Ukikosa pesa kila mtu kwako ni mtoto hasa wenye mawazo ya pesa tofauti na yako bado hujachelewa mkuu miaka 40 ulionayo michache sana ukitafuta uwiano sahihi ndani ya miaka 10 ijayo utakuwa mtu mwingine kabsa utarudi hapa kunishukuruHumu jukwaani kuna watoto wengi sana, tunapaswa kuvumiliana tu
Itoshe kukueleza ,huna unachojua.Umri ni namba na pesa ni namba pia kipi ambacho huelewi hivyo vitu vina uhusiano wa sumaku
Nashukuru kwa kunielewa hivyo hivyo ungeweka jitihada ya utafutaji kwa uwiano wa umri na vitu unavyohitaji kuvifikia huenda ungefikia au ungepata zaidi ya malengo
umejiunga jf 2023 kwa username hii kua posibility mbiliUna miaka mingapi nikwambie unatakiwa kuwa na shingap hata kama ni jobless?
Mimi nina maisha na familia yangu sina haja ya kutafuta kitu ambacho sikukipoteza.Unachotkiwa kukielewa ni kwamba "you're still a kid and you know nothing at all zaidi ya kuchuchumaa na kujisaidia.Acha kukaza fuvu bado hujachelewa piga hesabu zako vizuri Kisha tafuta, save na uwekeze ukimbize namba zako
Katoto hako.Unapoteza muda wako kufundisha kizazi mapooza.umejiunga jf 2023 kwa username hii kua posibility mbili
1. user wa muda mrefuu umefungua user mpya kwa ajili ya skam
or
2. user mpya jf mwenye mizoukah ukidhani watu wamechelewa kupata hela
btw,kama unaweza kushauri nishauri kijana jobles
Sasa username Ina uhusiano gani na pesa mkiambiwa mtafute pesa mnakuwa wakali balaa mnataka kufa masikini?umejiunga jf 2023 kwa username hii kua posibility mbili
1. user wa muda mrefuu umefungua user mpya kwa ajili ya skam
or
2. user mpya jf mwenye mizoukah ukidhani watu wamechelewa kupata hela
btw,kama unaweza kushauri nishauri kijana jobles
Ukute wewe ndio katoto ka mwisho humu kwa umri bado hujachelewa miaka 40 michache sana weka uwiano sawa tafuta save wekeza utakuja kunishukuruMimi nina maisha na familia yangu sina haja ya kutafuta kitu ambacho sikukipoteza.Unachotkiwa kukielewa ni kwamba "you're still a kid and you know nothing at all zaidi ya kuchuchumaa na kujisaidia.
Nani kakuambia nina miaka 40? Na nani kakuambia sina pesa??Ukikosa pesa kila mtu kwako ni mtoto hasa wenye mawazo ya pesa tofauti na yako bado hujachelewa mkuu miaka 40 ulionayo michache sana ukitafuta uwiano sahihi ndani ya miaka 10 ijayo utakuwa mtu mwingine kabsa utarudi hapa kunishukuru
Umenena vizuri lakini nikuongezee kituInategemea na Kazi unayofanya , fursa ambazo umekutana nazo katika maisha na sehemu ulipo.
Mfano Mimi ni Mwalimu na nipo kijijini kwa sasa nalipwa 700K Kama take home
Nina familia Nina watoto hivi unategemea nitakapokuwa na 50-40 unafikiri nitakuwa na kias gani bank
Na eneo nililopo hauwezi kulima wala kuanzisha biashara .
Ukisema uanzishe tuition n.k hauwezi
Tunaongea Sana nadharia na kulinganisha Life path way za kwako na za watu .
Umeajiriwa Ila tupo katika rat race na tunaishi paycheck to paycheck .
Achilia mbali kujenga Nyumba , Kali ,kuwa na Gari Kali na kula vizuri hauwezi .
Nawaza !!!!
Fanya maombi iwe paaap,umemfahamu kila mwenye utambulisho bandia JF.Ungetetemeka hivyo vigoti vyako vichanga huku unalengwalengwa machozi ya apologies! Damnit!Ukute wewe ndio katoto ka mwisho humu kwa umri bado hujachelewa miaka 40 michache sana weka uwiano sawa tafuta save wekeza utakuja kunishukuru
Una miaka mingapi bro mbona hasira au jua limekuchwea bado hujachelewa weka uwiano sawa utakuja kunishukuru kwa kukupa ushauri ukiwa sobar na depression juuNani kakuambia nina miaka 40? Na nani kakuambia sina pesa??
Kuna watu humu wameamua kukaa kimya wanakuangalia unavyoropokwa kama mjinga flani aliewehuka baada ya kuanza kushika pesa za mboga ukubwani.
Pengine hapa nabishana na mtoto ambae hana nyumba, hana mke/mume wala mtoto, hana elimu kubwa na wala hana hata biashara yenye thamani ya japo milioni 20.
Huezi Jenga uchumi kwa siku moja amini nakwambia muda ni factor kubwa katika kujenga uchumi sawa na umri wako unavyoenda ukiwa mzee huwezi fanya kazi za nguvu kama kijana acha kukaza fuvu chukua ushauri fanyia kazi utakufa masikini kwa kutafuta visingizioDogo akili ndogo sana, kwanza tambua uchumi siyo kitu static Bali ni flexible.
Ningependa unambie MTU mwenye watoto 02 mke mmojaUmenena vizuri lakini nikuongezee kitu
Mfano mdogo tuseme kulingana na kipato chako unahitaji kuwa na vitu labda vitatu ambavyo kwa kazi ya ualimu utakuwa umefikia malengo au una kauafadhali. Vitu vyenyewe ni Biashara isiyo pungua mtaji wa milion 5 hadi 10, nyumba ya kukaa isiyozidi milion 50 na kigari cha kuendea kazini kisicho zidi million 20 huo ni mfano
Sasa tuseme umeajiriwa ukiwa na miaka 25 hadi 27 ili kufikia malengo piga hesabu unatakiwa kusave shingap kwa miaka mingapi kwa kipato chako ili kuipata hiyo milion 80 ambayo ukiitimiza ikawa ni Busta kubwa kufikia malengo makubwa zaidi na huku bado Nssf wanakuekea mafao yako ya uzeeni
Au ndio kila unachokiingiza kinaishia mdomoni chote?
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.
Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa
Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachewa
Usiishie tu kutuambia kuhusu hela tuambie na chakufanya tuzipate izo money 💰Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.
Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa
Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachelewa