Waislamu hatuabudu jiwe. Itakuwa hujui maana ya kuabudu.Jikite kwenye mada Kuna watu kiswahili sio lugha Yao ya kwanza kama Mimi ,unachotakoa angalia maana
Kuna swali la kuabudu jiwe , kwa nini mnaabudu jiwe?
Wapi Uislam umetukuza majini? Kuna kutajwa ama kubainishwa uwepo wa hao viumbe kwa kuashiria Mungu muumbaji ameumba viumbe wa aina tofauti kwa material tofauti. Kuna ajabu Mungu akitupatia habari kwa baadhi ya viumbe wake aliyowaumba mwenyewe?Basi tuwaachie Majini yao ambayo wanayatukuza kuliko Malaika wa Mbinguni
Itikadi ya Uislam Mungu ni mmoja, yeye ndiye anayepaswa kukusudiwa kwa haja zote, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chochote kilochofanana na yeye. Nguzo za Uislam ni 5, ya kwanza ni shahada ambayo ni ASH-HADU ANLA ILAHA ILLALLAH.Uislamu ni moja ya Vilinge vya Kishirikina
Rabbuna allahu dhuljalaaliTuendelee kumtegemea Mungu na sio Majini.
Ambao wao ndio tegemeo lao.
Ndio Watakatifu wao wanao waheshimu na kuwaona kama Malaika.
Mzee, kwa imani ya kiislam binadamu analindwa na Mungu. Na laiti asingeliuweka ulinzi wake miongoni mwa majini waliyomkufuru Mungu wangelimchezea binadamu kama binadamu anavyochezea mpira.Unalindwa na Jini Popobawa, Jini Subiani na wewe unaona kawaida tu.
Waislamu wenyewe wanatueleza humuhumu kuwa.Wapi Uislam umetukuza majini? Kuna kutajwa ama kubainishwa uwepo wa hao viumbe kwa kuashiria Mungu muumbaji ameumba viumbe wa aina tofauti kwa material tofauti. Kuna ajabu Mungu akitupatia habari kwa baadhi ya viumbe wake aliyowaumba mwenyewe?
Itikadi ya Uislam Mungu ni mmoja, yeye ndiye anayepaswa kukusudiwa kwa haja zote, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chochote kilochofanana na yeye. Nguzo za Uislam ni 5, ya kwanza ni shahada ambayo ni ASH-HADU ANLA ILAHA ILLALLAH.
Kwa maana: Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa yeye tu Allah. Bi maana; laa maabuda bi haqqi fil ujuudi illallah! Kwa maana; wah-dahu laa shariika lah! Kwa taafisir ya kuwa Mungu anatosheka na shirika la peke yake. Hahitaji ushirika kwenye kuabudiwa.
Kwenye Qur'an Mungu anasema: "wa annal masaajidalillahi falaa'tad-uu ma-allahi ahadaa"- Na kwa hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu na asiabudiwe yeyote pamoja naye.
Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam anasema; Yeyote atakayekwenda kwa msoma nyota(mganga wa kienyeji) kisha akasadikisha na yanasemwa na msoma nyota (yaani tawile).....Mtume anasema mtu wa namna hiyo swala yake haitokubalika kwa siku 40 na akifa ndani ya hizo siku pasipo kutubu anakufa hali ya kuwa ni Kaafir.
Katika suratul baqara Mungu anasema kumtetea Mtume wake Suleyman baada ya wayahudi kudai Nabii Suleyman amani ya Mungu iwe juu yake alikuwa ni mshirikina. Mungu akajibu kwa kusema kwa kuanza; wama KAFARA Suleymana illa sh-yatwiina yu-allimuuna nnaaasa s-h-r...Hakukufuru Suleymani isipokuwa ni masheytwaani wa kijinni waliyowafundisha watu uchawi. Mungu hakuanza na Nabii Suleyman hakuwa mshirikina bali alianza kwa kusema hakukufuru. Ushirikina ni kufr katika Uislam na ni dhambi kubwa sana!
Kuna aya nyingi na hadithi kadhalika zinazokanusha ya kuwa Uislam haufungamani na ushirikina, za juu ni baadhi. Si jambo jema kulizungumzia suala hauna elimu nalo kisha ukalitolea ufafanuzi na hitimisho, kwani hayo ni makosa.
Rabbuna allahu dhuljalaali
Hasbuna allahu dhulkamaali
Waislam tunayemuabudu ni mmoja tu, ni Allah. Huwa Allah!
Katika vitabu vilivyokuwa na sheria ni Tawrat ya Nabii Musa amani ya Mungu iwe juu yake. Baada ya hapo viumbe vinavyoishi kwenye hii ardhi ya sayari ya dunia walidhani ya kuwa Mungu hatoshusha kitabu kingine chenye sheria kitakachokuwa muongozo kwa viumbe wa Mungu. Majinni nao ni viumbe wa Mungu.
Walipoisikia Quran wakarudi kwa jamii yao na kuwapa habari. Viumbe vyote vipo kwenye miliki ya Mungu. Kwa hili, Mungu akatupatia habari kwenye Quran mazungumzo ya majinni walivyorudi kwenye jamii yao. Na si ajabu kwani ni viumbe wa Mungu. Hii sura ndiyo ikaitwa Suratu jinni. Ndipo majini wakasema kuwaambia jamii yao kwenye mazungumzo yao;
Innaa sami-ina Qur'anan ajaba! Kwa maana; hakika yetu sisi(hao miongoni mwa majini) tumeisikia Quran ya ajabu.
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. 3
4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu. 4
5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. 5
6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi. 6
7. Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume. 7
Kwenye Quran aya nyengine Mungu anasema; wamaa-khalaqtul jinna wal insi illa liyaabuduun. Kwa maana; Mungu hakuumba Majini na Wanadamu isipokuwa wamuabudu. Kama Malaika wanavyomuabudu na kumtukuza Mungu, nanyi viumbe wengine wajibu wenu ni huo huo. Hivyo, hakuna la kustaajabisha hapo. Na bila shaka kwenye baadhi ya hizo aya jawabu lako limo humo.
Mzee, kwa imani ya kiislam binadamu analindwa na Mungu. Na laiti asingeliuweka ulinzi wake miongoni mwa majini waliyomkufuru Mungu wangelimchezea binadamu kama binadamu anavyochezea mpira.
Umeandika uongo mwingi sana na sijui unapata manufaa gani kwa haya! Mengineyo nitayaweka sawa baadaye kwa sasa nina majukumu.
Upumbavu wa Mungu mbona haujajibu hili swali ni upi?Jikite kwenye mada Kuna watu kiswahili sio lugha Yao ya kwanza kama Mimi ,unachotakoa angalia maana
Kuna swali la kuabudu jiwe , kwa nini mnaabudu jiwe?
AN NISA 34Kwa nini Allah anasema mwanamke apigwe , hili hakuna Alie jibu
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Huyu ni mungu kweli anasema wanawake wapigwe
Amin.Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Kuna neno lipi ambalo unaona sio neno la Yesu na Kwanini ?Amin.
Hapana shaka kua ninamfuata ila right angekua anaongea na Mimi waziwazi ningeamini kila kitu anachoniambia lakini siwezi zingatia kilakitu kutokana na mwanadamu kuchezea maandiko.
Ninamfuata kwa yale ninayo yaamini mengine katika Biblia Sina imani Kama ni maneno ya Yesu
Mnapo lisujudia na kuli busu maana yake nini?Waislamu hatuabudu jiwe. Itakuwa hujui maana ya kuabudu.
Kuabudu ni kuelekeza maombi kwa kitu fulani na kutarajia majibu na msaada.
Sasa nitakuuliza mafundisho gani ya Kiislamu yanafundisha watu kuabudu Jiwe ?
Jiwe lenyewe ndio hili hapa walikatazwa kulisujudia toka enzi lakini hawasikii kabisa.Mnapo lisujudia na kuli busu maana yake nini?
wakorintho 15:18Mutah boy huwa unanikimbia, shida hamjui dini yenu kila maandiko nayoweka ni yakwenu lakini mnayapinga
1 Wakorintho 15:13wakorintho 15:18
Hivyo baasi,wote waliolala kwenye kristo wamepotea
kma iyo bible yko ishakwambia umepotea mm ni nani wa kujadiliana na aliyepotea
Jibu swali nililo kuuliza, jiwe halisujudiwi kijana. Kubusu pia si kuabudu.Mnapo lisujudia na kuli busu maana yake nini?
Kwa nini mnaabusu na kulisujudia jiwe ? Kuwa mwanaume na jibu , wenzanko hawajibu ili swali kabisaJibu swali nililo kuuliza, jiwe halisujudiwi kijana. Kubusu pia si kuabudu.
Son of Mutah nimeshakuonya wewe na wenzanko ambao devil (shetani) ni Kinga yenu na shetani ni muislamu , unapo chukua Verse ya biblia soma sura nzima , biblia sio koran ambayo Verse na verse hazina uusianowakorintho 15:18
Hivyo baasi,wote waliolala kwenye kristo wamepotea
kma iyo bible yko ishakwambia umepotea mm ni nani wa kujadiliana na aliyepotea
Kwahiyo nisipojibu nakuwa siyo Mwanaume ? Kijana mjinga sana sijapata kuona. Una rauka rauka bila ya msingi wowote.Kwa nini mnaabusu na kulisujudia jiwe ? Kuwa mwanaume na jibu , wenzanko hawajibu ili swali kabisa
Uongo wa kwanza!aislamu wenyewe wanatueleza humuhumu kuwa.
Kila Mwislamu ana Jini linalo mlinda.
Ukiamua unalindwa na malaika, ukiamua unalindwa na mkuu wa malaika Jibril amani ya Mungu iwe juu yake. Na ukiamua unalindwa na Mungu.Hadi nikawauliza kwanini Msilindwe na Malaika ?
Majini mnayosali nayo yanatubu dhambi kwa Allah hayohayo ndio yawalinde kuna usalama hapo ?
Jini ni jamii miongoni mwa viumbe vilivyoumbwa na Mungu kama jamii ya viumbe mbalimbali vilivyoumbwa. Jamiii imekusanya jumla ya jumia mojamoja. Kwenye jamii wapo miongoni mwa waliyo wazuri na kinyume chake. Na ndivyo ilivyokwa majini pia. Wapo waliyojisalimisha kwa Mungu na wapo waliyomkanusha Mungu. Akiwa anafanya ibada kuna tatizo gani? Tunu ya kumuabudu Mungu hujapewa wewe binadamu peke yako, tunu hii Mungu kaieneza kwa viumbe vyake wengineo pia. Hii ni tafsiri ya kwetu kwenye uislam, usiifananishe iwe sawa na yako.Leo nimemdadisi Shehe mmoja kwa ustaarabu kabisa na amekiri mbele yangu kuwa.
Ibada zote wanazofanya Waislamu Watu na Majini wanafanya tena pamoja na watu.
Hapa ndipo unapoonesha ajabu yako!Mi nilikuwa na kawaida ya kushiriki Kufturu na Waislamu jirani zangu lakini kuanzia leo nasitisha hili tendo kwakuwa, Majini pia yanashiriki katika kula ftari ya kufuturu.
Kwa imani yetu Malaika kaumbwa na nuru, jini kwa moto na binadamu kwa udongo. Ni aina 3 ya viumbe tofauti. Viumbe ambavyo vinatahiniwa na Mungu ni viwili, ni binadamu na majini. Kwa imani yetu malaika hamuasi Mungu hata mara moja. Kwa imani yetu Ibilisi hakuwa malaika bali ni jini. Wapo waliyojisalimisha kwa Mungu na wapo wanaoleta ukaidi kwa Mungu kama binadamu tu. Kwa namna hiyo usilazimishe tufanane.Kwa imani yangu Majini ni viumbe vya Kuzimu, ambavyo ni Malaika wa Ibirisi.
Laa ikraha fi ddiin.Kuanzia leo shughuri zote za kiibada za Kiislamu kamwe sitoshiriki.
Uzuri wa uislam kinachofuatwa ni dalili. Uislam si dini ya mtu mmoja mmoja. Dini yetu elimu yake ipo wazi haikufungwa. Wapo watu wana elimu kubwa kuliko masheikh unaowasikia. Kwetu ile ni dhamana mtu aliyepewa aishike. Ila haimaanishi ana elimu kubwa kuliko wengine, la hasha! Mifumo yetu haipo hivyo! Hata hao waliyopewa dhamana wanafahamu hayo pia.Inamaana Mwislamu wewe unakanusha hayo?
Wakati Waislamu wenzako tena Mashehe wanakiri.
Mashehe hadi wanajiita @sharifu @Majini, wewe huwasikii ?
Uongo mwengine huu!Uswahiba wa Waisalmu na Majini umekuwa wa Chanda na Pete hadi unatuogopesha sisi tusio Waislamu
Mubarridi ndio maana nakusisitiza sana muheshimu mtume wako na usimdhalilishe kama unavyofanya, alitoa amri ya kulisujudia jiwe na kulibusu ni Allah na kasema wazi jiwe ni mkono wake wa kuliaKwahiyo nisipojibu nakuwa siyo Mwanaume ? Kijana mjinga sana sijapata kuona. Una rauka rauka bila ya msingi wowote.
Nilikuuliza huko mwanzo nani alikwambia tunasujudia Jiwe ? Hukujibu hilo swali.
Kingine hujawahi kuuliza swali gumu bali kila swai unalo uliza linaonyesha kiwango kikubwa cha ujinga wako.
Nakujibu kwa maneno ya Swahaba mtukufu 'Umar bin al Khatwaan (Allah amridhie) akiliambia jiwe hilo.
Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Kingine tunfanya vile sababu alifanya mtume na si lazima kulibusu kama huna nafasi hiyo.
Kazi ninayo kupa uwe unasoma na kutafiti mambo.
Mwisho wa siku muhammad anaweka wazi waislamu wote mna mlinzi anaitwa devilWapi Uislam umetukuza majini? Kuna kutajwa ama kubainishwa uwepo wa hao viumbe kwa kuashiria Mungu muumbaji ameumba viumbe wa aina tofauti kwa material tofauti. Kuna ajabu Mungu akitupatia habari kwa baadhi ya viumbe wake aliyowaumba mwenyewe?