Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

26 japo haikua nyumba ya ndoto yangu kwa Sasa naishi kwenye nyumba ya ndoto yangu Mungu ni mwema sana.
 
Aisee lakini ni kweli ila Cha mhimu umejenga amna Raha Kama kujichanganya majeton na wana
 
Pole mamaa...nakutabiria before 35. Theres always another day.
 
Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Dah pole mwamba ukiweza we simama kwenye msimamo hyo ni nyumba ya watoto
 
Inawezekana kipndi upo kwenye 20s nyumba haikua kipaumbele chako wala hukuifikiria na ulienjoy maisha yako(Hicho ndio kikubwa)
Na kama kwa sasa nyumba ni jambo la muhimu sana kwako jitahidi ufanikishe achana kabisa na yaliyopita wala kujilinganisha.
sawa kiongozi, ahsante sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…