Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Jikite kwenye mada Kuna watu kiswahili sio lugha Yao ya kwanza kama Mimi ,unachotakoa angalia maana

Kuna swali la kuabudu jiwe , kwa nini mnaabudu jiwe?
Waislamu hatuabudu jiwe. Itakuwa hujui maana ya kuabudu.

Kuabudu ni kuelekeza maombi kwa kitu fulani na kutarajia majibu na msaada.

Sasa nitakuuliza mafundisho gani ya Kiislamu yanafundisha watu kuabudu Jiwe ?
 
Basi tuwaachie Majini yao ambayo wanayatukuza kuliko Malaika wa Mbinguni
Wapi Uislam umetukuza majini? Kuna kutajwa ama kubainishwa uwepo wa hao viumbe kwa kuashiria Mungu muumbaji ameumba viumbe wa aina tofauti kwa material tofauti. Kuna ajabu Mungu akitupatia habari kwa baadhi ya viumbe wake aliyowaumba mwenyewe?
Uislamu ni moja ya Vilinge vya Kishirikina
Itikadi ya Uislam Mungu ni mmoja, yeye ndiye anayepaswa kukusudiwa kwa haja zote, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chochote kilochofanana na yeye. Nguzo za Uislam ni 5, ya kwanza ni shahada ambayo ni ASH-HADU ANLA ILAHA ILLALLAH.

Kwa maana: Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa yeye tu Allah. Bi maana; laa maabuda bi haqqi fil ujuudi illallah! Kwa maana; wah-dahu laa shariika lah! Kwa taafisir ya kuwa Mungu anatosheka na shirika la peke yake. Hahitaji ushirika kwenye kuabudiwa.

Kwenye Qur'an Mungu anasema: "wa annal masaajidalillahi falaa'tad-uu ma-allahi ahadaa"- Na kwa hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu na asiabudiwe yeyote pamoja naye.

Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam anasema; Yeyote atakayekwenda kwa msoma nyota(mganga wa kienyeji) kisha akasadikisha na yanasemwa na msoma nyota (yaani tawile).....Mtume anasema mtu wa namna hiyo swala yake haitokubalika kwa siku 40 na akifa ndani ya hizo siku pasipo kutubu anakufa hali ya kuwa ni Kaafir.

Katika suratul baqara Mungu anasema kumtetea Mtume wake Suleyman baada ya wayahudi kudai Nabii Suleyman amani ya Mungu iwe juu yake alikuwa ni mshirikina. Mungu akajibu kwa kusema kwa kuanza; wama KAFARA Suleymana illa sh-yatwiina yu-allimuuna nnaaasa s-h-r...Hakukufuru Suleymani isipokuwa ni masheytwaani wa kijinni waliyowafundisha watu uchawi. Mungu hakuanza na Nabii Suleyman hakuwa mshirikina bali alianza kwa kusema hakukufuru. Ushirikina ni kufr katika Uislam na ni dhambi kubwa sana!

Kuna aya nyingi na hadithi kadhalika zinazokanusha ya kuwa Uislam haufungamani na ushirikina, za juu ni baadhi. Si jambo jema kulizungumzia suala hauna elimu nalo kisha ukalitolea ufafanuzi na hitimisho, kwani hayo ni makosa.

Tuendelee kumtegemea Mungu na sio Majini.
Ambao wao ndio tegemeo lao.
Ndio Watakatifu wao wanao waheshimu na kuwaona kama Malaika.
Rabbuna allahu dhuljalaali
Hasbuna allahu dhulkamaali

Waislam tunayemuabudu ni mmoja tu, ni Allah. Huwa Allah!

Katika vitabu vilivyokuwa na sheria ni Tawrat ya Nabii Musa amani ya Mungu iwe juu yake. Baada ya hapo viumbe vinavyoishi kwenye hii ardhi ya sayari ya dunia walidhani ya kuwa Mungu hatoshusha kitabu kingine chenye sheria kitakachokuwa muongozo kwa viumbe wa Mungu. Majinni nao ni viumbe wa Mungu.

Walipoisikia Quran wakarudi kwa jamii yao na kuwapa habari. Viumbe vyote vipo kwenye miliki ya Mungu. Kwa hili, Mungu akatupatia habari kwenye Quran mazungumzo ya majinni walivyorudi kwenye jamii yao. Na si ajabu kwani ni viumbe wa Mungu. Hii sura ndiyo ikaitwa Suratu jinni. Ndipo majini wakasema kuwaambia jamii yao kwenye mazungumzo yao;

Innaa sami-ina Qur'anan ajaba! Kwa maana; hakika yetu sisi(hao miongoni mwa majini) tumeisikia Quran ya ajabu.

72_2.gif

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
72_3.gif

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. 3

72_4.gif

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu. 4

72_5.gif

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. 5

72_6.gif

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi. 6

72_7.gif

7. Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume. 7

Kwenye Quran aya nyengine Mungu anasema; wamaa-khalaqtul jinna wal insi illa liyaabuduun. Kwa maana; Mungu hakuumba Majini na Wanadamu isipokuwa wamuabudu. Kama Malaika wanavyomuabudu na kumtukuza Mungu, nanyi viumbe wengine wajibu wenu ni huo huo. Hivyo, hakuna la kustaajabisha hapo. Na bila shaka kwenye baadhi ya hizo aya jawabu lako limo humo.

Unalindwa na Jini Popobawa, Jini Subiani na wewe unaona kawaida tu.
Mzee, kwa imani ya kiislam binadamu analindwa na Mungu. Na laiti asingeliuweka ulinzi wake miongoni mwa majini waliyomkufuru Mungu wangelimchezea binadamu kama binadamu anavyochezea mpira.

Umeandika uongo mwingi sana na sijui unapata manufaa gani kwa haya! Mengineyo nitayaweka sawa baadaye kwa sasa nina majukumu.
 
Waislamu wenyewe wanatueleza humuhumu kuwa.
Kila Mwislamu ana Jini linalo mlinda.
Hadi nikawauliza kwanini Msilindwe na Malaika ?
Majini mnayosali nayo yanatubu dhambi kwa Allah hayohayo ndio yawalinde kuna usalama hapo ?

Leo nimemdadisi Shehe mmoja kwa ustaarabu kabisa na amekiri mbele yangu kuwa.
Ibada zote wanazofanya Waislamu Watu na Majini wanafanya tena pamoja na watu.

Na alieleza kuwa Mnaposwali Msikitini mnajumuika pamoja na Majini ambao wanakuja kama watu wa kuonekana au wanakuja bila kuonekana.

Vivyohivyo Kuhiji Maka, kufunga ramadhani yaani nguzo na ibada zote za Kiislamu Majini nao wanashiriki pamoja na Waislamu watu.

Mi nilikuwa na kawaida ya kushiriki Kufturu na Waislamu jirani zangu lakini kuanzia leo nasitisha hili tendo kwakuwa, Majini pia yanashiriki katika kula ftari ya kufuturu.

Kwa imani yangu Majini ni viumbe vya Kuzimu, ambavyo ni Malaika wa Ibirisi.

Kuanzia leo shughuri zote za kiibada za Kiislamu kamwe sitoshiriki.

Inamaana Mwislamu wewe unakanusha hayo?
Wakati Waislamu wenzako tena Mashehe wanakiri.
Mashehe hadi wanajiita sharifu Majini, wewe huwasikii ?

Uswahiba wa Waisalmu na Majini umekuwa wa Chanda na Pete hadi unatuogopesha sisi tusio Waislamu.
 
Jikite kwenye mada Kuna watu kiswahili sio lugha Yao ya kwanza kama Mimi ,unachotakoa angalia maana

Kuna swali la kuabudu jiwe , kwa nini mnaabudu jiwe?
Upumbavu wa Mungu mbona haujajibu hili swali ni upi?

1 Wakorintho 1:25​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Kwa nini Allah anasema mwanamke apigwe , hili hakuna Alie jibu

4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni

Huyu ni mungu kweli anasema wanawake wapigwe
AN NISA 34

Tafakari

Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kama vile wanaume wameruzukiwa na Mwenyezi Mungu juu ya wanawake na kuwapa jukumu la kuwasaidia kifedha. Na wanawake wema ni watiifu, na wanapokuwa peke yao, wanalinda yale aliyowakabidhi Mwenyezi Mungu.1 Na mkiona maovu kutoka kwa wanawake wenu, basi wapeni ushauri, kama wakiendelea, msishiriki vitanda vyao. Lakini ikiwa bado wanaendelea, basi waadhibu kwa upole.2 Lakini wakibadili njia zao, basi usiwadhulumu. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu, Mkubwa.

Wanawake wanazingua sometime, akizingua kwa makusudi chapa tu au samehe.

View attachment 2119369
 
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Amin.

Hapana shaka kua ninamfuata ila right angekua anaongea na Mimi waziwazi ningeamini kila kitu anachoniambia lakini siwezi zingatia kilakitu kutokana na mwanadamu kuchezea maandiko.

Ninamfuata kwa yale ninayo yaamini mengine katika Biblia Sina imani Kama ni maneno ya Yesu
 
Kuna neno lipi ambalo unaona sio neno la Yesu na Kwanini ?
 
Waislamu hatuabudu jiwe. Itakuwa hujui maana ya kuabudu.

Kuabudu ni kuelekeza maombi kwa kitu fulani na kutarajia majibu na msaada.

Sasa nitakuuliza mafundisho gani ya Kiislamu yanafundisha watu kuabudu Jiwe ?
Mnapo lisujudia na kuli busu maana yake nini?
 
Jiwe lenyewe ndio hili hapa walikatazwa kulisujudia toka enzi lakini hawasikii kabisa.

Mambo ya Walawi 26:1
Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.

Walikatazwa hata Kulisujudia lakini hadi leo wanasafiri umbali mrefu kiliabudu Hajari Haswadi. Ndivyo wanavyoliita. Eti ni Jiwe takatifu. Kuna kitu hapo.
 
Mutah boy huwa unanikimbia, shida hamjui dini yenu kila maandiko nayoweka ni yakwenu lakini mnayapinga
wakorintho 15:18

Hivyo baasi,wote waliolala kwenye kristo wamepotea

kma iyo bible yko ishakwambia umepotea mm ni nani wa kujadiliana na aliyepotea
 
1 Wakorintho 15:13
Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka;
14 tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
16 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
17 Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
19 Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
20 Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.
 
wakorintho 15:18

Hivyo baasi,wote waliolala kwenye kristo wamepotea

kma iyo bible yko ishakwambia umepotea mm ni nani wa kujadiliana na aliyepotea
Son of Mutah nimeshakuonya wewe na wenzanko ambao devil (shetani) ni Kinga yenu na shetani ni muislamu , unapo chukua Verse ya biblia soma sura nzima , biblia sio koran ambayo Verse na verse hazina uusiano
 
Mwone hapa Allah ana apa apa ovyo tu, ana apa hadi kwa Mungu aliye umba mbingu na Ardhi

91:1 - Naapa kwa jua na mwangaza wake!

91:2 - Na kwa mwezi unapo lifuatia!

91:3 - Na kwa mchana unapo lidhihirisha!

91:4 - Na kwa usiku unapo lifunika!

91:5 - Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga!

91:6 - Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza!

91:7 - Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza!

91:8 - Kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake,

Wakati Mungu amekataza kuapa apa hovyo.

Mathayo 5:33
Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako;

34 lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;

35 wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.

36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.

Yaani Allah na Muhammadi mwendo wao ni kufanya kinyume na Maagizo ya Mungu.

Muhammadi Amri Kumi za Musa zote kazivunja kwa kwenda kinyume nazo.

Mungu gani anaapa kwa aliye umba mbingu, kama inavyo onesha hapo kwenye Aya ya. 91:5
Wakatika Mathayo 5:34 ameonywa kuto kuapa kwa Mbingu, na 35 kuto kuapa kwa Ardhi ya anaapa tu hapo 91:6.

Ndio Allah huyo ana apa apa tu hadi kwa aliyeumba Kiume na Kike.

Watu bado hawajamshtukia tu na janja janja yake. huku akiwaangamiza kwa kuwatumbukiza katika Dini ya Majini na Mashetani.

Hawa si wa kuwaonea aibu ni kuwambia ukweli ili wajitafakari jinsi wanavyoingizwa chaka.
 
Yani hii bible ya Ajabu kweli yni mpk Mungu anatukanwa embu tuelezeni huu upumbavu na udhaifu wa Mungu ni.upi?
20220214_215703.jpg
 
Kwa nini mnaabusu na kulisujudia jiwe ? Kuwa mwanaume na jibu , wenzanko hawajibu ili swali kabisa
Kwahiyo nisipojibu nakuwa siyo Mwanaume ? Kijana mjinga sana sijapata kuona. Una rauka rauka bila ya msingi wowote.

Nilikuuliza huko mwanzo nani alikwambia tunasujudia Jiwe ? Hukujibu hilo swali.

Kingine hujawahi kuuliza swali gumu bali kila swai unalo uliza linaonyesha kiwango kikubwa cha ujinga wako.

Nakujibu kwa maneno ya Swahaba mtukufu 'Umar bin al Khatwaan (Allah amridhie) akiliambia jiwe hilo.

Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]

Kingine tunfanya vile sababu alifanya mtume na si lazima kulibusu kama huna nafasi hiyo.

Kazi ninayo kupa uwe unasoma na kutafiti mambo.
 
aislamu wenyewe wanatueleza humuhumu kuwa.
Kila Mwislamu ana Jini linalo mlinda.
Uongo wa kwanza!

Katika Maidhwatain sura za kujilinda dhidi ya shari, Surat nnas aya inasema kuomba hifadhi kutoka Mungu; Alladhii yuwas wisu fi suduurinnas, minal jinnati wa nnas. Kwa maana unaomba hifadhi ya kujilinda kutoka kwa Mungu kutokana na wale ambao wanaotia wasiwasi katika nyoyo za binadamu ambao miongoni mwao ni binadamu na majini.

Na katika surat jinni kuna aya inaelezea madai unayoyatoa kuwa ni ushirikina na aya nilishakuwekea hapo awali. Hivyo usitunge mambo.

Jini hawezi kukuacha salama. Kila binadamu anayezaliwa kuna jini anamzingira huyu binadamu maisha yake kila mahali, na ndiye huyu usipoomba hifadhi kwa Mungu anafahamu siri zako zote. Ndiye huyu anayewasiliana na majini wa mganga, unafika kwa mganga anajua siri zako zote. Jua ya kwamba majini wa mganga wanazungumza kupata habari kwa huyu jini anayekuzingira muda wote. Anaitwa Qaarin. Tangu utoto kuzaliwa anakuzingira huyu. Sasa usichanganye mafaili kwa ufahamu hafifu na kuzushia unayoyataka wewe.
Hadi nikawauliza kwanini Msilindwe na Malaika ?
Ukiamua unalindwa na malaika, ukiamua unalindwa na mkuu wa malaika Jibril amani ya Mungu iwe juu yake. Na ukiamua unalindwa na Mungu.

Kuna malaika wanaitwa Ruhaniyyun. Hawa ni malaika wa rehma. Ukiwa unafanya dhikri sana muda wote unakuwa nao. Dua zetu zote ni kujikabidhisha kwa Mungu. Ikiwa kama unadua inayosapoti madai yako iweke hapa tuuuone ukweli wako!

Majini mnayosali nayo yanatubu dhambi kwa Allah hayohayo ndio yawalinde kuna usalama hapo ?
32_13.gif

13. Na lau tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyotoka kwangu : Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu.

Hiyo ni Surat Assajidah
_________________

Hii ni Surat jinni

72_6.gif

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

Hiyo ni Qur'an na ndivyo inavyosema! Sasa huo uislam unaouzungumzia wewe sijui wa wapi? Wewe endelea kuneng'eneka na majini, jehannamu itajazwa wewe na majini.

Leo nimemdadisi Shehe mmoja kwa ustaarabu kabisa na amekiri mbele yangu kuwa.
Ibada zote wanazofanya Waislamu Watu na Majini wanafanya tena pamoja na watu.
Jini ni jamii miongoni mwa viumbe vilivyoumbwa na Mungu kama jamii ya viumbe mbalimbali vilivyoumbwa. Jamiii imekusanya jumla ya jumia mojamoja. Kwenye jamii wapo miongoni mwa waliyo wazuri na kinyume chake. Na ndivyo ilivyokwa majini pia. Wapo waliyojisalimisha kwa Mungu na wapo waliyomkanusha Mungu. Akiwa anafanya ibada kuna tatizo gani? Tunu ya kumuabudu Mungu hujapewa wewe binadamu peke yako, tunu hii Mungu kaieneza kwa viumbe vyake wengineo pia. Hii ni tafsiri ya kwetu kwenye uislam, usiifananishe iwe sawa na yako.
Mi nilikuwa na kawaida ya kushiriki Kufturu na Waislamu jirani zangu lakini kuanzia leo nasitisha hili tendo kwakuwa, Majini pia yanashiriki katika kula ftari ya kufuturu.
Hapa ndipo unapoonesha ajabu yako!
Wapi ulishaona jini anakula chapati maji au tambi? We wapi ulishaona jini anakunywa uji? Naye anakunja chapati anachovya kwenye mchuzi?! Kila kiumbe kimepatiwa aina yake ya chakula cha kula.
Kwa imani yangu Majini ni viumbe vya Kuzimu, ambavyo ni Malaika wa Ibirisi.
Kwa imani yetu Malaika kaumbwa na nuru, jini kwa moto na binadamu kwa udongo. Ni aina 3 ya viumbe tofauti. Viumbe ambavyo vinatahiniwa na Mungu ni viwili, ni binadamu na majini. Kwa imani yetu malaika hamuasi Mungu hata mara moja. Kwa imani yetu Ibilisi hakuwa malaika bali ni jini. Wapo waliyojisalimisha kwa Mungu na wapo wanaoleta ukaidi kwa Mungu kama binadamu tu. Kwa namna hiyo usilazimishe tufanane.
Kuanzia leo shughuri zote za kiibada za Kiislamu kamwe sitoshiriki.
Laa ikraha fi ddiin.
Inamaana Mwislamu wewe unakanusha hayo?
Wakati Waislamu wenzako tena Mashehe wanakiri.
Mashehe hadi wanajiita @sharifu @Majini, wewe huwasikii ?
Uzuri wa uislam kinachofuatwa ni dalili. Uislam si dini ya mtu mmoja mmoja. Dini yetu elimu yake ipo wazi haikufungwa. Wapo watu wana elimu kubwa kuliko masheikh unaowasikia. Kwetu ile ni dhamana mtu aliyepewa aishike. Ila haimaanishi ana elimu kubwa kuliko wengine, la hasha! Mifumo yetu haipo hivyo! Hata hao waliyopewa dhamana wanafahamu hayo pia.

Sharifu majini kajipa lakabu ya namna hiyo si kwa tafsiri unayotaka kuiaminisha wewe kwenye umma wa Jf. Kama unavyoona baadhi ya wachungaji wanavyotoa mapepo, kwa muktadha huo kwa sababu naye ni kazi yake akajipa lakabu ya namna hiyo ya kuwa yeye anawatoa watu majini/mapepo yanayowaingilia watu ambapo kwa upande wa kiislamu jini akimdhuru binadamu anakuwa amemuasi Mungu na anakuwa ni sheytwani, binadamu naye akimuasi Mungu kwa mwenendo wa namna hiyo naye anaitwa sheytwani. Kwa elimu hii kwetu kuna sheytwani wa kijini na wa kibinadamu. Kwa usuli huo kwa sababu ndiyo kazi aliyofungamana nayo akaamua kujiita sharifu majini. Yaani yeye ni kiboko wa kuyaondoa majini mashetani yanayowadhuru watu.
Uswahiba wa Waisalmu na Majini umekuwa wa Chanda na Pete hadi unatuogopesha sisi tusio Waislamu
Uongo mwengine huu!
Niliyoyaelezea juu yanajitosheleza kujibu hili. Na uongo ni uongo na uongo ni dhambi. Yaani haipindishwi, hata uufanye uongo kwa mtu aaswi kwa Mungu huo uongo unaandikwa umefanya uongo. Hivyo utaandikiwa dhambi ya kuwa muongo.
 
Kwahiyo nisipojibu nakuwa siyo Mwanaume ? Kijana mjinga sana sijapata kuona. Una rauka rauka bila ya msingi wowote.

Nilikuuliza huko mwanzo nani alikwambia tunasujudia Jiwe ? Hukujibu hilo swali.

Kingine hujawahi kuuliza swali gumu bali kila swai unalo uliza linaonyesha kiwango kikubwa cha ujinga wako.

Nakujibu kwa maneno ya Swahaba mtukufu 'Umar bin al Khatwaan (Allah amridhie) akiliambia jiwe hilo.

Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]

Kingine tunfanya vile sababu alifanya mtume na si lazima kulibusu kama huna nafasi hiyo.

Kazi ninayo kupa uwe unasoma na kutafiti mambo.
Mubarridi ndio maana nakusisitiza sana muheshimu mtume wako na usimdhalilishe kama unavyofanya, alitoa amri ya kulisujudia jiwe na kulibusu ni Allah na kasema wazi jiwe ni mkono wake wa kulia

Jiwe linasamehe dhambi
.."O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard the Muhammad say: 'Touching them erases sins.'...Sunan an-Nasa'i 2919

sasa kama Muhammad anasema jiwe linakazi ya maana ya kusamehe dhambi na wewe unaona Umar ndio mkweli zidi ya muhammad inatakiwa tukuhoji kwa nguvu sana
 
Wapi Uislam umetukuza majini? Kuna kutajwa ama kubainishwa uwepo wa hao viumbe kwa kuashiria Mungu muumbaji ameumba viumbe wa aina tofauti kwa material tofauti. Kuna ajabu Mungu akitupatia habari kwa baadhi ya viumbe wake aliyowaumba mwenyewe?

Itikadi ya Uislam Mungu ni mmoja, yeye ndiye anayepaswa kukusudiwa kwa haja zote, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chochote kilochofanana na yeye. Nguzo za Uislam ni 5, ya kwanza ni shahada ambayo ni ASH-HADU ANLA ILAHA ILLALLAH.

Kwa maana: Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa yeye tu Allah. Bi maana; laa maabuda bi haqqi fil ujuudi illallah! Kwa maana; wah-dahu laa shariika lah! Kwa taafisir ya kuwa Mungu anatosheka na shirika la peke yake. Hahitaji ushirika kwenye kuabudiwa.

Kwenye Qur'an Mungu anasema: "wa annal masaajidalillahi falaa'tad-uu ma-allahi ahadaa"- Na kwa hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu na asiabudiwe yeyote pamoja naye.

Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam anasema; Yeyote atakayekwenda kwa msoma nyota(mganga wa kienyeji) kisha akasadikisha na yanasemwa na msoma nyota (yaani tawile).....Mtume anasema mtu wa namna hiyo swala yake haitokubalika kwa siku 40 na akifa ndani ya hizo siku pasipo kutubu anakufa hali ya kuwa ni Kaafir.

Katika suratul baqara Mungu anasema kumtetea Mtume wake Suleyman baada ya wayahudi kudai Nabii Suleyman amani ya Mungu iwe juu yake alikuwa ni mshirikina. Mungu akajibu kwa kusema kwa kuanza; wama KAFARA Suleymana illa sh-yatwiina yu-allimuuna nnaaasa s-h-r...Hakukufuru Suleymani isipokuwa ni masheytwaani wa kijinni waliyowafundisha watu uchawi. Mungu hakuanza na Nabii Suleyman hakuwa mshirikina bali alianza kwa kusema hakukufuru. Ushirikina ni kufr katika Uislam na ni dhambi kubwa sana!

Kuna aya nyingi na hadithi kadhalika zinazokanusha ya kuwa Uislam haufungamani na ushirikina, za juu ni baadhi. Si jambo jema kulizungumzia suala hauna elimu nalo kisha ukalitolea ufafanuzi na hitimisho, kwani hayo ni makosa.

Rabbuna allahu dhuljalaali
Hasbuna allahu dhulkamaali

Waislam tunayemuabudu ni mmoja tu, ni Allah. Huwa Allah!

Katika vitabu vilivyokuwa na sheria ni Tawrat ya Nabii Musa amani ya Mungu iwe juu yake. Baada ya hapo viumbe vinavyoishi kwenye hii ardhi ya sayari ya dunia walidhani ya kuwa Mungu hatoshusha kitabu kingine chenye sheria kitakachokuwa muongozo kwa viumbe wa Mungu. Majinni nao ni viumbe wa Mungu.

Walipoisikia Quran wakarudi kwa jamii yao na kuwapa habari. Viumbe vyote vipo kwenye miliki ya Mungu. Kwa hili, Mungu akatupatia habari kwenye Quran mazungumzo ya majinni walivyorudi kwenye jamii yao. Na si ajabu kwani ni viumbe wa Mungu. Hii sura ndiyo ikaitwa Suratu jinni. Ndipo majini wakasema kuwaambia jamii yao kwenye mazungumzo yao;

Innaa sami-ina Qur'anan ajaba! Kwa maana; hakika yetu sisi(hao miongoni mwa majini) tumeisikia Quran ya ajabu.

72_2.gif

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
72_3.gif

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana. 3

72_4.gif

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu. 4

72_5.gif

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. 5

72_6.gif

6. Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi. 6

72_7.gif

7. Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume. 7

Kwenye Quran aya nyengine Mungu anasema; wamaa-khalaqtul jinna wal insi illa liyaabuduun. Kwa maana; Mungu hakuumba Majini na Wanadamu isipokuwa wamuabudu. Kama Malaika wanavyomuabudu na kumtukuza Mungu, nanyi viumbe wengine wajibu wenu ni huo huo. Hivyo, hakuna la kustaajabisha hapo. Na bila shaka kwenye baadhi ya hizo aya jawabu lako limo humo.

Mzee, kwa imani ya kiislam binadamu analindwa na Mungu. Na laiti asingeliuweka ulinzi wake miongoni mwa majini waliyomkufuru Mungu wangelimchezea binadamu kama binadamu anavyochezea mpira.

Umeandika uongo mwingi sana na sijui unapata manufaa gani kwa haya! Mengineyo nitayaweka sawa baadaye kwa sasa nina majukumu.
Mwisho wa siku muhammad anaweka wazi waislamu wote mna mlinzi anaitwa devil

Abdullah ibn Mas’ud reported: The Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2814
 
Back
Top Bottom