Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Dah kwahiyo sahivi uko wapi 😁😁Alewe kwanza ili awe real na mkweli
Dah kwahiyo sahivi uko wapi 😁😁Alewe kwanza ili awe real na mkweli
Utafika mbali.Hapana master sinaga huo utaratibu hasa ukikuta nina kitu kichwani😁
Kazi ipo,dah!Ewaaaaahhhhh daaaah umenkumbusha day moja nlikua Ar vyombo vimenoga jamaa wanapiga band mara ikapigwa "kuliko jana" saut soul
Usione watu wanapanda juu ya meza ukazani wamelewa.
We hausikii ilivyo kali? Unahisi itakuwa niniMkuu hujaongeza tangawizi kwenye hicho kiasi ?
Alivyomfokea dah nilishangaa sanaLabda alikuwa hana mkuu
Hivi ndani ya pombe huwa kuna nini? 🙄 ukiinywa tu fyuuuuuu inashuka chini, masikini unashindwa kujua hata minyege imetokea wapi, huwa sielewi hapo tuKwenye kutoa msaada kwa wasiojiweza huo ni upendo wa kweli, lakini kwenye suala la ngono hapo ni mzuka wa pombe tu. Pombe zikikutoka asubuhi upo lodge unaanza kushangaa ilikuaje niliondoka na manzi mbovu kama huyu
Kwa nini bwashee?Utafika mbali.
Tutashindwa kusaidia wenye uhitaji kwa haya maneno.Msichokifahamu ni kwamba hiyo ni miradi ya watu, wanaenda vijijini wanakwenda kuwachukua walemavu na wale wasaidizi wao wakifika hapa mjini wanawekwa kwenye nyumba au lodge wanakuwa wengi.
Kazi yao kuanzia asubuhi ni kwenda kuomba kutwa nzima ikifika jioni analeta hesabu kwa bosi yaani kama daladala vile.
Kwenye kile kipato cha siku anapewa posho kidogo na kwa vile anakula na kulala bure anaridhika maisha yanakwenda.
Awe anashawishi huwa siwazi😁Afu unakuta ndo mda umetoka kumnunulia malaya bia 3 za bure😊
Yaani tangia nijue hili, nimekua mgumu kutoa msaada kwa hawa omba omba had najishangaa!Kinachokera, hii ni miradi ya watu, mtu anapewa baiskeli na asijiweza mmoja, kisha jioni anapeleka hesabu kwa bosi
Unawapa tu na maisha yanasonga.Imenikuta sana hii kitu mkuu, Tena unakuta ni watoto wadogo
Hawa mademu wa club ni kesi nyingine, binafsi demu mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi siwezi kumnunulia hata sodaYani kwa sasa nimejifunza, demu kama hatumii pombe , pesa yangu ataisikilizia kwenye bomba tu .
Nani aliekwambia wanaoenda msikitini na kanisani wana huruma na upendo? Juzi nimepanda gari moja tumekaa siti moja ya mwisho watu wanne kati ya hao wanne kuna mchungaji kashika biblia mkononi anaelekea kanisani pembeni yake kulikua na Shekhe sijui imamu katupia kanzu na tasbuhi na wahuni wawili yaan mimi na mwenzangu mmoja tunatoka Segerea tunaelekea Mbezi Magufuli Stand njiani Kinyerezi akapamdishwa Bibi ana Stroke yaan kapalalaizi upande mmoja kushika bomba juu hawezi kabisa nilishangaa kuona mchungaji ambae alikua karibu na dirisha alifungua dirisha na kufanya km hajaona kitu huku Shekhe akawa amemkodolea macho tu yule Bibi badala ampishe mimi Muhuni nikaona isiwe kesi nikainuka nikamwambia Bibi njoo ukae kwenye nafasi yangu wote wakabakia wananishangaa nikamwambia wewe Mchungaji uchwara sogea kule mpe nafasi Bibi huyu akae Mchungaji akajifanya km hanisikii nikamwambia mara ya pili watu wote wakageuka nyuma akaona aibu akasogea Bibi akakaa cha ajabu sasa wote walikua wanashuka vituo viwili mbele mpaka nikajiuliza walishindwa nini kusimama pale hawa wakuda, kwa hio usipumbazwe na muonekano au title ya mtu upendo na huruma haina mtu au sehemu kwamba Msikitini au Kanisani ndio utapata watu wenye huruma na upendo sana sio hivyowatu wenye akili na upendo wapo bar kuliko kanisani na misikitini
😀😀😀 kwaiyo ukapanda juu ya meza? I wish ningekuwepoEwaaaaahhhhh daaaah umenkumbusha day moja nlikua Ar vyombo vimenoga jamaa wanapiga band mara ikapigwa "kuliko jana" saut soul
Usione watu wanapanda juu ya meza ukazani wamelewa.
Wee hela yote hiyo ya nini....hapo muhindi tungebet wao tuwape buku 2 inatoshaMimi kapita hapa mvulana anamtembeza mtoto wa kike mlemavu kwenye wheel chair(probably ni mdogo ake) imebidi tu niwape 20K ingawa haikua kwenye bajeti