min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tuliza code , kunywa kistaharabu kaka😃Mlevi maskini huyo...msamehe ujue hata mimi zamani nikumuona mtu na gari nilihisi anahela sana.
Nilipofanikiwa kupata deals na kubadili magari matatu nikaona kuna watu wanalewa na kunadili magari kila baada ya miezi 6 tena ya kuanzia 95M kwenda mbele nilijitafkari sana.
Niliwahi safiri na Baba mmoja kumbe ni hawa waganga wa jadi,kwa ukarimu yule mzee alitununulia watu lunch ilifika 500k pahala pazito pale Iringa..aisee nikajua maskini ni mimi si kila unayemuona.