Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

Inawezekana nabadilishana mawazo na kichaa fulani anayedhani yeye ni tajiri halafu mtoto.Hebu ichambue upya sentence yako kivipi umri unatakiwa uenende na utajiri/mali/kipato?
 
Kwa akili yangu timamu bila shuruti..

NAOMBA MLETA MADA AWEKE PICHA INAYOONESHA HELA ZAKE TASLIMU MILIONI 1 NA IWE NA KATARASI YENYE JINA LA ID ANAYOTUMIA HUMU.

AKIFANYA HIVYO, NAOMBA NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

Active Maxence Melo YinYang
Kwa cash ni nina zaidi ya milion 1 kwa salio nina zaidi ya million 2 kwa ninavyo miliki ni zaidi ya hizo pesa mara kumi yake na nipo under 30 hapo sisemi nimejipata bado najitafuta huenda sijafika hata robo ya malengo yangu ila unachosema ni upuuzi

Chukua ushauri acha kukaza fuvu
 
Huyu dogo ***** mmoja kashiba chakula cha shemeji kapata na ganji ya kununua bando anakuja kubweka humu
 
Kumbe wewe ni chizifresh?Basi yameisha.Hata swali nililouliza usijibu.Nimekuelewa.
 
Toka kwa shemeji yako katafute pesa acha kutumia visungura 40yrs ni miaka ya kuwa na kitita cha pesa na all basic needs
Sasa Kwa kuwa wewe unakaa Kwa shemeji yako,wote wewe na dada ako mnapakuliwa vinyesi/ kuliwa viboga unafikiri kila mtu Yuko Kwa shemeji kama wewe
Mimi Niko Mchondoroni nabeba tofali
 
Siri ndiyo inayofanya tunaheshimiana.Mleta mada angejulikana kua ni nani,hakika majibu yangeongezeka au kupungua kutoka kwa wachangiaji.I had a dream.
 
Inawezekana nabadilishana mawazo na kichaa fulani anayedhani yeye ni tajiri halafu mtoto.Hebu ichambue upya sentence yako kivipi umri unatakiwa uenende na utajiri/mali/kipato?
1. Harakati za utafutaji lazima ziendane na umri

2. Kipato lazima kiendane na umri thought kuna rank mbalimbali kulingana na sekta

3. Saving lazima ziendane na umri kwa maana alietumia muda mrefu kusave(kwa walio secta moja) hafanani na anaeanza mfano ni mafao ya Nssf

4. Malengo lazima yaendane na umri kwa kipengele cha muda mfano unaweka malengo ya kuwa raisi baada ya miaka 20 ijayo huku ukiwa na miaka 70 hapo ulipo ni impossible

Mjumuisho wa hivyo vyote matokeo yake ni kuwepo kwa utofauti wa kifedha na kimaisha kati ya mtu anaenza na ambae anaelekea kustaafu kwa wenye tasnia sawa ya utafutaji

Usipoelewa basi mwalimu wako alikuwa anafundisha jiwe
 
We una miaka mingapi, acha kutuka mamba kabla hujavuka mto, subiri we bwege na uje ufungue tena huu uzi wako.
 
Wewe ndio punguani unaejifananisha na wengine hao wameweka malengo yao sawa acha kutafuta visingizio hata wewe waweza kuwa kisingizio kwa wengine
We inaonekana umechanganyikiwa, we kwa ulivyo hutafika kokote utakufa kapuku.
 
Utoto raha sana
 
Upo sahihi mhishimiwa mtoto!
 
Huyu dogo ***** mmoja kashiba chakula cha shemeji kapata na ganji ya kununua bando anakuja kubweka humu
Tafuta pesa uendane na uwiano wa miaka yako mzee jua linazama usije tafuta lawama kwa watoto wako kwa kukosa dira ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…