Kuna waziri mmoja tena hadi baraza hili yumo nilimuona pale shppers plaza ya mikocheni kitoto kilimfuata alikuwa anaingia kwenye gari lake aise alikifukuza kwa hasira alafu akageuka kuangalia kushoto na kulia kama kuna mtu amemuona ,nikajisemea wanasiasa wana roho za kikatili sana, never trust a politicianYaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
😀😀😀😀 hawa wanaokuja na wheel chair inabidi kuwapa tu, hakuna namnaNa waombaji washajua huo udhaifu wa kulewa, wakija wanaondoka na kibunda cha kutosha
Unamaanisha mbingu haipo kwa ajili ya wapatao vilevi?Mimi nilipokuwa nakunywa nilikuwa nazungusha bia kwenye meza baada ya kulewa tena waiter wote nilikuwa nawaona wanapendeza bila kujali uhalisia wao.Swali je upendo huo tunakuwa nao kabla ya kulewa? Jibu ni kwamba haupo kwa hiyo ukilewa unakuwa na upendo feki upendo unaofanywa na pepo kwa kutumia mwili wako
Watu wa bar sisi ni wakarimu sana na hilo najivunia , nilisha toa msaada wa keshi ya laki 6 yote kwa mtu baada ya kulewa mno , kufika nyumbani nikala wali maharage kiporo, ili kukata pombe asee ,ila mwisho wa siku nilisaidia mtu asie jiweza , najivunia tu kwa hilo.
Toa ndugu.Ni zaka hiyo.Sitoi pesa bar akae mezani aagize kilimanjaro moja anywe achangamshe akili
Ukiwa unawaza laki 6 ni chai , na hauna kilevi chochote kichwani upo sawa kabisa
Huwa sitoi Kwa hao watuMimi kapita hapa mvulana anamtembeza mtoto wa kike mlemavu kwenye wheel chair(probably ni mdogo ake) imebidi tu niwape 20K ingawa haikua kwenye bajeti
Hapana sio bar mie hapo nmeenda kuchangamsha akiliToa ndugu.Ni zaka hiyo.
Sawa sawa, ndio maaana huwa nakukubali sanaSitoi pesa bar akae mezani aagize kilimanjaro moja anywe achangamshe akili
Sure mkuu. Sema kuna situation unapatwa na simanzi unaona bora usaidie tu, kama watu wanafanya manipulation iyo ni kimpango wao.Kinachokera, hii ni miradi ya watu, mtu anapewa baiskeli na asijiweza mmoja, kisha jioni anapeleka hesabu kwa bosi
Yani kwa sasa nimejifunza, demu kama hatumii pombe , pesa yangu ataisikilizia kwenye bomba tu .Sitoi pesa bar akae mezani aagize kilimanjaro moja anywe achangamshe akili
Labda alikuwa hana mkuuKuna waziri mmoja tena hadi baraza hili yumo nilimuona pale shppers plaza ya mikocheni kitoto kilimfuata alikuwa anaingia kwenye gari lake aise alikifukuza kwa hasira alafu akageuka kuangalia kushoto na kulia kama kuna mtu amemuona ,nikajisemea wanasiasa wana roho za kikatili sana, never trust a politician
Ekibinda Nkoi wakipiga muzique vizuri utawatunza?Hapana sio bar mie hapo nmeenda kuchangamsha akili
KwaniniYani kwa sasa nimejifunza, demu kama hatumii pombe , pesa yangu ataisikilizia kwenye bomba tu .
Tayari wameshwapata mbingu yao labda wakstuka na kuitafuta mbingu ya kweliUnamaanisha mbingu haipo kwa ajili ya wapatao vilevi?
Ewaaaaahhhhh daaaah umenkumbusha day moja nlikua Ar vyombo vimenoga jamaa wanapiga band mara ikapigwa "kuliko jana" saut soulEkibinda Nkoi wakipiga muzique vizuri utawatunza?
Alewe kwanza ili awe real na mkweliKwanini
Kwenye kutoa msaada kwa wasiojiweza huo ni upendo wa kweli, lakini kwenye suala la ngono hapo ni mzuka wa pombe tu. Pombe zikikutoka asubuhi upo lodge unaanza kushangaa ilikuaje niliondoka na manzi mbovu kama huyuMimi nilipokuwa nakunywa nilikuwa nazungusha bia kwenye meza baada ya kulewa tena waiter wote nilikuwa nawaona wanapendeza bila kujali uhalisia wao.Swali je upendo huo tunakuwa nao kabla ya kulewa? Jibu ni kwamba haupo kwa hiyo ukilewa unakuwa na upendo feki upendo unaofanywa na pepo kwa kutumia mwili wako