Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

Amna mkuu, ukistukia mchongo, unajipanga upya muhimu ni kuusoma mchezo, ukitaka kujua unaishije waangalie sana waliokuzunguka utajua tu. Unaweza kujua upo sawa kumbe ni kinyume chake, meditation inasaidia sana
tupe procedure za kufanya meditation
 
ilikuaje mzee?
 
[emoji1533][emoji1545][emoji1545][emoji1545]nakuja hapa jioni nikiwa kwenye utulivu mzuri
 
Amna mkuu, ukistukia mchongo, unajipanga upya muhimu ni kuusoma mchezo, ukitaka kujua unaishije waangalie sana waliokuzunguka utajua tu. Unaweza kujua upo sawa kumbe ni kinyume chake, meditation inasaidia sana
Nisaidie namna ya kufanya meditation hiyo unayozungumzia
 
Wengi mnachangia kuonyesha kama story tu,binafsi naona kama ndio napitia hayo muda huu,nipo 40+ ila najionea chenga tu,mke sina mtoto sina,sometimes kama najistukia hivi ila napuuzia,kuna madogo wanazaliwa wanakuwa wanakuwa na maisha yao mi nipo hivi hivi,cha ajabu siishi maisha ya kitajiri wala ya kimasikini yaan sio ya juu wala ya chini,nitaandika hapa hata kujaza kurasa mia,kwa ufupi sielewi,nikipata pesa mi tungi la kutosha,hiyo pesa sasa sijui naipataje ni ngumu kuelewa ila naweza kuanza kitu simple tu kikaniingizia pesa weee baadae nakipotezea
 
Chumvi ina mchango mkubwa sana hapa duniani tena kwenye swala la chakula.

Ila chumvi ni kama aliye wa mwisho japo hana umuhimu mkubwa wa maitaji.

Sijawai sikia uchumi wa nchi au dunia kutikisika kwa ajili ya chumvi!.

Sijawai kusikia serekali wa bunge kuzungumzia chumvi!

Sijawai kusikia maskini kasema kakosa nchunvi hata akiomba hatapewa!

Sijawai kusikia kuna tajiri anayeuza chumvi tu!

Sijawai kuona mtu akinyimwa chumvi labda sukari!

Sijawai kusikia mtu analalamika majumbani kuwa wanamaliza chumvi!

chumvi mbona ni wamwisho
 
oya hizi ishu ni real mzee, sema tu wanga lazima waje wakanushe!

Mi nakumbuka mwaka 2008 kuna bro wetu alizamia machimboni msumbuji kusaka ruby, kila wazee wakituma salamu bro arudi home hataki, basi siku moja dingi mida ya asubuh alikuja na mtaalamu akapika ugali ukachanganywa na maujiuji meusi aliyokuwa anayatoa ndani ya vibuyu na kijiti, na ule ugali ukafunikwa na shati la bro na mtaalamu akasema huu ugali akija mwanao mpe ale, huwezi amini kesho kutwa yake mida ya saa tano usiku bro anaingia nyumbani baada ya miaka sita ya kutokomea huko msumbiji,
Hadi nilimuonea huruma bro[emoji26]amechoka,amekonda mbaya analalamika maisha ya huko magumu na pia akasema juzi yake alipatwa na homa kali na akicheki kufia ugenini ni noma na nauli ya kumrudisha mwanza hana, lakini cha ajabu ilitokea private car inakuja bongo akapata lift hadi moro, moro akadandia fuso mpaka mwanza bila kutumia nauli yeyote...na cha ajabu alivyofika mwanza tu hajui hata ile homa kali ilipotelea wapi, kwa maelezo yake alikuwa anasema alikuwa hadhani kama atafika home mzima, basi bwana mzee akamfunilia ule ugali akagonga kishikaji akalala...lakin baadae mzee alikuja kumchana ukweli jinsi alivyorudishwa home[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…