Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

Fanya maombi iwe paaap,umemfahamu kila mwenye utambulisho bandia JF.Ungetetemeka hivyo vigoti vyako vichanga huku unalengwalengwa machozi ya apologies! Damnit!
Unaamini katika maombi ili kumjua mtu be serious!

Mimi nakupa mawazo wewe kama wewe umekuja pekeako duniani kwanini ukilinganisha na wengine? Hao wengine watakusaidia nini? Ukiwajua Wana maisha gani ndio nawewe utakuwa kama wao?

Una miaka rundo huna pesa umekaa tu eti pesa na umri havina uhusiano utakufa masikini shauri yako
 
1-Nimekueleza Pesa na umri havina uhusiano.
2-Sijakueleza kwamba mimi ningali nataka umri wangu na nilivyonavyo vina mlingano ipi.
3-Siishi kwa sababu wewe unaangalia nini Mimi ninacho.Ninaishi kadiri ya uwezo wangu.
4-Inaomesha unaabudu hela/utajiri.Chunga yawezekana ukawa na mwendelezo au mwisho mbaya.
5-Usiwe rigid kupokea mawazo tofauti na yale uliyojilisha.Utajikuta mpweke sana muda fulani.
6-Adios-Amigos!
 
Kwa mfano niliyokupa hiyo milion 80 kwa kipato cha mwalimu ni jumla ya nyumba, gari na biashara let's say

Nyumba less than 50mil

Biashara less than 10milion

Gari less than 20mil, asaivi kuna gari hadi za milion 5-10 kwa teacher unatamba tu mtaani

Na kuhusu familia ya watoto wawili na mke kwa take home ya 800k unaweza kuigawa kati au ukasave hata 300k kwa mwezi watoto sio lazima kuwapeleka EMS kwa kipato chako hicho ni kujitakia shida zisizo na lazima
 
Sawa Kijana
 
Pesa na umri vina uhusiano mkubwa usibishane na uhalisia waulize wenye makampuni wametumia mda gani kubrand kampuni zao? Waulize wafanya biashara wa kati na wakubwa wametumia muda gani kukuza biashara zao? Na hapo ndio suala la namba linakuja ambazo ukiangalia ni sawa na namba za umri wako

Mfano ili kujenga kampuni itakuhitaji sio chini ya miaka 20 ya down and fall je hiyo kampuni umeianzisha ukiwa na umri gani au ndio unaamini katika mazabahu ya mwamposa na maji ya upako amka wewe
 
Kinyonge sana, bado hujachelewa piga hesabu vizuri utarudi kwenye ramani
You have nothing to teach me about life I'm the self made , hayo mambo umeandika ni non -Applicable mainly in Tanzania .

Mimi sio government servant Ila nilijaribu kukupima level yako ya ufahamu I noticed ur a layman about economics
 
Uliwahi kumfahamu mmiliki wa migahawa ya KFC?Unamfahamu Justine Bieber?Mike Tyson?Jack Ma?Kasusura Mzee wa fedha za benki Tanzania?Mollel wa Tanzanite?Kajifunze kuhusu hao watu halafu urudi kujifunza tena kuhusu Mbowe,Watoto wa Mzee Rupia,Familia ya Lakshmi Ladhaks Tanzania na watoto wa vigogo Tanzania kuhusu utajiri wao.
 
Kuna laymen wengi JF mainly I'd za 2021-2025 ukisoma thread zao unagundua kitu Kama hicho.
 
Kwa wafanya biashara wote uliowataja hamna aliejenga utajiri wake over night imewachukua miaka kufanya hivyo na hatimae moja ya michakato ikatiki

Kwa wasanii, kipaji hakina umri ila pesa wanazopata kupitia kipaji zinahesabika kwa miaka kwa maana ya uwekezaji na uendelezaji wa pesa hizo kuna wasanii wangapi walikuwa nahit na sasa hawana hata mia mbovu? Ni kuwa hawajapiga vizuri hesabu zao sawa wakaona pesa hazina umri kwahiyo wakatumia tu bila malengo ya muda mrefu

Halafu pia usiamini sana wanayoandika waliofanikiwa hasa matajiri wa kizungu wengi ni waongo mtu hawezi kukupa 💯 ya stori ya utafutaji wake
 
Hiyo aya yako ya kwanza inakubaliana na uzi wako jumlisha ubishi wako kwenye maoni? Short-sighted,chap!
 
Kwa akili yangu timamu bila shuruti..

NAOMBA MLETA MADA AWEKE PICHA INAYOONESHA HELA ZAKE TASLIMU MILIONI 1 NA IWE NA KATARASI YENYE JINA LA ID ANAYOTUMIA HUMU.

AKIFANYA HIVYO, NAOMBA NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

Active Maxence Melo YinYang
 
Acha hizo
 
Hiyo aya yako ya kwanza inakubaliana na uzi wako jumlisha ubishi wako kwenye maoni? Short-sighted,chap!
Umeona kuna cha utofauti kati ya ninachokisema?

Hivi hivyo vichwa vyenu vinawaza konyagi tu na visungura?

Unazeeka huna hata mia mbovu wasema umri na pesa haiviendani huku umekaa kwenu unagimbania ugari na wadogo zako ukipata pesa unakimbilia River side amka wewee utakufa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…