Tuliza code , kunywa kistaharabu kakaπMlevi maskini huyo...msamehe ujue hata mimi zamani nikumuona mtu na gari nilihisi anahela sana.
Nilipofanikiwa kupata deals na kubadili magari matatu nikaona kuna watu wanalewa na kunadili magari kila baada ya miezi 6 tena ya kuanzia 95M kwenda mbele nilijitafkari sana.
Niliwahi safiri na Baba mmoja kumbe ni hawa waganga wa jadi,kwa ukarimu yule mzee alitununulia watu lunch ilifika 500k pahala pazito pale Iringa..aisee nikajua maskini ni mimi si kila unayemuona.
Muujiza wa kwanza ambao Yesu aliufanya ni kubadilisha maji kuwa pombe katika ile harusi ya KanaSisi tupo mbele za Bwana toka enzi na enzi.
Mwana wa Mungu alibariki yale maji yakawa matamu na harusi pale kana ikafana.Hakukuwa tu na Tiktok miaka ile..ila ili fana..mpaka Mama Maria akasema Mwanangu umetutendea makuu..
Wafalme wenyewe wanashauriwa kupata mvinyo kidogo hawa walikuwa wanaketi na kuzungumza na Muumba wa ulimwengu..wewe nani?
Sasa fikiria the Son of Almighty himself the Creator.Muujiza wa kwanza ambao Yesu aliufanya ni kubadilisha maji kuwa pombe katika ile harusi ya Kana
Muujiza wa kwanza ambao Yesu aliufanya ni kubadilisha maji kuwa pombe katika ile harusi ya Kana
Si umesema unakitu kichwani?Kwa nini bwashee?
Nina kinywaji changamshi broππSi umesema unakitu kichwani?
Mkuu wewe una akili mingi sana ujueMuujiza wa kwanza ambao Yesu aliufanya ni kubadilisha maji kuwa pombe katika ile harusi ya Kana
Nakubali master, Karb Eid MubeerkNina kinywaji changamshi broππ
Hakika mkuuMkuu wewe una akili mingi sana ujue
ππππ sina maajabu yoyote mkuu, ni suala la ku-apply logic na common sense ya kawaida sana.Mkuu wewe una akili mingi sana ujue
Akili ipo hapo mkuu , wala usikatiππππ sina maajabu yoyote mkuu, ni suala la ku-apply logic na common sense ya kawaida sana.
Kwenye masuala ya mapenzi na dini watu hawatumii common sense na logic hapo ndipo wanaibuka waumini wajinga na masimp
basi farijianeni kwa maneno hayo hata msibani wanaambiwaHalafu kuna jitu jingajinga tu litaanza kusema walevi hawaendi mbinguni.Bogus kabisa hadi keshokutwa!
Nami sitoi kwao kiukweli.Yaani tangia nijue hili, nimekua mgumu kutoa msaada kwa hawa omba omba had najishangaa!