Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
Mimi kapita hapa mvulana anamtembeza mtoto wa kike mlemavu kwenye wheel chair(probably ni mdogo ake) imebidi tu niwape 20K ingawa haikua kwenye bajetiWatu wa bar sisi ni wakarimu sana na hilo najivunia , nilisha toa msaada wa keshi ya laki 6 yote kwa mtu baada ya kulewa mno , kufika nyumbani nikala wali maharage kiporo, ili kukata pombe asee ,ila mwisho wa siku nilisaidia mtu asie jiweza , najivunia tu kwa hilo.
Safi sana mkuu ,mimi nikifanya hivyo au nikiona mwingine anafanya nafurahi mno.Mimi kapita hapa mvulana anamtembeza mtoto wa kike mlemavu kwenye wheel chair(probably ni mdogo ake) imebidi tu niwape 20K ingawa haikua kwenye bajeti
Mkuu hujaongeza tangawizi kwenye hicho kiasi ?Watu wa bar sisi ni wakarimu sana na hilo najivunia , nilisha toa msaada wa keshi ya laki 6 yote kwa mtu baada ya kulewa mno , kufika nyumbani nikala wali maharage kiporo, ili kukata pombe asee ,ila mwisho wa siku nilisaidia mtu asie jiweza , najivunia tu kwa hilo.
Hapana master sinaga huo utaratibu hasa ukikuta nina kitu kichwani😁Mkuu hujaongeza tangawizi kwenye hicho kiasi ?
😀😀😀😀 Noma sana mzee mwenzanguKwahiyo inakuwa ni kama vile Mungu amekuja kumpima imani shetani..?🤣
Ukicheki umechafua meza na heinkein, yaani hapo lazima tu utoe helaWanatia sana huruma juzi mie mmoja nilimpa buku tano
Ni kweli.., kuna wengine hawana shida wanaomba omba kama fursa tu.Mara nyingi huwa najutia sana pombe ikiisha, maana Huwa natoa muda mwingne kwa watu sio sahihi.
Na waombaji washajua huo udhaifu wa kulewa, wakija wanaondoka na kibunda cha kutoshaWatu wa bar sisi ni wakarimu sana na hilo najivunia , nilisha toa msaada wa keshi ya laki 6 yote kwa mtu baada ya kulewa mno , kufika nyumbani nikala wali maharage kiporo, ili kukata pombe asee ,ila mwisho wa siku nilisaidia mtu asie jiweza , najivunia tu kwa hilo.
Kinachokera, hii ni miradi ya watu, mtu anapewa baiskeli na asijiweza mmoja, kisha jioni anapeleka hesabu kwa bosiMimi kapita hapa mvulana anamtembeza mtoto wa kike mlemavu kwenye wheel chair(probably ni mdogo ake) imebidi tu niwape 20K ingawa haikua kwenye bajeti
Omba omba wanajua watu wenye akili na upendo wapo bar kuliko kanisani na misikitiniNa waombaji washajua huo udhaifu wa kulewa, wakija wanaondoka na kibunda cha kutosha
Exactly 💯 brotherUkicheki umechafua meza na heinkein, yaani hapo lazima tu utoe hela