Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

[emoji38]mkuu ilikua kila mtu ninayekutana naye anauliza nywele ziko wapi. Kwenye kesi hapo sasa ndio sio powa mzee. Watu ni wabaya sana mkuu,bora ulikimbia maana sahivi ungekuwa unapangiwa muda wa kulala huko jera

Sent using Jamii Forums mobile app
miaka ya 2013 mpaka 2015 kuna mwanachuo mmoja alikuwa mteja wangu sana saloon kwangu,kuna siku kaja nimnyoe nashangaa kichwani kanyolewa nikamuuliza akashangaa hakuwa anajuwa kabisa,basi jamaa akaishi maisha ya kujistukia sana yani akipanda daladala kama kapata siti na kuna abiria waliosimama alikuwa anaweka mkono kichwani kuzuga kama anajikuna ili kuziba ile sehemu .bahati nzuri alikutanaga na mmasai huko Tegeta akampa dawa akapona pakaziba kabisa.saivi nna mteja mwingine naye wamenyoa chini ya kisogo hazijaota mpk leo.
 
Wakubwa mbhane naombeni msaada wa mawazo

Kijana wangu wa miaka 3 ameibiwa chupi yake katika mazingira amabayo naona inakwenda kutumika kumfanyia mambo ya kichawi

Je anaweza pata athari gani endapo nikiamua kupotezea kwenda kwa masangoma

Msaada tafadhari wakuu

miaka ya 2013 mpaka 2015 kuna mwanachuo mmoja alikuwa mteja wangu sana saloon kwangu,kuna siku kaja nimnyoe nashangaa kichwani kanyolewa nikamuuliza akashangaa hakuwa anajuwa kabisa,basi jamaa akaishi maisha ya kujistukia sana yani akipanda daladala kama kapata siti na kuna abiria waliosimama alikuwa anaweka mkono kichwani kuzuga kama anajikuna ili kuziba ile sehemu .bahati nzuri alikutanaga na mmasai huko Tegeta akampa dawa akapona pakaziba kabisa.saivi nna mteja mwingine naye wamenyoa chini ya kisogo hazijaota mpk leo.
Itabidi na mimi nimtafute masai aise, hizo nywele jamaa huwa sijui wanaweka nini zinagoma kuota. Mtu ambaye hajawahi kushuhudia hii anaweza kudhani tunapiga fix hapa
 
chukua maji maji ya papuchi
yachemshe mpaka ievaporet, kilichobaki kama rezidue ni chumvi murua kabisa
 
Itabidi na mimi nimtafute masai aise, hizo nywele jamaa huwa sijui wanaweka nini zinagoma kuota. Mtu ambaye hajawahi kushuhudia hii anaweza kudhani tunapiga fix hapa
hata huyo jamaa anadai masai ndo alimfata na kumuuliza baada ya kumjibu akamwambia dawa ninayo,jamaa hakumuamini ila kwasababu alikuwa na shida akanunua tu kama kujaribu keeli alipona maana kila alipokuwa anakuja nilikuwa naona mabadiliko na mimi ndo nilikuwa namwambia kwamba kweli zinaota mpaka pakaziba kabisa yaani mpk anamaliza chuo na kuhama mtaani alikuwa sawa hana tena tatizo,inavyoonekana tatizo la hivyo huwezi kutibiwa hospitali jaribu kuulizia kwenye maduka makubwa mjini ya dawa za asili unaweza kubahatisha .
 
Mungu nampata wapi mkuu na haya maisha yetu ya kula tunda kimasihara
Nina ex wangu nilimpenda sana. Ndugu yake wa kambo alichukua nguo yake ya ndani akiwa A level zile likizo tunarudi kwa ndugu wa karibu na shule. Leo hii naongea hapa alitakiwa awe kamaliza second year ila akijaribu issue yoyote ya chuo anaumwa. Hawa ni kina Salamu Maria kama mimi, hazijawahi ondoa uchawi hata siku moja

Kuna jamaa yangu aliibiwa boksa na demu wake akafanyiwa ushirikina. Akaanza kuumwa hospitali hawaoni ugonjwa, ila yule jamaa hakuwaza mara mbili alienda kwa "wataalam" na issue ikawa solved baada ya kupitia waganga wawili. Mmoja alitoa sababu ya kuumwa na ilivyokuwa, mwingine ndio alimtibu. Tena huyu jamaa alitafuta ile boksa mpaka akapuuza akidai labda imechukuliwa na kunguru, haikuwa na mazingira yoyote ya kupotea bila kuchukuliwa
 
Wengi mnachangia kuonyesha kama story tu,binafsi naona kama ndio napitia hayo muda huu,nipo 40+ ila najionea chenga tu,mke sina mtoto sina,sometimes kama najistukia hivi ila napuuzia,kuna madogo wanazaliwa wanakuwa wanakuwa na maisha yao mi nipo hivi hivi,cha ajabu siishi maisha ya kitajiri wala ya kimasikini yaan sio ya juu wala ya chini,nitaandika hapa hata kujaza kurasa mia,kwa ufupi sielewi,nikipata pesa mi tungi la kutosha,hiyo pesa sasa sijui naipataje ni ngumu kuelewa ila naweza kuanza kitu simple tu kikaniingizia pesa weee baadae nakipotezea
Wewe umerogwa mkuu.
 
hata huyo jamaa anadai masai ndo alimfata na kumuuliza baada ya kumjibu akamwambia dawa ninayo,jamaa hakumuamini ila kwasababu alikuwa na shida akanunua tu kama kujaribu keeli alipona maana kila alipokuwa anakuja nilikuwa naona mabadiliko na mimi ndo nilikuwa namwambia kwamba kweli zinaota mpaka pakaziba kabisa yaani mpk anamaliza chuo na kuhama mtaani alikuwa sawa hana tena tatizo,inavyoonekana tatizo la hivyo huwezi kutibiwa hospitali jaribu kuulizia kwenye maduka makubwa mjini ya dawa za asili unaweza kubahatisha .
Nitafanya hivo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom