Wapi Injili Ya Yuda..?

SOMA NA HIYOOOO

1 Wakorintho 15:18

Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea..
hawezi akakujibu uyo nilishawahi kumuuliza maswali hajanijibu mpk leo na nilishamwambia hatopata majibu yake mpk anakufa

Ni mjinga mmoja ivi uyo asojielewa
 
Elimu na halisia unaelewa nin hapo?
uhalisia ni nini?
Sekunde au mda ndio inalinganisha akili?
Imesalimika kwa maana ipi yan kuwa comfortable na unachokiamini ndio kusalimika?
Nikosoe nini sasa kwako sina cha kukosoa kutoka kwenye fantasy.
Shukrani.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Kwa hiyo mungu wenu anabagua haya bhana huyo mungu simuhitaji.Mungu ninayemuamini mimi ni yule atakaeniingiza mbinguni kulingana na matendo yangu.
Mungu anabaguaje sasa.
Amekuwekea vigezo vya kuingia kwenye Mbingu yake.
Ni jukumu lako kuvifuata kuviacha.

Mbona hata Mungu Allah ana vigezo uli uingie katika Mbingu yake ?

Bila kushahadia
Bila Swala tano
Bila kumpa zaka
Bila kuhiji Maka na kulisujudia Jiwe Jeusi
Bila kufunga ramadhani

Huwezi kuingia kwenye Mbingu ya Allah.
Je huu sio ubaguzi ?
Yaani Watu wote wa Dunia hii yeye amewachagua Waislamu tu ndio waingie kwenye Mbingu yake.
Tena watu wengine anawakejeri na kuwaita Makafiri.

Fikiria Mungu Allah alivyo mbaguzi.
Kawaumba watu, wengine anawapenda wengine anabagua kwa kuwachukia na kuwaita majina ya kajeri.

Wewe unaonaje hapo?
 
[emoji1787][emoji1787]Hicho Kitabu Kweli Ni Kituko Yani Hakijiamini Ndio Maana kinajitia Shaka Chenyewe ILa Mimi Hapo namuamini Paulo Japo yeye Ana mashaka na Maneno Yake Ila Mimi nayaamini... Waliolala katika Kristo wamepoteaaaa.. Yupo Sahihi Kabisa Kwakua kitabu Chenyewe Kina Mashaka mengi Sana. [emoji116][emoji12]

Ngoja Nikupe Faida ya Walimu Wakuu na Waandishi Wa Hiyo Biblia Wanaizungumzia Vipi Sio Wewe Chawa Usiyejua Chochote Alafu ukitoka hapa Nenda kayachunguze haya Kama ulikuwa huyajui.. [emoji2957][emoji12][emoji116]

Mwaka 1952 Viongozi wa kanisa walikutana wakaamua kuliboresha toleo la Biblia la American Standard Version. Matokeo ya jitihada zao Lengo ilikuwa ni kupatikana toleo jingine la Biblia linalojulikana kama "The Revised Standard Version" - yaani toleo la Biblia la kiwango bora na lililofanyiwa marekebisho. Toleo hili lilitoka rasmi mwaka 1952.

Katika dibaji ya Toleo hili kuna maelezo haya: "…Toleo la King James (King James Version) lina makosa na mapungufu mengi mno na hatari sana kiasi kwamba kuna haja kubwa ya kulifanyia marudio na marekebisho toleo zima...". ( Angalia dibaji ya Revised Standard Version)

Katika toleo la Biblia la 'The Revised Standard Version' tunakuta kwamba aya katika injili ya Marko zinazozungumzia juu ya kupaa kwa Yesu (Marko 16: 9-20) zimeondolewa kwa madai kwamba aya hizi hazipatikani katika Biblia (maandiko) ya zamani kabisa. {[emoji15] Kitabu Cha Mungu Hicho hakina Kumbukumbu[emoji23]}

Mwaka 1962 Kutokana na Makosa Mengi katika Biblia yasiopingika yaliyotolewa na watu mbalimbali, Halmashauri ya awamu ya Pili ya Vatican (1962- 1965) ilitoa maelezo yanayoshangaza juu ya jambo hilo ilisema "…Vitabu vya Agano la Kale vina habari zisizo sahihi na zenye mapungufu mengi Na Agano Jipya pia lina kasoro na mapungufu mengi.."

Katika kitabu cha "The Call of the Minaret" (Wito kutoka katika mnara wa msikiti, Adhana), Dr. Kenneth Cragg anasema kwamba

"Kuna mambo yaliyoongezwa na kupunguzwa" katika Agano Jipya na ni kazi ya akili ya viongozi wa kanisa ikiongozwa na waandishi, na kwamba katika kazi zao wanatumia uzoefu na historia."

Carl Andrey, profesa wa falsafa na masomo ya dini ya Kikristo katika Chuo kikuu cha Ball State kilichopo Indiana anasema kwamba vitabu vinne vya Injili: ".Viliandikwa na watu wenye shauku wa harakati za mwanzo za kikristo na kwamba wanatupatia nusu tu ya habari kamili na kwa kiasi kikubwa ni mazao ya fikra za waandishi wao" { [emoji848][emoji848] Kitabu Cha MUNGU Muweza Wa Yote Zinatumika Fikra za Binadamu Kukiboresha[emoji15]}

Mfano Makosa Ya Wazi Kabisa
Law 11:6 Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.. {Eti Sungura Anacheua [emoji1787] Labda Sungura Old Model Yani Mungu Asijue Viumbe Wake Kama Anacheua Au hacheui.[emoji1787][emoji23].

Mwaka 1989, toleo la Biblia la 'The Revised Standard Version' la 1952 liliboreshwa tena {New Model [emoji23][emoji23]}na hivyo likapatikana toleo jipya "The New Revised Standard Version". Na katika toleo hili aya zinazozungumzia juu ya kupaa kwa Yesu katika Marko 16 zilirejeshwa. Kwa vile Wakristo wengi hawakufurahia "kumomonyolewa" kwa moja ya imani zao za msingi kulikofanywa na Wahariri wa "The Revised Standard Version", ilibidi aya hizi zirejeshwe ili kuwaridhisha. {Yani ilibidi Tu Wafanye Hivyo Ila Hawakupenda}

Dr. W. Graham Scroggie wa "Prestigious Moody Bible Institute" ambaye anasema: "Ndiyo, Biblia ni zao la kazi iliyofanywa na binadamu Vitabu hivyo vimetokana na akili za watu, vimeandikwa kwa mikono ya watu, na fani ya uandishi wake ni ya kibinadamu. {Twende Sawa Hapo}

Katika kuuthibitisha ukweli kwamba baadhi ya maneno yaliondolewa na mengine kuongezwa, tunaweza kuangalia katika maandiko ya mwanzo ya Biblia toleo la Biblia la King James Version 1Yohana 5:8 ambapo imeandikwa "Baba, Mwana na Roho Mtakatifu". Lakini toleo jipya la American Standard Version, wanazuoni walibadilisha na badala yake wakatumia maneno "Roho, Maji na Damu". {Kitabu Cha Mungu [emoji15][emoji848]}

Katika kukubali ukweli mwingine juu ya uongezaji na upunguzaji wa baadhi ya maneno katika Biblia Vifungu vingi vimefungiwa mabano na katika sherehe yake (maelezo ya ziada) wameeleza kwamba vifungu hivi "havipatikani katika Biblia Ya Zamani.

Kama huu ndio msimamo wa wanazuoni wa Biblia, wakristo wa "kawaida" watakuwa na lipi la kusema juu ya jambo hili..?

Wengi (wa wakristo wa kawaida) hata hawajui lolote juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia kwa sababu waandishi wa utangulizi na washereheshaji (wanatoa maelezo ya ziada). Wanatumia mbinu mbalimbali za kijanja ili kuwafanya Wakristo wasiyajali na wajisahaulishe na maswali ambayo wangejiuliza juu ya kasoro nyingi zilizomo ndani ya Biblia. Pamoja na mambo mengine, waandishi hawa:

1) Wanaandika mambo kama ukweli uliothibitika wakati ukweli na uthabiti wake una mashaka,

2) Wanayafunika makosa na kasoro zilizomo ndani ya Biblia kwa kutoa nyudhuru na kuomba radhi mbinu ambayo inaondoa umakini wa msomaji kutoka kwenye dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia na badala yake kuangalia mambo mengine.

Nguvu wanayotumia washereheshaji (Commentators) katika kujaribu kutetea kasoro na dosari zilizomo ndani ya Biblia ni alama na ushahidi tosha juu kutojisikia kwao vizuri na ugumu wanaoupata katika jitihada zao za kujaribu kutetea makosa, dosari na kasoro zilizomo ndani ya Biblia. Biblia Sio KITABU CHA MUNGU.

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, woooote waliolala katika Kristo wamepotea...

Mithali 2:15

Ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao.].

Kor 1:25

Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu..

ONDOKA KATIKA UPOTOFU KIJANA ACHA KUTETEA MANENO YA WATU WALIOKUWA NA HAMASA YA KUANDIKA HISTORIA.
Mutah boy , Biblia original ipo kasome hiyo na uache kuandika makala hazina point za maana
 
Tofauti hayo Unayosema Ya ALLAH Ndio Maagizo Sahihi ya MUNGU Muumba Wa Mbingu Na Ardhi.

Lakini Hayo Ya Biblia na Mungu Wa Biblia Ni Maagizo Ya Kikao Cha Mwaka 1989 Watu Walikaa Na Kuboresha Kwasababu Hayakuwa Sahihi Hapo Kabla.. Soma Post Yangu Juu Nimeeleza Kwa kirefu..

Ngoja Nikufundishe Kwakua Hujui.[emoji851][emoji116]

ALLAH anaamrisha KUFUNGA Kwasababu Ili Uwe Mnyenyekevu Kwa MUNGU na Uwe Katika Njia iliyonyooka Lazima Ufunge..

Ezra 8:21 "Ndipo nikaamuru kufunga hapo penye mto Ahava ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu na kutafuta kwake njia iliyonyooka kwa ajili ya sisi wenyewe na kwaajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote."

Najua Wewe Muhuni Haufungii [emoji2957]

KUHIJI Sio Lazima Kama Huna Uwezo Lakini Hija Ni Moja Ya Baraka Kubwa Kutoka Kwa MWENYEZI MUNGU.

Zaburi 84:5,6: Wamebarikiwa wale ambao nguvu zao ziko kwako, ambao wameweka mioyo yao kuhiji. Wanapopita katika Bonde la Baka, wanalifanya mahali pa chemchemi: mvua ya vuli pia huifunika kwa madimbwi..

Bakka Ndio Makka [emoji116][emoji851]

Makka inapewa jina la Bakkah Katika Qur'an:

Qur'an 3:96,. Hakika Nyumba ya kwanza (ya ibada) iliyowekewa watu ni ile iliyoko Bakkah, yenye baraka na uwongofu kwa walimwengu wote...

Mbona Hauhiji Hutaki Baraka Wewe au Huamini Yote Katika Biblia [emoji1787]

Kusujudia Jiwe Jiusi Ni Porojo Hakuna Hicho Kitu Katika Uislam Leta Ushahidi..[emoji2957]

ALLAH anataka Tuswali SWALA TANO Ili Atuingize Peponi. Katika Swala Zetu Tunafanya Jambo tukufu Sana La Kusujudu lililofanywa Na Manabii Wote Pamoja Na Yesu Kwanini Isiwe Sababu Ya Kuingia Peponi..

Zaburi 5:7 “Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.”

Mwanzo 24:26 “Nikainama, nikamsujudia Bwana, nikamtukuza Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, aliyeniongoza njiani,...”

Mwanzo 24:48 “Musa akafanya haraka, akainamisha kichwa chake hata nchi, akasujudu.”

WEWE LINI UMEMSUJUDIA MUNGU WAKO. AU UTAENDA MBINGUNI KWA KUKATA MAUNO NA KUMSIFU BWANA[emoji851][emoji2957][emoji2956].

SHAHADA Katika Uislam Ni Nguzo Kuu Ya Imani Kutokana Na Uzito Wa Maneno Unayofaa Kuyatamka Na Kuyaitakidi Dhidi Ya MUNGU Mmoja.

"HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEZI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU.."

Soma Hayo Maneno Alafu Yalinganishe Na Ubatizo Utapata Jibu Ni Ipi Inampendeza MUNGU..

Kumwagiwa Maji Ya Kisima Au Kumtukuza MUNGU MMOJA.. Jibu Unalo [emoji851][emoji2957] Tumia Akili Tu Ya Kuzaliwa.

Kuhusu ZAKA Ni Kichaa Tu Au Mjinga Ndio Anaweza Kujaji Kuhusu Hilo..

Zaka Katika Uislam Ni Lazima Kwa Mwenye Uwezo Kwa Lengo La kuwasaidia Wasio Na Uwezo Haswa Zaidi katika Swala La Chakula..

Malaki 3:10 "Leteni zaka kamili ghalani ili kiwepo chakula kingi nyumbani kwangu..."

Wewe Unatoa Zaka Au Unapewa...?

IKIWA UTAFANYA HAYO YOYE HAPO UTAINGIA PEPONI KWA MUJIBU WA ALLAH.

JE KUNA UBAGUZI WOWOTE HAPO..?

ONDOKA KATIKA UPOTOFU KIJANA..

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, woooote waliolala katika Kristo wamepotea..
Hilo la wakorintho nimeshakujibu na nakuonya tena mutah boy acha kuchomoa mstari kwenye Biblia hiyo sio Koran
 
Mutah boy kwanini hamjui dini yenu Allah kasema kila mtu ameshapangiwa wa moto na WA bikra 72 ata ufanyeje huwezi badili
 
[emoji851][emoji851][emoji851]Eti Nitoe Biblia Original So Umekubali Ipo Fake Na Original [emoji2957][emoji2957]

Usishindane Na Qur'an Kitabu Chenye Historia Moja Iliyonyoooka Hakina Shaka Wala Marekebisho ndani yake..

[emoji23][emoji1787]Ni Upumbavu Nimeandika We So Unapingana Na Hao Watu Hapo au Hayo Unataka Kusema Nimeyatunga Au Wewe Unaijua Biblia Kuwazidi Hao Wanachuoni Wenu..?

Naona Mpotevu Unazidi Kupotea..

Original ya Biblia Itoke Wapi Wakati Waandishi Wenyewe Hawajui Walichoandika Ndio Maana Wamepingana Wao Kwa wao Katika Maandishi..

Yapo Mengi Ila Nikupe Mfano Mmoja Tu Embu Niambie Andiko Original Ni lipi Hapa..[emoji116]

YESU Anasema Yohana 5:37
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona..

Matayo Yeye Anasema. Mathayo 3:17
Na tazama, Sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye..

Sauti Gani yamungu iliyosikika kutoka kwenye Mawingu Na nisauti Gani Ya Mungu yesu Anasema. Hakuna Mtu Aliye isikia.?? Inamaana Kuna Andiko moja hapa Ni Fake Lakini yote yapo katika Biblia Embu Tuchambulie Fake Ni Lipi..[emoji15]. Maana Mimi Mswahili Najua Samaki Mmoja akioza Wote Wanaoza[emoji851]

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, wooote waliolala katika Kristo wamepoteaa.

Upumbavu Umeandikwa Huku.[emoji2957][emoji116]

Kor 1:25

Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu..

Hapa Umeingia Choo Cha Kike Ruksa Kukimbia [emoji2957][emoji12][emoji2957][emoji12][emoji2957][emoji12][emoji23][emoji23]

KARIBU KATIKA UISLAM DINI YA MWENYEZI MUNGU MMOJA[emoji7][emoji2956][emoji116]View attachment 2118661

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Mutah boy kama huna original Kaa kimya , alafu unategemea waandishi wawili waandike kitu kinafanana mpaka nukta alafu vyote vile kwenye biblia ili iweje , hao na mashuuda wawili
 
Tofauti hayo Unayosema Ya ALLAH Ndio Maagizo Sahihi ya MUNGU Muumba Wa Mbingu Na Ardhi.

Lakini Hayo Ya Biblia na Mungu Wa Biblia Ni Maagizo Ya Kikao Cha Mwaka 1989 Watu Walikaa Na Kuboresha Kwasababu Hayakuwa Sahihi Hapo Kabla.. Soma Post Yangu Juu Nimeeleza Kwa kirefu..

Ngoja Nikufundishe Kwakua Hujui.[emoji851][emoji116]

ALLAH anaamrisha KUFUNGA Kwasababu Ili Uwe Mnyenyekevu Kwa MUNGU na Uwe Katika Njia iliyonyooka Lazima Ufunge..

Ezra 8:21 "Ndipo nikaamuru kufunga hapo penye mto Ahava ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu na kutafuta kwake njia iliyonyooka kwa ajili ya sisi wenyewe na kwaajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote."

Najua Wewe Muhuni Haufungii [emoji2957]

KUHIJI Sio Lazima Kama Huna Uwezo Lakini Hija Ni Moja Ya Baraka Kubwa Kutoka Kwa MWENYEZI MUNGU.

Zaburi 84:5,6: Wamebarikiwa wale ambao nguvu zao ziko kwako, ambao wameweka mioyo yao kuhiji. Wanapopita katika Bonde la Baka, wanalifanya mahali pa chemchemi: mvua ya vuli pia huifunika kwa madimbwi..

Bakka Ndio Makka [emoji116][emoji851]

Makka inapewa jina la Bakkah Katika Qur'an:

Qur'an 3:96,. Hakika Nyumba ya kwanza (ya ibada) iliyowekewa watu ni ile iliyoko Bakkah, yenye baraka na uwongofu kwa walimwengu wote...

Mbona Hauhiji Hutaki Baraka Wewe au Huamini Yote Katika Biblia [emoji1787]

Kusujudia Jiwe Jiusi Ni Porojo Hakuna Hicho Kitu Katika Uislam Leta Ushahidi..[emoji2957]

ALLAH anataka Tuswali SWALA TANO Ili Atuingize Peponi. Katika Swala Zetu Tunafanya Jambo tukufu Sana La Kusujudu lililofanywa Na Manabii Wote Pamoja Na Yesu Kwanini Isiwe Sababu Ya Kuingia Peponi..

Zaburi 5:7 “Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.”

Mwanzo 24:26 “Nikainama, nikamsujudia Bwana, nikamtukuza Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, aliyeniongoza njiani,...”

Mwanzo 24:48 “Musa akafanya haraka, akainamisha kichwa chake hata nchi, akasujudu.”

WEWE LINI UMEMSUJUDIA MUNGU WAKO. AU UTAENDA MBINGUNI KWA KUKATA MAUNO NA KUMSIFU BWANA[emoji851][emoji2957][emoji2956].

SHAHADA Katika Uislam Ni Nguzo Kuu Ya Imani Kutokana Na Uzito Wa Maneno Unayofaa Kuyatamka Na Kuyaitakidi Dhidi Ya MUNGU Mmoja.

"HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEZI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU.."

Soma Hayo Maneno Alafu Yalinganishe Na Ubatizo Utapata Jibu Ni Ipi Inampendeza MUNGU..

Kumwagiwa Maji Ya Kisima Au Kumtukuza MUNGU MMOJA.. Jibu Unalo [emoji851][emoji2957] Tumia Akili Tu Ya Kuzaliwa.

Kuhusu ZAKA Ni Kichaa Tu Au Mjinga Ndio Anaweza Kujaji Kuhusu Hilo..

Zaka Katika Uislam Ni Lazima Kwa Mwenye Uwezo Kwa Lengo La kuwasaidia Wasio Na Uwezo Haswa Zaidi katika Swala La Chakula..

Malaki 3:10 "Leteni zaka kamili ghalani ili kiwepo chakula kingi nyumbani kwangu..."

Wewe Unatoa Zaka Au Unapewa...?

IKIWA UTAFANYA HAYO YOYE HAPO UTAINGIA PEPONI KWA MUJIBU WA ALLAH.

JE KUNA UBAGUZI WOWOTE HAPO..?

ONDOKA KATIKA UPOTOFU KIJANA..

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, woooote waliolala katika Kristo wamepotea..
Mutah boy nachoka kukufundisha dini Yako, toka uko mgogoni kwa baba Yako Allah amesha kupangia

Muhammad, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, per adventure, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins.
 
Hili hamjawahi na hamtoweza sababu mnapambana na viumbe msiyo vijua ndiyo maana mnashindwa na mnaendelea kuwa Washirik
Tunajua tunapambana na Allah kiongozi wao , na tunamshinda

Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Back
Top Bottom